Tuliwaambia hawa wanatengeneza pesa,naona upande wa zari wamepata mshtuko mkubwa sanaJamani hivi hamjui tu mpaka leo hawa wawili wanacheza michezo? Na episodes zao wanazipangilia vizuri kweli... Wao zinazidi kubanana kwenye vibubu vyao sisi kazi yetu kuwasemea