Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
- Thread starter
- #161
Mkuu mimi siishi zaireNimekusoma toka page 1 mpaka mwisho nimepata kitu kichwani kuhusu Zaire, vp we hujawahi fika huko au unaishi huko?
Na sijawahi kifika.ila nina mpango wa kwenda siku moja na kuinunua nyumba ya mobutu niikarabati nikipata pesa
Sent using Jamii Forums mobile app