Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Kuna jamaa nilimsikia akisema kipindi Mobutu yuko madarakani wakati wa taarifa ya habari kwenye TV huko Zaire eti kibwagizo ilikuwa anaonekana kwanza Mobutu anashuka kutoka mawinguni kuja duniani kama malaika alafu ndio taarifa ya habari ionyeshwe.Mkuu kuna ukweli hapa?
Hahahaha, yes RTNC na jamaa aliyetengeneza hy graphics ,alipongezwa na Mobutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikua na akili sana licha ya kasoro zake
Ndio maana hata jiwe namkubali somehow alivopga 1.5

Mobutu zaidi ya 30% ya national budget ilikua yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaah! Haaah! Haaah! Mkuu wewe kama Mimi! Ktk Nchi zetu hz, Nikimpata kiongozi mpigaji! Mi nampongeza tu! Mi nlivoskia watu wa Msoga wamebeba Mpunga Ktk sandarusi! Nilijisemea wanaume kiumeni wamejiongeza! Nlivoskia Banzastone kapiga 1.5 T nikasema tena! Here we go!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa nilimsikia akisema kipindi Mobutu yuko madarakani wakati wa taarifa ya habari kwenye TV huko Zaire eti kibwagizo ilikuwa anaonekana kwanza Mobutu anashuka kutoka mawinguni kuja duniani kama malaika alafu ndio taarifa ya habari ionyeshwe.Mkuu kuna ukweli hapa?
Ni ukweli
Ipo documentary youtube kuna hiko kipande tena huku akiimbwa kwa sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaah! Haaah! Haaah! Mkuu wewe kama Mimi! Ktk Nchi zetu hz, Nikimpata kiongozi mpigaji! Mi nampongeza tu! Mi nlivoskia watu wa Msoga wamebeba Mpunga Ktk sandarusi! Nilijisemea wanaume kiumeni wamejiongeza! Nlivoskia Banzastone kapiga 1.5 T nikasema tena! Here we go!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] ndio hivo mkuu
Hapa nilipo nataka nijiunge UVCCM nikipata tu bahati ya kukutana na banzastone siku hiyo nahakikisha namsifia ile mbaya.na nyimbo za mapambio juu
Mpaka niteuliwe.hapa nataka kuanzisha page insta itakuwa special kwa jiwe kumsifia afu namtag pole pole na jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona Congo ilivobarikiwa mito isiyokauka, misitu minene, udongo wenye rutba utabaki kujiuliza hivi kweli wakongoman ndio wanaishi ginsi ile!
Mkuu
Enzi za mobutu zaire ilikua tajiri mno hapakua na vita na pesa ilikuepo,
Hakukua na mambo ya mkopo wa Elimu ya juu yani university unasoma bure na free food
Pesa ya zaire ilikaribiana na usd. Mobutu alinunua ndege kwa ajili ya Air zaire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu
Enzi za mobutu zaire ilikua tajiri mno hapakua na vita na pesa ilikuepo,
Hakukua na mambo ya mkopo wa Elimu ya juu yani university unasoma bure na free food
Pesa ya zaire ilikaribiana na usd. Mobutu alinunua ndege kwa ajili ya Air zaire

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanajichotea mabeberu ndio maana vita congo haitokwisha, inafikia hatua mageneral wa uganda na rwanda nao hujichotea tu mbao na dhahabu, maisha ya congo yaliingia laana ya damu ya mwanacongo patrice lumumba, na uroho na dharau za mobutu zimeifikisha congo hapo ilipo
 
nadhani wakulaumiwa ni wacongo wenyewe tu.na aliyewaruhusu waganda na warwanda kuingia congo
Hiyo nchi ilikua vizuri mno

Unajua mobutu alijenga INGA hydroelectric power ina uwezo wa kuzalisha umeme wa kutumiwa na Africa nzima bila kukatika na ukatosha.tatizo ni wacongo na mabeberu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom