Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Aliyefariki ni tabu ley,simaro masiya lutumba yupo hai,mwaka juzi 2017 ndio alistaafu rasmi mziki na ktk hafla ya kustaafu alimwalika rais Kabila
Simaro Lutumba amefariki mwaka huu 30 / 03 / 2019

Tabu ley pia alishafariki.
 
Mkuu nakujibu kwa awamu
1.inflation unayoongelea wewe ilianza during the early 90's na moja ya sababu ni kushukà kwa thàmani ya madini dunian mfAno cobalt. Zaire ilikua na uchumi mzuri sana kabla ya hapo 1zairean shilling ilikua ni sawa na 2USD kipindi madini yalipokua na tthaman

2.umeongelea kuuwa ma waziri wake.kasome historia vizuri.mobutu hajawai kuuwa mawaziri wake bali aliagiza kuuwawa mawaziri wa serikali iliyopita ambao walipanga kumpindua na part of the plan walitaka wamuue yeye

3.umeongelea kuhusu kujaza ndugu zake serikalini once again nakushauri nenda ukasome achana na habari za vijiweni.aliweka watu wa kabilA lake kAtika kikosi cha ulinzi wake binafsi na kumpa cheo ndugu yake mmoja kuwa general aliitwa gen nzimbi.emu nipe list ya hao ndugu zake uliowaona wewe serikalini .

4.umesema humu naandika sifa zake za ajabu.hujawai kuona nimeandika humu kuwa alinunua ndege kwa ajili ya Air zaire ndege kubwa nyingi ? Na ushahidi wA picha upo. Hujawahi kusoma nimesema alitoa pesa bure za kujikimu pamoja na chakula bure kwa wanachuo ? Hujawai kuona nimesema alijenga miundombinu ya umeme pale mto congo yenye uwezo wa ku supply africa nzima bila mApungufu ? Hujawai kusoma kuwa kipindi chake zaire ilikua na amani ?

Huyo nyerere
1.wanafunzi wa chuo kikuu alishindwa kuwasomesha bure na waliwahi kuandamana kuhusu chakula

2.nyerere wakati wake si ndio mlikula maindi ya ng'ombe wa marekani ? Si ndio mlivaa nguo zimechanika ? Si ndio aliwatoa mijini akawapeleka vijiji vya ujamaa ?

Umeongelea ukombozi wa Africa once again nakwambia go and read about mobutu
Alishiriki vita vya ukombozi wa chad na Angola pia wakati wa mauaji ya kimbali alituma walinzi wake binafsi wakalete amani rwanda. May i remind you kuwa hata asingefanya haya yote ya kusaidia ukombozi angekuwa sawa.jukumu la rais ni kuwaletea maendeleo watu wake sio kuwa na kiherehere kama cha mchonga kilichosababishia nchi vita na umasikini mkubwa.nimewahi kusoma mahali fulani kuwa hatukuwahi ku recover kabisa kutokana na gharama z vita ya kagera.

Nb
Nyerere hakuifanyia chochote Tanganyika cha kimaendeleo.aliiua Tanganyika ndio maana most of our elders hata humu JF waliishi maisha ya umasikini.wakati w Mobutu wazaire wengi hasa wa mijini waliishi vizuri
Japo Mobutu alichokosea aliijenga na akaibomoa zAire yeye mwenyewe.ila nyerere aliibomoA tanganyika

Pia siku nyingine uwe na kumbu kumbu kuwa kati ya mobutu na nyerere kuna mmoja alimuua PM wakeuki
 
Kuna jamaa nilimsikia akisema kipindi Mobutu yuko madarakani wakati wa taarifa ya habari kwenye TV huko Zaire eti kibwagizo ilikuwa anaonekana kwanza Mobutu anashuka kutoka mawinguni kuja duniani kama malaika alafu ndio taarifa ya habari ionyeshwe.Mkuu kuna ukweli hapa?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaa kwenda kwake kanisani ilikuwa ni kutafuta sympathy tu katika jamii na kuwateka watu kifikira sio kweli kwamba alikuwa na imani ya dhati kwa mungu .. mtu atoaye watu kafara na mungu ni wapi na wapi !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kalelewa na kanisa huyo , sio mtoto wa mtaani.km akina Idd Amin
 
Yeah mkuu
Naskia alifanya mengi.alikua mpaka na vyumba kwake anaingia yeye tu peke yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan kwa wazee wa zaman hiko ni kitu cha ajabu , wazee wa zaman hawakuwa na iman na watu wengine kweny vitu vyao vizur mf mzee akinunua tv inawashwa na yeye tu , so nahis sisi ndo tunaunga dots ila yawezekana ilikuwa ni kaushamba kake tu wala hana hizo elements za hayo unayoyasema , waafrika hawaitaji mambo mengi kuwatawala , angalia SSH anajilia mema Tz hakuna wa kumuhoji ,ia ndo usiniambie na yy ni mtu wa ndumba
 
Huyo si ndo mtoto wa Bobi Ladawa,tena kamuoa dada yake JP Bemba, kwa nini kakimbilia Marekani?Tatizo Mobutu alijisahau mno, angeshtuka mapema akang'atuka kama alivyofanya Nyerere. Yote yaliyomkuta yasingemkuta.
Alikuwa kakosea sn huko nyuma , kifo cha Lumumba plus kuipindua serikali ya Joseph pia usisahau kipind chote cha utawala alikuwa na upinzani mkubwa sn
 
Back
Top Bottom