Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Nyerere alikaa madarakani miaka 23 pale ikulu, aliamua tu mwenyewe kung'atuka. Sasa Mobutu yeye alikuwa anaendelea tu kukaa madarakani mpaka wakamchoka.Kwani kwa nyerer ilikuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyerere alikaa madarakani miaka 23 pale ikulu, aliamua tu mwenyewe kung'atuka. Sasa Mobutu yeye alikuwa anaendelea tu kukaa madarakani mpaka wakamchoka.Kwani kwa nyerer ilikuwaje?
Mzee Magu cha mtoto.aise kuna mmoja hapa nimeupata wanamsifia kweli ni tp ok jazz nyimbo tamu sana huku nakunywa na bia kidogo...
Jamaaa inaonekana alikuwa mwanaume kweli...
Mzee Magu anasubili...
Bon,sida yenyee njho ilimutwala!Saddam sseni ndio alikufa kwa sida
Hivi hao wanae walirithi utajiri wa baba yao? Maana jamaa alipiga zaidi ya U$D 13b Sawa sawa na takribani Tsh trillion 31 na billion 200!!Angekuepo leo sijui angejiskiaje
Alidai anafanya kazi ili aache historia yeye na wanae
Yaani alitamani nao waje kuwa watu fulani but saivi hakuna mwanae aliye kwenye siasa Active. Naskia hata nzaga (mtoto wa mke wa pil ) kakimbilia marekani
Watoto wake wana migogoro mpaka wameshindwa kumzikia congo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Billionea mkuu ni Trillionea, mtu unaambiwa alipiga dola billion 13 hebu zithaminishe kwa currency ya Zaire kipindi hicho.Sio milionea sema bilionea
Ndio walirithi.kila mmoja alipewa $million kadhaaHivi hao wanae walirithi utajiri wa baba yao? Maana jamaa alipiga zaidi ya U$D 13b Sawa sawa na takribani Tsh trillion 31 na billion 200!!
Vipi kuhusu yule mkewe Bobi Ladawa?
Kuna mzungu wa Belgium anaitwa Pierre Janssen alikuwaga amemuoa binti wa Mobutu aliyekuwa akiitwa Yaki. Huyo jamaa aliandika kitabu kilichokuwa kinaelezea maisha ya Mobutu in vivid detail.Mkuu haya madini yote ujayatolea wapi kama ni kwenye kitabu naomba jina la kitabu huska
Mkuu hicho kitabu cha la cour de Mobutu nina hamu nacho sana ila kila nikikitafuta sikipati kwa lugha ya Kiingereza hebu niambie nifanyejeMkuu ninasoma enterview huko google,
Pia naangalia videos youtube.vitabu vipo ila nimesoma summary ya kimoja kinaitwa a la cour de mobutu kimeandikwa na pierre jansen huyu alimuoa binti ya mobutu pia vipo vitabu kibao.tatizo sina pesa ya kuvinunua huko mtandaoni
Vingine kaandika yeye mobutu
Ila kwa haraka haraka ingia youtube search major ngani utaona interview ya head of security wa mobutu ina subtitle ya english
Huyu alikaa na mobutu kwa miaka 23.
Ukitaka kusoma search jina la mobutu utakuta mengi.article zingine za kifatansa itabidi utumie google translate
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna english version mtandaoni mkuuMkuu hicho kitabu cha la cour de Mobutu nina hamu nacho sana ila kila nikikitafuta sikipati kwa lugha ya Kiingereza hebu niambie nifanyeje
.. Alikufa kwa SIDA (a French translation of AIDS)
Alidayee na maladi ya sida.Alikufa kwa "ngoma"! Are you there,broda?
...mbona kuna jamaa alileta Uzi humu kuwa MTT mmoja wa Mobutu ni barmaid huko Ufaransa...Ndio walirithi.kila mmoja alipewa $million kadhaa
Mkewe yupo anaishi ureno,ufaransa na morroco sana sana.yupo na pacha wake ambaye naye alikua mke wa mobutu
Serikali ya congo pia inawapa pesa z matumizi dollar kila mwezi.
Wanae wanafanya mishe mishe tu huko ulaya.wengi wao walitengeneza pesa zao wenyewe baba yao akiwa hai so jumlisha na za urithi wanaishi vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
...nimekupata mkuu.. Alikufa kwa SIDA (a French translation of AIDS)
...notedAlidayee na maladi ya sida.Alikufa kwa "ngoma"! Are you there,broda?
Walikua wanamlia mingo tuuIla Mobutu alikuwa millionea jamani,watoto wake wote wamesoma Ulaya na Marekani kuanzia primary mpaka vyuo.Birthday zilikuwa zinafanyika kwenye makasri ya Mobutu Ufaransa.Ila jamaa alijisahau mpaka mwisho wake ukawa mbaya.
[emoji23] itakua chai au ni bar yake so alikua anasimamia...mbona kuna jamaa alileta Uzi humu kuwa MTT mmoja wa Mobutu ni barmaid huko Ufaransa...
Sent using Jamii Forums mobile app