ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,594
- 2,234
Asante kwa elimu mkuu, ila muda ni kitu kizuri sana hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa mkuu mimi bibi yake mama yangu ana elements za huko kwa kina mobutu kabila lao ni kasai ... so najua baadhi ya mambo kiasi kuhusu watu/viongozi wa congo " kuhusiana na habari zao za witchcraft ..so huyo mobutu hauwezi kumtoa kwenye hizo drama maana na yeye nimfuasi mzuri wa hayo mazingaombwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana tofauti na huyu mpumbavu tuliyenae,maana huyu nae alienda kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma vizuri mkuu utanielewa .. mkasai alikuwa ni bibi yake mama yangu " sijamaanisha kwamba ni mobutuMkuu Mobutu hakua mkasai alikua Kabila la mngala toka jimbo la equatorial ,uliza vzr ,samahani lkn km nimekosea nisahihishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma vizuri mkuu utanielewa .. mkasai alikuwa ni bibi yake mama yangu " sijamaanisha kwamba ni mobutu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unamaanisha alichukua wanawake wa Mabalozi wake au ?Walitoa album nzima ya kumsifia
Inasemwa kuwa mobutu alichukua wanawake wa mawaziri zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeishia hapo mkuu
Kifo cha Niwa ndio ukawa mwisho wa stori
Mzee baada ya hapo alijiweka mbali na mambo ya nchi akakaa zake gbadolite huko.kama mtemi sio rais tena.alibaki rais jina tu. Mwanzoni mwa miaka ya 90 akagundulika kuwa na tatizo la tezi dume akakataa kutibiwa then mwaka 1996 hali ikawa mbaya akaenda uswizi kwa ajili ya operesheni huku akirudi ufaransa kupumzika ufukweni kwenye nyumba yake inaitwa villa del mare.huku zaire akasalitiwa na majenerali wake nchi ikapata matatizo ya kuvamiwa akarudi hakukaa sana then akarudi ufaransa kwa madaktari .alivorudi tena zaire akakaa miezi michache akazidiwa akawa hata hawezi kusimama.akapinduliwa akaenda rome mji mkuu wa mji mmoja Wa Africa then akaenda moroco nyumbani kwake akafia huko
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Walibaki .ila wa mke wa kwanza wa kike ndio walibaki
[emoji23] bora wa mobutu ulitumika sana maana alihamishia kwao serikali yote na alijenga viwanda huko .Hana tofauti na huyu mpumbavu tuliyenae,maana huyu nae alienda kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Una maanisha gbadolite ?
Una maanisha gbadolite ?
Ule uwanja upo unaitwa Moanda international Airport
Uliibiwa kila kitu yamebaki majengo tu na hayafanyi kazi. Hivi sasa unatumiwa sana sana na UN kwa shughuli zao za kupeleka misaada
Majengo ya mobutu yapo tu moja lililokua kama ikulu wanakaa wanajeshi mengine yameota nyasi baadhi yalikua mapya kabisa ndio yanamaliziwa kujengwa
Ila umeme haupo tena kama wakati wa mobutu maana serikali ya kabila haifanyi matengenezo vyanzo vya umeme.watu hawana ajira tena kama ilivokua wakati wa mobutu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu [emoji23] mtu chake ndio yupo huko
Inaitwa Na biso candidat (our candidate) mobutuMashairi mengi Luambo kamsifu sana Mobutu
Niwa ndo aliekufa kwa ukimwi ?