Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Kama unajua kikongo ama kilingala na unapenda miziki ya Kongo, basi ukipata wimbo wa FRANCO LUAMBO MAKIADI unaitwa

''Candidat na Biso Mobutu'' part 1 , 2 na 3

Maana yake ''Our Candidate is Mobutu''

Utacheka na kujifunza sana.
Nijaujua wote kwa tafsiri ,luambo alimsujudu Sana mobutu
Ngoja nikupe vionjo kidogo vya mashairi
Wazaire wote tokeni barabarani,tumshangilie mgombea wetu Mobutu
Bazana na bazolo(mjini na vijijin) mgombea wetu ni Mobutu
Kamati kuu ilifanya kazi nzuri kumpitisha Mobutu kama mgombea wetu,wachawi na wanafiki wote wameumbuka
Janvier à mars (mwezi January hadi machi) tutafanya maandalizi ya kampeni, de Mars à mai (mwezi wa tatu hadi wa tano) kufikia mwezi novemba tutakuwa tumeshamaliza propaganda zote na mgombea wetu atashinda
Ba gouverneur nyoso (wafanyakazi wote wa serikali mgombea wetu ni Mobutu
L'armée nationale (majeshi ya Taifa mgombea wetu Ni Mobutu)
Hivi ninavyoimba,wachawi na wanafiki wanasema kumbe luambo ni wa Mobutu? Na mimi nawauliza mlidhani mimi ni wa Nani?
Mobutu ameleta Amani Zaire,tembea nchi nzima mioyo ya watu imejaa Amani,zamani ilikuwa hivyo?
Watu wote mlio katika vyombo vya usafiri mgombea wetu ni Mobutu,hata kama unasafiri kwa Meli,mashua mgombea wetu ni Mobutu,wagonjwa mlio mahospitalin mgombea wetu ni Mobutu
 
Yapo yote,
Yaliuzwa baadhi, Kuna ile inaitwa Villa del mare naitamani sana ndio dream home yangu,ipo pembeni ya bahari,imepambwa kwa dhahabu
Ipo wapi? Mimi France nilikuwa Marseille Ila kwa shughuli sikuweza hata kufwatilia habari zake
Na hayo majumba Nani anayesimamia?
 
Yah mara ya mwisho wamemzima zote na akapigwa marufuku kwenda Ulaya na ndo kuna hela zake anakufa Morocco hana hata hela ya kula.
Hahaha mkuu
Ni hivi,alikua na pesa nyingi yule,mwenzio mwezi wa 5 mwaka 1997 aliondoka Zaire na zaidi ya USD 200 million cash useme hakuwa na hela ya kula ?
Yani hela walizo zi freeze uswizi zilikua ni kama 10 million dollars ,yeye alikua na investment nyingi mnoooo!!!
Yani ukiacha pesa alizokuwa nazo zaidi ya USD 15 billion, all chukua zaidi ya 200 million mwez wa tano mwaka 1997,

Kuhusu kuzuiliwa ulaya,alitibiwa ulaya mpaka mwaka huo 1997 alipokufa,walimzuia kuanzia mwezi wa 5 1997 asiende ufaransa kwa sababu kulikua Kuna uchaguzi wa rais,so alikua anasubiri uishe,ni sababu za kisiasa
 
Yah mara ya mwisho wamemzima zote na akapigwa marufuku kwenda Ulaya na ndo kuna hela zake anakufa Morocco hana hata hela ya kula.
Kumbe kipindi anakufa hakuwa na hela? Vipi Yale majumba yake Paris,Geneva nk?
 
Ipo wapi? Mimi France nilikuwa Marseille Ila kwa shughuli sikuweza hata kufwatilia habari zake
Na hayo majumba Nani anayesimamia?
Ipo cap Martin, uki search Google unaliona,search Villa del mare
Mkuu sasa hivi hakuna anayeishi humo sijajua mmiliki ni Nani,ila walikuwa wanatafuta wateja kuuza,ukienda Tena mkuu usisahau kuleta pics za Hilo jengo,
Siku nikijaliwa kufika ufaransa kitu Cha Kwanza itakuwa ni kuliona
 
Mkuu Lukas Mobutu wewe Ni hazina yetu hapa jf linapokuja swala la Zaire na Mobutu // swali moja kwako nijibu ndio au hapana

Je Mobutu alikuwa mtu mwema?
Ahsante mkuu,
Kuhusu swali ni hivi,yule Mtu alikuwa haeleweki,Kuna mwandishi mmoja wa kitabu kinaitwa THE REAL MOBUTU aliulizwa swali Hilo uliloniuliza ,

Alijibu hivi "he was a complex fella,he was multidimensional"
Hiyo ni kwa sababu alikua ni mwema na mbaya kwa wakati mmoja,
Kuna watu aliwafanyia mema sana,na alifanya mema kwa nchi yake pia kwa kujenga miundombinu na vitu vingi,lakini waliojaribu kumdhuru aliwaua

Watu waliowahi kuwa karibu nae wanasema alikuwa mfuasi wa Nicholas Machiavelli ,huyu Machiavelli alitoa theory ya kuwatumia binadamu wenzio kwa manufaa yako wewe binafsi,pia aliamini ni Bora kuogopwa kuliko kupendwa

Mobutu alikuwa ni muoga sana wa kifo hata alikua hawezi kupata usingizi akiwa ndani ya ndege na hakuamini watu wengine,aliona wanaweza kumdhuru hivo ilikua ukifanya kitu Cha kutishia uhai wake anakuua.

Watu waliowahi kumuona wanasema alikuwa ni Mtu mcheshi sana na mpenda watu,mfano Kuna mwandishi wa habari alimuomba moja ya kofia zake akampa,Kuna mzungu alisema alikutana na mobutu hotelini,mobutu akamkaribisha kwake wanywe wine jamaa akakataa ila baadae alijuta alipongundua yule alikua ni mobutu rais wa Zaire

Alienda kanisani Kila jumapili ,na baada ya ibada aliwagawia waumini maburungutu ya pesa

Mkuu,in conclusion,mobutu alikua Mtu mwema sana kama hautokuwa tishio la uhai wake,ukiwa tishio utamuona katili,na alisema "sijali kuonekana katili"wakati alitoa hukumu ya kifo miaka ya 70 kwa waliojaribu kumuua
 
Doh am satisfied mkuu
 
Nijaujua wote kwa tafsiri ,luambo alimsujudu Sana mobutu
Ngoja nikupe vionjo kidogo vya mashairi
Wazaire wote tokeni barabarani,tumshangilie mgombea wetu Mobutu
Bazana na bazolo(mjini na vijijin) mgombea wetu ni Mobutu
Kamati kuu ilifanya kazi nzuri kumpitisha Mobutu kama mgombea wetu,wachawi na wanafiki wote wameumbuka
Janvier à mars (mwezi January hadi machi) tutafanya maandalizi ya kampeni, de Mars à mai (mwezi wa tatu hadi wa tano) kufikia mwezi novemba tutakuwa tumeshamaliza propaganda zote na mgombea wetu atashinda
Ba gouverneur nyoso (wafanyakazi wote wa serikali mgombea wetu ni Mobutu
L'armée nationale (majeshi ya Taifa mgombea wetu Ni Mobutu)
Hivi ninavyoimba,wachawi na wanafiki wanasema kumbe luambo ni wa Mobutu? Na mimi nawauliza mlidhani mimi ni wa Nani?
Mobutu ameleta Amani Zaire,tembea nchi nzima mioyo ya watu imejaa Amani,zamani ilikuwa hivyo?
Watu wote mlio katika vyombo vya usafiri mgombea wetu ni Mobutu,hata kama unasafiri kwa Meli,mashua mgombea wetu ni Mobutu,wagonjwa mlio mahospitalin mgombea wetu ni Mobutu
Nimekumbuka mbali sanaa, unajua ilikuaje mpaka Franco akatunga huu wimbo??

NI HIVII :-

Franco na kundi lake la TPOK JAZZ walikuwa wanakubalika sanaa na kisha wakafikia mahali siku moja kulikuwa na show kisha wakatandika kapeti chini mfano wa zile red carpet za Marekani, ila sikumbuki rangi.

Ila rangi yake ilifanana kabisa na suti aliyovaa Mobutu Sseseseko Wazabanga siku ya tukio, Mobutu aliona ile ilikuwa dharau kubwa sana rangi ike kukanyagwa na viatu, kisha akatuma baadhi ya wanajeshi wamkamate Franco na wenzake.

Franco alitorokea Ubelgiji (Belgium) kisha maisha yakaanza kuwa magumu kule kwa kukosa washabiki wanaojua kilingala zaidi ya kifaransa.

Ilipokaribia Kampeni za Uraisi wa ZAIRE, ndipo Franco Makiadi akatunga wimbo wa Mobutu na kusisitiza kura zote ziende kwa Mobutu....Nani kama Mobutu??? ZAIRE yote ule wimbo ulipigwa asubuhi, mchana na usiku.

Sidhani kama kuna wimbo wa kumsifia kiongozi duniani kama huo.

Kuna mahali anawatuma watoto mashuleni anawaambia, tunajua Hamna umri wa kupiga kura...lakini kawaambieni wazazi wenu kuwa kura zote anastahili kupewa Mheshimiwa Mobutu pekee.

Mobutu ndiye chaguo la Mungu kwa wana wa Zaire.

Hahahahahahaha............!

KILICHOFUATA:

Mobutu aliomba wakina Franco waitwe na wazungushwe ZAIRE yote kupiga kampeni NA ZAIDI aliwanunulia vyombo vya mziki vya gharama kubwa sana kutoka FRANCE na BELGIUM.

Baada ya Mobutu kushinda, international perfomance yao ni walikuja ARUSHA - TANZANIA, uwanja wa Sheikh Amr Abeid

Vyombo vilikuwa vingi sana na vizito.

Wahudhuriaji wengi walitoka Nairobi.

Huyo ndiye FRANCO LUAMBO MAKIADI, King of RHUMBA.
 
Naam,na baada ya huo wimbo Mobutu alimpa franco malori 20,viwanja kadhaa Kinshasa
Pia miaka ya 80 Franco alikuwa ndiye msanii Tajiri kuliko wote Africa
Mwaka 1975 aliimba wimbo unaoitwa fc 105 du Gabon aliuimba kwa ajili ya kuisifia timu ya Taifa ya Gabon pamoja na Rais Omar Bongo
Franco hadi anafariki alikuwa na albamu 150 na nyimbo zusizipungua 1500
 
Ipo cap Martin, uki search Google unaliona,search Villa del mare
Mkuu sasa hivi hakuna anayeishi humo sijajua mmiliki ni Nani,ila walikuwa wanatafuta wateja kuuza,ukienda Tena mkuu usisahau kuleta pics za Hilo jengo,
Siku nikijaliwa kufika ufaransa kitu Cha Kwanza itakuwa ni kuliona
Mwaka huu mwezi wa 2_5 nilikuwa France nikijakurudi nitafanya uchunguzi
 
Back
Top Bottom