Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Marekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao.
Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa Rais.
Rais Samia yupo marekani kama mzungumzaji katika mjadala wa kimataifa wa chaķula huko Iowa nchini marekani.
Samia kama Rais mwanamke ziara yake ni muhimu sana kwa Bi. Kamala kwani inaweza wafanya wamarekani kuona kuwa kama Samia anaweza basi Kamala naye ataweza.
Je, Safari hii ya Samia kipindi karibia na uchaguzi Inaweza badili fikra za wamarekani kwa kupata Rais wa kwanza mwanamke?