Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Huku tukiwa tumeshuhudia uapishwaji wa mtoto wa tshisekedi kuwa rais wa congo. Ni vyema kujikumbusha baadhi ya mambo ya kiti cha urais wa congo
Aliwahi kuwepo kijana wa kwanza wa Marechal Mobutu Sese Seko aliyeitwa JEAN PAUL NIWA aliyeandaliwa na baba yake kuja kuwa rais wa pili wa zaire na wa tatu congo (baada ya kassavubu aliyekuwa wa kwanza,alifuata Mobutu)
Mobutu alimpenda sana Niwa si kwa vitendo tu bali hata maneno.katika moja ya barua mobutu aliyomtumia Niwa aliandika "kipenzi changu jean paul"
Bali na Mobutu kumuandaa Niwa kuiongoza Zaire pia alimuandaa kuwa mkuu wa ukoo na kiongozi wa familia, alimpa jukumu la kuifariji familia wakati wa matatizo ambapo Mobutu alikua mbali na nyumbani
Mobutu aliwahi kumshauri niwa katika moja ya barua alizomtumia
"Ninaamini sàsa upo katika umri wa kuelewa baadhi ya mambo, nakushauri kuwa makini sana na ndugu wa ukoo wetu maana wamekua wakitusaliti eitha moja kwa moja au kivingine, kuwa makini sana na mahusiano nao.
"Unachoona usoni kwa watu mara nyingi sio kilicho myoni mwAo"
Niwa kwa haraka haraka anaonekana Alikua kijana mstaarAbu aliyefuata nyayo za baba yake
KIFO
Matumaini ya Mobutu ya kuona mwanae akiiongoza Zaire yalikatishwa na kifo cha nyiwa mwanzoni mwa miaka ya 90
Sent using Jamii Forums mobile app