Je, Zari atakubali kurudiana Diamond?

Je, Zari atakubali kurudiana Diamond?

Mmh baasi niliambiwa zari keshapotea hana kiki wala dhamani tena saiv hadi mleta mada anamuimba zari aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zari ni maji usipoyanywa utaoga.......kacheki kwa babutale baada ya kuuliza aende south akambembeleze mama tee.....

Walichojibu mashabiki utajua zari ni namba nyingine.....ila nimependa alichopost nay wa mitego tu
 
Wabishi watakataa wengine waliniapia humu hadi mwezi huu eti zari atakua keshasahaulika [emoji23][emoji23][emoji23]
Zari ni maji usipoyanywa utaoga.......kacheki kwa babutale baada ya kuuliza aende south akambembeleze mama tee.....

Walichojibu mashabiki utajua zari ni namba nyingine.....ila nimependa alichopost nay wa mitego tu
 
Jamani hivi hamjui tu mpaka leo hawa wawili wanacheza michezo? Na episodes zao wanazipangilia vizuri kweli... Wao zinazidi kubanana kwenye vibubu vyao sisi kazi yetu kuwasemea
rada zako zinasemaje mkuuu. Hebu tuangalizie huko swahiba
 
Hapa Itabidi atafutwe mchambuzi wa masuala ya mashariki ya moyo aje atuchambulie
 
Haijathibitishwa lakini,ngoja tuendelee kucheki hili move kwanza,ngoja ninywe maji kwanza then nirudi nieendelee kumalizia kausingizi changu.
 
Dah..
Nchi hii inabidi data izimwe hata mwezi tu...

Kuna watu watakufa... WCB si watu wazuri kabisa.
 
Duh Chinga One umeandika wewe au simu anayo shemeji?
Just kiddin' tho...[emoji85]
😀😀 bana weee ndo naingia jf muda huu nacheki notification nakutana na huu uzi dooh hawa viumbe wapekuzi sana tuwe makini na simu zetu.......😀😀😀
 
Anyway mond anatakiwa arudiane na mzazi mwenzie Zarina Hassan Tlale, kwangu mimi naona km ndio mwanamke anaemfaa zaidi.
Hivi hata kaka yako wa miaka 28 utamtaka aoe jimama linakaribia miaka 40 jaman hebu tuwe wawazi, nay mwenyewe anakula videm vidogo anampreshalaizi mwenzie aoe limama
 
Mmh baasi niliambiwa zari keshapotea hana kiki wala dhamani tena saiv hadi mleta mada anamuimba zari aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom