Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kweli kila zama na kitabu chake leo Mobutu amebaki historia na Drc imeanza ukurasa mpya maana kitabu cha Kabila kimefika mwisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kila zama na kitabu chake leo Mobutu amebaki historia na Drc imeanza ukurasa mpya maana kitabu cha Kabila kimefika mwisho.
Kweli kila zama na kitabu chake leo Mobutu amebaki historia na Drc imeanza ukurasa mpya maana kitabu cha Kabila kimefika mwisho.
Kuna jamaa nilimsikia akisema kipindi Mobutu yuko madarakani wakati wa taarifa ya habari kwenye TV huko Zaire eti kibwagizo ilikuwa anaonekana kwanza Mobutu anashuka kutoka mawinguni kuja duniani kama malaika alafu ndio taarifa ya habari ionyeshwe.Mkuu kuna ukweli hapa?
Hahahaha, yes RTNC na jamaa aliyetengeneza hy graphics ,alipongezwa na MobutuKuna jamaa nilimsikia akisema kipindi Mobutu yuko madarakani wakati wa taarifa ya habari kwenye TV huko Zaire eti kibwagizo ilikuwa anaonekana kwanza Mobutu anashuka kutoka mawinguni kuja duniani kama malaika alafu ndio taarifa ya habari ionyeshwe.Mkuu kuna ukweli hapa?
Haaah! Haaah! Haaah! Mkuu wewe kama Mimi! Ktk Nchi zetu hz, Nikimpata kiongozi mpigaji! Mi nampongeza tu! Mi nlivoskia watu wa Msoga wamebeba Mpunga Ktk sandarusi! Nilijisemea wanaume kiumeni wamejiongeza! Nlivoskia Banzastone kapiga 1.5 T nikasema tena! Here we go!Alikua na akili sana licha ya kasoro zake
Ndio maana hata jiwe namkubali somehow alivopga 1.5
Mobutu zaidi ya 30% ya national budget ilikua yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye SAFARI weka PEPSI ya bariiiiiiidi yenye tubarafu barafu tudogo dogoKawimbo katamu hasa uwe uko peke yako na safari ya baridi .uko na fegi sm na binti mnene mweupe anakupa story mbili tatu.humvizii lkn
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa nilimsikia akisema kipindi Mobutu yuko madarakani wakati wa taarifa ya habari kwenye TV huko Zaire eti kibwagizo ilikuwa anaonekana kwanza Mobutu anashuka kutoka mawinguni kuja duniani kama malaika alafu ndio taarifa ya habari ionyeshwe.Mkuu kuna ukweli hapa?
Hahahaha, yes RTNC na jamaa aliyetengeneza hy graphics ,alipongezwa na Mobutu
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh teh! haya maisha haya teh teh teh teh! Leo imebaki historia tu teh teh.
Teh teh teh teh! haya maisha haya teh teh teh teh! Leo imebaki historia tu teh teh.
Ni ukweliKuna jamaa nilimsikia akisema kipindi Mobutu yuko madarakani wakati wa taarifa ya habari kwenye TV huko Zaire eti kibwagizo ilikuwa anaonekana kwanza Mobutu anashuka kutoka mawinguni kuja duniani kama malaika alafu ndio taarifa ya habari ionyeshwe.Mkuu kuna ukweli hapa?
[emoji23] ndio hivo mkuuHaaah! Haaah! Haaah! Mkuu wewe kama Mimi! Ktk Nchi zetu hz, Nikimpata kiongozi mpigaji! Mi nampongeza tu! Mi nlivoskia watu wa Msoga wamebeba Mpunga Ktk sandarusi! Nilijisemea wanaume kiumeni wamejiongeza! Nlivoskia Banzastone kapiga 1.5 T nikasema tena! Here we go!
Sent using Jamii Forums mobile app
MkuuUkiona Congo ilivobarikiwa mito isiyokauka, misitu minene, udongo wenye rutba utabaki kujiuliza hivi kweli wakongoman ndio wanaishi ginsi ile!
Mkuu
Enzi za mobutu zaire ilikua tajiri mno hapakua na vita na pesa ilikuepo,
Hakukua na mambo ya mkopo wa Elimu ya juu yani university unasoma bure na free food
Pesa ya zaire ilikaribiana na usd. Mobutu alinunua ndege kwa ajili ya Air zaire
Sent using Jamii Forums mobile app
MkuuWanajichotea mabeberu ndio maana vita congo haitokwisha, inafikia hatua mageneral wa uganda na rwanda nao hujichotea tu mbao na dhahabu, maisha ya congo yaliingia laana ya damu ya mwanacongo patrice lumumba, na uroho na dharau za mobutu zimeifikisha congo hapo ilipo