jitumtumba
Senior Member
- Jul 1, 2023
- 123
- 144
mkuu ulisema hapa wakakupingaAiseee, Mchezaji wa kawaida sana tena asiye na maajabu. Magoli anayofunga hata mwanangu wa P6 anafunga ila kwa kuwa simba hamna timu na mnalazimisha upinzani na Yanga ndio mnajiokotezea na kanzisha vithread mbalmbali humu ili muonekane mpo. Sisi Waydad tunawasubiri tu.