Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Aliyefariki ni tabu ley,simaro masiya lutumba yupo hai,mwaka juzi 2017 ndio alistaafu rasmi mziki na ktk hafla ya kustaafu alimwalika rais Kabila
Simaro Lutumba amefariki mwaka huu 30 / 03 / 2019

Tabu ley pia alishafariki.
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaa kwenda kwake kanisani ilikuwa ni kutafuta sympathy tu katika jamii na kuwateka watu kifikira sio kweli kwamba alikuwa na imani ya dhati kwa mungu .. mtu atoaye watu kafara na mungu ni wapi na wapi !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kalelewa na kanisa huyo , sio mtoto wa mtaani.km akina Idd Amin
 
Yeah mkuu
Naskia alifanya mengi.alikua mpaka na vyumba kwake anaingia yeye tu peke yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan kwa wazee wa zaman hiko ni kitu cha ajabu , wazee wa zaman hawakuwa na iman na watu wengine kweny vitu vyao vizur mf mzee akinunua tv inawashwa na yeye tu , so nahis sisi ndo tunaunga dots ila yawezekana ilikuwa ni kaushamba kake tu wala hana hizo elements za hayo unayoyasema , waafrika hawaitaji mambo mengi kuwatawala , angalia SSH anajilia mema Tz hakuna wa kumuhoji ,ia ndo usiniambie na yy ni mtu wa ndumba
 
Huyo si ndo mtoto wa Bobi Ladawa,tena kamuoa dada yake JP Bemba, kwa nini kakimbilia Marekani?Tatizo Mobutu alijisahau mno, angeshtuka mapema akang'atuka kama alivyofanya Nyerere. Yote yaliyomkuta yasingemkuta.
Alikuwa kakosea sn huko nyuma , kifo cha Lumumba plus kuipindua serikali ya Joseph pia usisahau kipind chote cha utawala alikuwa na upinzani mkubwa sn
 
Vipi ile airport aliyoijenga chatto ya zaile?
Hizo nyingine zinakuwaga ni siasa tu ila airport ikikuwa ya kipimbi tu ,sema walikuza udaku sn na ubaya waafrika sio wafuatiliaji tukisikia imetosha na sis kujiona tunajua kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…