Jean Baleke anasepa, Simba hawana striker msimu ujao

Unaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor.

Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama.

Kramo hawezi kicheza CF full season.

Bocco ndio tusimzungumzie.

Huwezi beba ubingwa wa Ligi kwa kucheza na False 9.

Yanga tujiandae na Parade lingine.View attachment 2682043
Umevimbiwa
 
Pale Leaders club leo alikuwa anafanya nini? Unachekesha sana
Unaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor.

Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama.

Kramo hawezi kicheza CF full season.

Bocco ndio tusimzungumzie.

Huwezi beba ubingwa wa Ligi kwa kucheza na False 9.

Yanga tujiandae na Parade lingine.View attachment 2682043
 
Unaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor.

Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama.

Kramo hawezi kicheza CF full season.

Bocco ndio tusimzungumzie.

Huwezi beba ubingwa wa Ligi kwa kucheza na False 9.

Yanga tujiandae na Parade lingine.View attachment 2682043
Chama naye ni majeruhi
Kanoute hawezi cheza match mbili
Kapombe si wa kumtegemea
Mohammed Hussein tia maji tia maji
Israel Mwenda hawezi cheza vizuri
Inonga huwezi mtegemea
Kenedy Juma amenenepa sana
Banda majeruhi kinyama

Kifupi Simba hawana team. Au nasema uongo?
 
Naona mihogo na kachumbari imepanda kichwani sasa!
 
NYUZI ZA UTOPOLO ZINASIKITISHA SANA.

"HAKUNA UMASIKINI MBAYA KAMA UMASIKINI WA FIKRA"
Mwalimu Nyerere.
 
Unaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor.

Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama.

Kramo hawezi kicheza CF full season.

Bocco ndio tusimzungumzie.

Huwezi beba ubingwa wa Ligi kwa kucheza na False 9.

Yanga tujiandae na Parade lingine.View attachment 2682043
Aibu yako hii
 
Back
Top Bottom