Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
AMSHAURI KAMALA WAGAWE KHANGA NA WAPITE DOOR TO DOOR WAANDKSHE WAPGA KURA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio bahati mbaya akawepo huko wakati huu wa uchaguzi.Huu ni Uchawa uliovuka mipaka!
Huku Mkwe wake anavuruga uchaguzi wa Serikali za mitaa harafu kule Wamarekani waseme anaweza?
Utekaji na Mauaji umeshamiri huku harafu wamarekani waseme anaweza?
Naamini kule akikutana na waandishi wa habari atakimbia!
Unateswa na stroke wewe.Marekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao.
Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa Rais.
Rais Samia yupo marekani kama mzungumzaji katika mjadala wa kimataifa wa chaķula huko Iowa nchini marekani.
Samia kama Rais mwanamke ziara yake ni muhimu sana kwa Bi. Kamala kwani inaweza wafanya wamarekani kuona kuwa kama Samia anaweza basi Kamala naye ataweza.
Je, Safari hii ya Samia kipindi karibia na uchaguzi Inaweza badili fikra za wamarekani kwa kupata Rais wa kwanza mwanamke?
Acheni ujinga kufananisha ovyo, Samia kachaguliwa na nani? Mnauhakika uchaguzi wa 2025 atashinda kwa kishindo au kwa bao la Mkono? America ni watu wanaotumia akili na sio kama huku ukimpa kofia na kitenge anakupigia kuraa, ukifananisha raisi wetu fananisha na watu wakee, watu wa huko wanaangalia Raisi ambae atawafaa sisi huku tunaangalia nini...... Yaan hii habari imenifanya hadi nye.. zikate jamaniMarekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao.
Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa Rais.
Rais Samia yupo marekani kama mzungumzaji katika mjadala wa kimataifa wa chaķula huko Iowa nchini marekani.
Samia kama Rais mwanamke ziara yake ni muhimu sana kwa Bi. Kamala kwani inaweza wafanya wamarekani kuona kuwa kama Samia anaweza basi Kamala naye ataweza.
Je, Safari hii ya Samia kipindi karibia na uchaguzi Inaweza badili fikra za wamarekani kwa kupata Rais wa kwanza mwanamke?
tatizo la nguvu za kijinsia linasababisha watu kusingizia ambayo hayahusiki kabisa, dah!Nimecheka sana aisee unajua kuna vitu unavisoma JF hadi unakosa hamu ya kula mzigo
Dah akili yako inawazaje?Marekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao.
Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa Rais.
Rais Samia yupo marekani kama mzungumzaji katika mjadala wa kimataifa wa chaķula huko Iowa nchini marekani.
Samia kama Rais mwanamke ziara yake ni muhimu sana kwa Bi. Kamala kwani inaweza wafanya wamarekani kuona kuwa kama Samia anaweza basi Kamala naye ataweza.
Je, Safari hii ya Samia kipindi karibia na uchaguzi Inaweza badili fikra za wamarekani kwa kupata Rais wa kwanza mwanamke?
Hawana muda, hawana taarifa kwamba Kuna Mama Abdul Yuko Marekani!!Marekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao.
Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa Rais.
Rais Samia yupo marekani kama mzungumzaji katika mjadala wa kimataifa wa chaķula huko Iowa nchini marekani.
Samia kama Rais mwanamke ziara yake ni muhimu sana kwa Bi. Kamala kwani inaweza wafanya wamarekani kuona kuwa kama Samia anaweza basi Kamala naye ataweza.
Je, Safari hii ya Samia kipindi karibia na uchaguzi Inaweza badili fikra za wamarekani kwa kupata Rais wa kwanza mwanamke?
Marekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao.
Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa Rais.
Rais Samia yupo marekani kama mzungumzaji katika mjadala wa kimataifa wa chaķula huko Iowa nchini marekani.
Samia kama Rais mwanamke ziara yake ni muhimu sana kwa Bi. Kamala kwani inaweza wafanya wamarekani kuona kuwa kama Samia anaweza basi Kamala naye ataweza.
Je, Safari hii ya Samia kipindi karibia na uchaguzi Inaweza badili fikra za wamarekani kwa kupata Rais wa kwanza mwanamke?
😂😂Nimecheka sana aisee unajua kuna vitu unavisoma JF hadi unakosa hamu ya kula mzigo
Mkuu ww unavuta bangi ya wapi unipe na mimi? Kwa kukusaidia tu ni wamarekani wachache sana wanaijua nchi inaitwa Tanzania, achia mbali kujua rais wake.Marekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao.
Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa Rais.
Rais Samia yupo marekani kama mzungumzaji katika mjadala wa kimataifa wa chaķula huko Iowa nchini marekani.
Samia kama Rais mwanamke ziara yake ni muhimu sana kwa Bi. Kamala kwani inaweza wafanya wamarekani kuona kuwa kama Samia anaweza basi Kamala naye ataweza.
Je, Safari hii ya Samia kipindi karibia na uchaguzi Inaweza badili fikra za wamarekani kwa kupata Rais wa kwanza mwanamke?
Huko wananchi wengi wanaamini rais wa Tanzanja bado anajisaidia vichakani.Sidhani kama luninga za huko zilitangaza ujio wake, nadhani hauwajui wamarekani vizuri, jiulize uwanja wa ndege mwenyeji wake aliyempokea alikuwa ni nani? kama sio balozi wa tz
Wanawake marais hawajanzia kwa Samia, wapo tangu miaka ya sitini, Amerika ya Kusini, nchi za Ulaya, Afrika, Asia na mashariki ya mbali zina au zilikuwa na marais wanawake, uchawa umekutoa akili.Marekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao.
Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa Rais.
Rais Samia yupo marekani kama mzungumzaji katika mjadala wa kimataifa wa chaķula huko Iowa nchini marekani.
Samia kama Rais mwanamke ziara yake ni muhimu sana kwa Bi. Kamala kwani inaweza wafanya wamarekani kuona kuwa kama Samia anaweza basi Kamala naye ataweza.
Je, Safari hii ya Samia kipindi karibia na uchaguzi Inaweza badili fikra za wamarekani kwa kupata Rais wa kwanza mwanamke?
Samia kimya kimya anafanya kampeni kwa kuwaonesha wanarekani kuwa Afrika wameshatangulia kitambo kuwaamini wanawake hivyo ni wakati sasa kwa Marekani kumchagua mwanamke.Marekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao.
Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa Rais.
Rais Samia yupo marekani kama mzungumzaji katika mjadala wa kimataifa wa chaķula huko Iowa nchini marekani.
Samia kama Rais mwanamke ziara yake ni muhimu sana kwa Bi. Kamala kwani inaweza wafanya wamarekani kuona kuwa kama Samia anaweza basi Kamala naye ataweza.
Je, Safari hii ya Samia kipindi karibia na uchaguzi Inaweza badili fikra za wamarekani kwa kupata Rais wa kwanza mwanamke?
Afadhali umerudisha avatar picha tuliyoizoeaNenda KCMC kajiandikishe kufanya CT scan Mimi nitalipa, lazima kichwanibl una shida!
Afadhali umerudisha avatar picha tuliyoizoea