Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Asante kwa elimu mkuu, ila muda ni kitu kizuri sana hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
 
Mkuu Mobutu hakua mkasai alikua Kabila la mngala toka jimbo la equatorial ,uliza vzr ,samahani lkn km nimekosea nisahihishe
Hahaa mkuu mimi bibi yake mama yangu ana elements za huko kwa kina mobutu kabila lao ni kasai ... so najua baadhi ya mambo kiasi kuhusu watu/viongozi wa congo " kuhusiana na habari zao za witchcraft ..so huyo mobutu hauwezi kumtoa kwenye hizo drama maana na yeye nimfuasi mzuri wa hayo mazingaombwe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole yake. kwani watoto wake walikufa wote?
Imeishia hapo mkuu
Kifo cha Niwa ndio ukawa mwisho wa stori
Mzee baada ya hapo alijiweka mbali na mambo ya nchi akakaa zake gbadolite huko.kama mtemi sio rais tena.alibaki rais jina tu. Mwanzoni mwa miaka ya 90 akagundulika kuwa na tatizo la tezi dume akakataa kutibiwa then mwaka 1996 hali ikawa mbaya akaenda uswizi kwa ajili ya operesheni huku akirudi ufaransa kupumzika ufukweni kwenye nyumba yake inaitwa villa del mare.huku zaire akasalitiwa na majenerali wake nchi ikapata matatizo ya kuvamiwa akarudi hakukaa sana then akarudi ufaransa kwa madaktari .alivorudi tena zaire akakaa miezi michache akazidiwa akawa hata hawezi kusimama.akapinduliwa akaenda rome mji mkuu wa mji mmoja Wa Africa then akaenda moroco nyumbani kwake akafia huko

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VIP na uwanja wa ndege alio jenga chato na majengo yake ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Una maanisha gbadolite ?
Ule uwanja upo unaitwa Moanda international Airport
Uliibiwa kila kitu yamebaki majengo tu na hayafanyi kazi. Hivi sasa unatumiwa sana sana na UN kwa shughuli zao za kupeleka misaada
Majengo ya mobutu yapo tu moja lililokua kama ikulu wanakaa wanajeshi mengine yameota nyasi baadhi yalikua mapya kabisa ndio yanamaliziwa kujengwa
Ila umeme haupo tena kama wakati wa mobutu maana serikali ya kabila haifanyi matengenezo vyanzo vya umeme.watu hawana ajira tena kama ilivokua wakati wa mobutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu ukirudi usisahau vumbi la Zaire

Back
Top Bottom