Je, Ziara ya Rais Samia nchini Marekani inaweza kuinfluence uchaguzi utaofanyika novemba 5?

Huu ni Uchawa uliovuka mipaka!
Huku Mkwe wake anavuruga uchaguzi wa Serikali za mitaa harafu kule Wamarekani waseme anaweza?
Utekaji na Mauaji umeshamiri huku harafu wamarekani waseme anaweza?
Naamini kule akikutana na waandishi wa habari atakimbia!
Sio bahati mbaya akawepo huko wakati huu wa uchaguzi.

Kumbuka ule mkutano wa UN hakwenda ila kwenye hili kongamano amekwenda.
 
Unateswa na stroke wewe.
 
Acheni ujinga kufananisha ovyo, Samia kachaguliwa na nani? Mnauhakika uchaguzi wa 2025 atashinda kwa kishindo au kwa bao la Mkono? America ni watu wanaotumia akili na sio kama huku ukimpa kofia na kitenge anakupigia kuraa, ukifananisha raisi wetu fananisha na watu wakee, watu wa huko wanaangalia Raisi ambae atawafaa sisi huku tunaangalia nini...... Yaan hii habari imenifanya hadi nye.. zikate jamani
 
Nimecheka sana aisee unajua kuna vitu unavisoma JF hadi unakosa hamu ya kula mzigo
tatizo la nguvu za kijinsia linasababisha watu kusingizia ambayo hayahusiki kabisa, dah!

inasikitisha sana na inafedhehesha sana kweli kweli🐒
 
Dah akili yako inawazaje?

Mbona kanchi ketu ni kadogo mnoo kiushawishi kwa lile li nchi mkuu?
 
Hawana muda, hawana taarifa kwamba Kuna Mama Abdul Yuko Marekani!!

Uwepo wake hauna impact yoyote katika TAIFA la Marekani!!!

Zaidi ya UZURULAJI...😀🤣😀🤣
 

Nenda KCMC kajiandikishe kufanya CT scan Mimi nitalipa, lazima kichwanibl una shida!
 
Mkuu ww unavuta bangi ya wapi unipe na mimi? Kwa kukusaidia tu ni wamarekani wachache sana wanaijua nchi inaitwa Tanzania, achia mbali kujua rais wake.
 
Sidhani kama luninga za huko zilitangaza ujio wake, nadhani hauwajui wamarekani vizuri, jiulize uwanja wa ndege mwenyeji wake aliyempokea alikuwa ni nani? kama sio balozi wa tz
Huko wananchi wengi wanaamini rais wa Tanzanja bado anajisaidia vichakani.
 
Wanawake marais hawajanzia kwa Samia, wapo tangu miaka ya sitini, Amerika ya Kusini, nchi za Ulaya, Afrika, Asia na mashariki ya mbali zina au zilikuwa na marais wanawake, uchawa umekutoa akili.
 
Huko wanachagua Mtu mwenye uwezo na siyo kuangalia jinsia kuwa ametembelewa na mwanamke ndiyo iwe tiketi ya kushinda urais?Huko wameelimika wote na hawaburuzwi kama wanavyoburuzwa watanzania na serikali Yao batili.
 
Kama huko nyumbani kwake tu hana hiyo influence ataweza kwa ugenini?

Kwanza hata hajulikani.
 
Ebu msiwe mnafananisha vitu vya kijinga kwenye nchi za watu...🤨
 
Samia kimya kimya anafanya kampeni kwa kuwaonesha wanarekani kuwa Afrika wameshatangulia kitambo kuwaamini wanawake hivyo ni wakati sasa kwa Marekani kumchagua mwanamke.

Lakini cha ajabu hatajifunza kufanya fair and democratic elections akirudi nyumbani ataendelea kuwazuia wapinzani wasiandamane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…