Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Zari ni maji usipoyanywa utaoga.......kacheki kwa babutale baada ya kuuliza aende south akambembeleze mama tee.....Mmh baasi niliambiwa zari keshapotea hana kiki wala dhamani tena saiv hadi mleta mada anamuimba zari aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walichojibu mashabiki utajua zari ni namba nyingine.....ila nimependa alichopost nay wa mitego tu