Je, Zari atakubali kurudiana Diamond?

Je, Zari atakubali kurudiana Diamond?

Uwiiiii kumbe mshenga mwenyewe ni Ney wa mitego!!! Haya kumekucha team mobeto wachafua nyota mko api??
 
Ohoo let's wait and see
Ugonjwa wa zari ni kuonekana kwenye camera, hawezi kuishi bila diamond, kama pesa zipo za ivan, mkenya alimpa Gari kalikataa maana anajua hatoweza kuonekaba kwenye camera.(yaan huko kanisani)

Kama mapenzi, sidhani ni ishu kwakwe, maana, ana njia mbadala sio lazima mwaume.

Zari shida yake aonekane kwenye mitandao TV ,mipicha kibao. Mshenzi sana huyu mwanamke, muda huu wote ananuonea hamisa wivu,

Ahaaaaa rudi uyaone diamond ni wa wengi, alienda mwenyewe atarud mwenyewe, akichoka atandoka mwenyewe.

Zari uoni aibu mtoto wako kumfanana baba wa kambo?
Watoto wake sijui aoni aibu, sijui anawambiaga kaenda wap?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ugonjwa wa zari ni kuonekana kwenye camera, hawezi kuishi bila diamond, kama pesa zipo za ivan, mkenya alimpa Gari kalikataa maana anajua hatoweza kuonekaba kwenye camera.(yaan huko kanisani)

Kama mapenzi, sidhani ni ishu kwakwe, maana, ana njia mbadala sio lazima mwaume.

Zari shida yake aonekane kwenye mitandao TV ,mipicha kibao. Mshenzi sana huyu mwanamke, muda huu wote ananuonea hamisa wivu,

Ahaaaaa rudi uyaone diamond ni wa wengi, alienda mwenyewe atarud mwenyewe, akichoka atandoka mwenyewe.

Zari uoni aibu mtoto wako kumfanana baba wa kambo?
Watoto wake sijui aoni aibu, sijui anawambiaga kaenda wap?
 
Baada ya masaa takribani 13,tangu hit maker wa African Beuty na King of Pop in Afrika ambaye bado anasumbua na ngoma aliyoshirikishwa na harmonize "Kwangwaru,Diamond Platnumz maarufu kama Chibu Dee kuachia kichupa cha karne "Iyena" hatimaye Star wa Manzese True Boy "Nay wa mitego ameibuka na kumwagia sifa kijana huyo ambaye leo amenunua 😀😀page zote za instagram na youtube kwa kazi nzuri ya wimbo huo uliopo kwenye album ya A boy from Tandale.

Katika post yake huko IG Nay amesifia kazi nzuri na kumlaumu Diamond kwa kupuyanga na "Mapugi machafua nyota" .
Aidha,Nay amesema anafanya mpango aongee na mama Tee ili yaishe jambo hilo limemfurahisha Zari ambapo amelike na Kukomenti post hiyo kwa kuweka emoji ya Kusalimu amri...View attachment 791644

Je hii ni ishara kwamba Mama Nillan yuko tayari kurudi Madale?

Toa maoni yako

Hawauachana hawa, walikuwa wanatengeneza kIck tu.
Kuna siku niliangalia Behind the scene ya ''African beauty'', nikamuona Zari yupo among Directors.

Baada ya hapo nikajua, wajinga na wenye roho mbaya ndio wanaoliwa.

Baaya ya Kuona hii ya ''Iyena'', ndo imenithibitishia kabisa kuwa hawa ni wa kufa na kuzikana.
 
Jamani hivi hamjui tu mpaka leo hawa wawili wanacheza michezo? Na episodes zao wanazipangilia vizuri kweli... Wao zinazidi kubanana kwenye vibubu vyao sisi kazi yetu kuwasemea
Hawajaachana hawa, walikuwa wanatengeneza kIck tu.
Kuna siku niliangalia Behind the scene ya ''African beauty'', nikamuona Zari yupo among Directors.

Baada ya hapo nikajua, wajinga na wenye roho mbaya ndio wanaoliwa.

Baaya ya Kuona hii ya ''Iyena'', ndo imenithibitishia kabisa kuwa hawa ni wa kufa na kuzikana.
 
Mmmmmh
Inaelekea mulimumisi hadi mnatunga yenu..
Na hivi kavutia wengi kuangalia kideo hicho..
This photo is more than a video

screenshot_20180601-205558-png.791644
 
Ugonjwa wa zari ni kuonekana kwenye camera, hawezi kuishi bila diamond, kama pesa zipo za ivan, mkenya alimpa Gari kalikataa maana anajua hatoweza kuonekaba kwenye camera.(yaan huko kanisani)

Kama mapenzi, sidhani ni ishu kwakwe, maana, ana njia mbadala sio lazima mwaume.

Zari shida yake aonekane kwenye mitandao TV ,mipicha kibao. Mshenzi sana huyu mwanamke, muda huu wote ananuonea hamisa wivu,

Ahaaaaa rudi uyaone diamond ni wa wengi, alienda mwenyewe atarud mwenyewe, akichoka atandoka mwenyewe.

Zari uoni aibu mtoto wako kumfanana baba wa kambo?
Watoto wake sijui aoni aibu, sijui anawambiaga kaenda wap?
Kinda a woman who really likes to be talk of the town all the time...
 
Ile video ilishutiwa kabla ya valentine ujue,na zari alikuwepo na picha walipiga nyingi za promo.
Hawajaachana hawa, walikuwa wanatengeneza kIck tu.
Kuna siku niliangalia Behind the scene ya ''African beauty'', nikamuona Zari yupo among Directors.

Baada ya hapo nikajua, wajinga na wenye roho mbaya ndio wanaoliwa.

Baaya ya Kuona hii ya ''Iyena'', ndo imenithibitishia kabisa kuwa hawa ni wa kufa na kuzikana.
 
Ugonjwa wa zari ni kuonekana kwenye camera, hawezi kuishi bila diamond, kama pesa zipo za ivan, mkenya alimpa Gari kalikataa maana anajua hatoweza kuonekaba kwenye camera.(yaan huko kanisani)

Kama mapenzi, sidhani ni ishu kwakwe, maana, ana njia mbadala sio lazima mwaume.

Zari shida yake aonekane kwenye mitandao TV ,mipicha kibao. Mshenzi sana huyu mwanamke, muda huu wote ananuonea hamisa wivu,

Ahaaaaa rudi uyaone diamond ni wa wengi, alienda mwenyewe atarud mwenyewe, akichoka atandoka mwenyewe.

Zari uoni aibu mtoto wako kumfanana baba wa kambo?
Watoto wake sijui aoni aibu, sijui anawambiaga kaenda wap?

If you ain’t got haters you ain’t poppin’.
 
Mh ila huyu Dada anajiweza

Mi siyawezi kwakweli.ashaambiwa ukiachwa achika.....ndo kwanza km katiwa ndimu

Wakirudiana hamisa lazma alazwe baby dady wake wote wanakua occupied
Nitakuja mimi sasa baby dady wake mpya nimuamishe tz nimpeleke huko amerikano akapate test ya maisha ya uzunguni
 
Atakuona km messiah wake maana sio kwa kumuokoa huko.
Ila kwa kile anachokipitia anahitaji faraja sana
 
Back
Top Bottom