Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Huku tukiwa tumeshuhudia uapishwaji wa mtoto wa tshisekedi kuwa rais wa congo. Ni vyema kujikumbusha baadhi ya mambo ya kiti cha urais wa congo

Aliwahi kuwepo kijana wa kwanza wa Marechal Mobutu Sese Seko aliyeitwa JEAN PAUL NIWA aliyeandaliwa na baba yake kuja kuwa rais wa pili wa zaire na wa tatu congo (baada ya kassavubu aliyekuwa wa kwanza,alifuata Mobutu )

Mobutu alimpenda sana Niwa si kwa vitendo tu bali hata maneno.katika moja ya barua mobutu aliyomtumia Niwa aliandika "kipenzi changu jean paul"

Bali na Mobutu kumuandaa Niwa kuiongoza Zaire pia alimuandaa kuwa mkuu wa ukoo na kiongozi wa familia,alimpa jukumu la kuifariji familia wakati wa matatizo ambapo Mobutu alikua mbali na nyumbani


Mobutu aliwahi kumshauri niwa katika moja ya barua alizomtumia
"Ninaamini sàsa upo katika umri wa kuelewa baadhi ya mambo,nakushauri kuwa makini sana na ndugu wa ukoo wetu maana wamekua wakitusaliti eitha moja kwa moja au kivingine, kuwa makini sana na mahusiano nao.

"Unachoona usoni kwa watu mara nyingi sio kilicho myoni mwAo"

Niwa kwa haraka haraka anaonekana Alikua kijana mstaarAbu aliyefuata nyayo za baba yake


KIFO
Matumaini ya Mobutu ya kuona mwanae akiiongoza Zaire yalikatishwa na kifo cha nyiwa mwanzoni mwa miaka ya 90
View attachment 1004662View attachment 1004663View attachment 1004664View attachment 1004667View attachment 1004668

Sent using Jamii Forums mobile app
Felix Tshesekedi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Big up kwa uzi kiserereka bila kubadilika. Jf **** nyuzi zinabadilika hadi zinampoteza mleta uzi.
 
Uko sahihi mkuu
Hapo ndipo alikosea.
Kuhusu mabeberu pia upo sahihi.

Kuna siri alimpa bodyguard wAke mwaka 1997 baada ya kupinduliwa.waliongea wawili tu chumbani.mpaka leo sijaona mahali jamaa akiiongelea wazi alisema tu Mobutu alimwambia mengi ikiwapo hiyo siri ambapo Mobutu alitapeliwa/kuingizwa mkenge na mabeberu
Siku nikimpata jamaa nitamuuliza kama atasema nita share humu mazungumzo yao hayo ambayo Mobutu hakutaka watu wengine wayasikie akawafukuza

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu haya madini yote ujayatolea wapi kama ni kwenye kitabu naomba jina la kitabu huska
 
Back
Top Bottom