Je, Zari atakubali kurudiana Diamond?

Hata mimi nikikutana a x wangu huwa tunarudiana. Mond akienda South kusalimia watoto lazima warudiane na mama kizaa watoto.
Hata hivyo bado anakereketwa kurudi Madale!
Yawezekana waki likizo tu, ngoja jamaa atoke Uturuki tutajionea!
 
Anyway mond anatakiwa arudiane na mzazi mwenzie Zarina Hassan Tlale, kwangu mimi naona km ndio mwanamke anaemfaa zaidi.
 
Mh ila huyu Dada anajiweza

Mi siyawezi kwakweli.ashaambiwa ukiachwa achika.....ndo kwanza km katiwa ndimu

Wakirudiana hamisa lazma alazwe baby dady wake wote wanakua occupied
 
Hii ni kik tu halafu mtu mzima kama diamond kupenda kik ni tabia mbaya!!
 
Duh Chinga One umeandika wewe au simu anayo shemeji?
Just kiddin' tho...[emoji85]
 
Yani Mama Diamond alizaa mtoto mwenye akili sana anajua jinsi ya kuimbisha mashabiki wake ,anajua watanzania wanataka nini, anajua jinsi ya kuwatumia mashabiki wake kufanya biashara hakika......
Hakika Diamond na Zari ni biashara kubwa sana na wanajua vizuri kuifanya biashara......
 
Anyway mond anatakiwa arudiane na mzazi mwenzie Zarina Hassan Tlale, kwangu mimi naona km ndio mwanamke anaemfaa zaidi.
Wabongo kuwapangia watu hawajambo. .kaazi kweli[emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…