Je, Zari atakubali kurudiana Diamond?

Jamani hivi hamjui tu mpaka leo hawa wawili wanacheza michezo? Na episodes zao wanazipangilia vizuri kweli... Wao zinazidi kubanana kwenye vibubu vyao sisi kazi yetu kuwasemea
Tuliwaambia hawa wanatengeneza pesa,naona upande wa zari wamepata mshtuko mkubwa sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ameandika nini huyu hamisa mobeto hapo juu
 
Hahahaha aiseee halafu sijui kwann hawaongelei makochi ambayo zari aliyabadilisha na kuleta mengine. Wangeacha kupanic wangezichambua picha vizuri
Wamejaa kwenye page ya babu tale wanaombea zari agome kutoa msamaha
 
Hahahaha aiseee halafu sijui kwann hawaongelei makochi ambayo zari aliyabadilisha na kuleta mengine. Wangeacha kupanic wangezichambua picha vizuri
Hahahahahah ....ila babu tale ananiudhi ...haleti mrejesho anakulakula tu south Kule kanifanya nikammwagie povu tu
 
Hahahaha ila siamin kama kaenda labda wanazitengeneza tu picha za zamani. Si ana kesi huyu mahakaman
Hahahahahah ....ila babu tale ananiudhi ...haleti mrejesho anakulakula tu south Kule kanifanya nikammwagie povu tu
 
Wakianza kupanga foleni kwa Mama Ngoma clinic mtujulishe pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…