Je, Zari atakubali kurudiana Diamond?

Uwiiiii kumbe mshenga mwenyewe ni Ney wa mitego!!! Haya kumekucha team mobeto wachafua nyota mko api??
 
Ohoo let's wait and see
Ugonjwa wa zari ni kuonekana kwenye camera, hawezi kuishi bila diamond, kama pesa zipo za ivan, mkenya alimpa Gari kalikataa maana anajua hatoweza kuonekaba kwenye camera.(yaan huko kanisani)

Kama mapenzi, sidhani ni ishu kwakwe, maana, ana njia mbadala sio lazima mwaume.

Zari shida yake aonekane kwenye mitandao TV ,mipicha kibao. Mshenzi sana huyu mwanamke, muda huu wote ananuonea hamisa wivu,

Ahaaaaa rudi uyaone diamond ni wa wengi, alienda mwenyewe atarud mwenyewe, akichoka atandoka mwenyewe.

Zari uoni aibu mtoto wako kumfanana baba wa kambo?
Watoto wake sijui aoni aibu, sijui anawambiaga kaenda wap?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 


Hawauachana hawa, walikuwa wanatengeneza kIck tu.
Kuna siku niliangalia Behind the scene ya ''African beauty'', nikamuona Zari yupo among Directors.

Baada ya hapo nikajua, wajinga na wenye roho mbaya ndio wanaoliwa.

Baaya ya Kuona hii ya ''Iyena'', ndo imenithibitishia kabisa kuwa hawa ni wa kufa na kuzikana.
 
Jamani hivi hamjui tu mpaka leo hawa wawili wanacheza michezo? Na episodes zao wanazipangilia vizuri kweli... Wao zinazidi kubanana kwenye vibubu vyao sisi kazi yetu kuwasemea
Hawajaachana hawa, walikuwa wanatengeneza kIck tu.
Kuna siku niliangalia Behind the scene ya ''African beauty'', nikamuona Zari yupo among Directors.

Baada ya hapo nikajua, wajinga na wenye roho mbaya ndio wanaoliwa.

Baaya ya Kuona hii ya ''Iyena'', ndo imenithibitishia kabisa kuwa hawa ni wa kufa na kuzikana.
 
Kinda a woman who really likes to be talk of the town all the time...
 
Ile video ilishutiwa kabla ya valentine ujue,na zari alikuwepo na picha walipiga nyingi za promo.
 

If you ain’t got haters you ain’t poppin’.
 
Mh ila huyu Dada anajiweza

Mi siyawezi kwakweli.ashaambiwa ukiachwa achika.....ndo kwanza km katiwa ndimu

Wakirudiana hamisa lazma alazwe baby dady wake wote wanakua occupied
Nitakuja mimi sasa baby dady wake mpya nimuamishe tz nimpeleke huko amerikano akapate test ya maisha ya uzunguni
 
Nitakuja mimi sasa baby dady wake mpya nimuamishe tz nimpeleke huko amerikano akapate test ya maisha ya uzunguni
Atakuona km messiah wake maana sio kwa kumuokoa huko.
Ila kwa kile anachokipitia anahitaji faraja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…