Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Huyo si ndo mtoto wa Bobi Ladawa,tena kamuoa dada yake JP Bemba, kwa nini kakimbilia Marekani?Tatizo Mobutu alijisahau mno, angeshtuka mapema akang'atuka kama alivyofanya Nyerere. Yote yaliyomkuta yasingemkuta.
 
Hahaa sasa mtu ameoa wanawake kibao . Kila mama ana tamani mtoto wake ndio apewe kipaumbele"maelewano yatatoka wapi... kwa hiyo alitaka kuigeuza congo kuwa nchi ya familiar !?, hilo lingewezekana lakini tatizo wakati ana tawala alijijengea maadui wengi. Kiasi ambacho baada ya kupatwa na down fall akakosa hata mtu wakum support ili aweze walau kumsaidia kuitimiza ndoto yake .... yaonekana pia,aligombana na mabeberu " ambao ndio walimuweka madarakani " so hilo linechangia pia kuweza kushindwa kukirithisha kizazi chake utawala wa congo

Kwa sababu waliamua kuibadilisha chain kwa kabila (mzee) baada ya kuona mobutu kaota mapembe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi mkuu
Hapo ndipo alikosea.
Kuhusu mabeberu pia upo sahihi.

Kuna siri alimpa bodyguard wAke mwaka 1997 baada ya kupinduliwa.waliongea wawili tu chumbani.mpaka leo sijaona mahali jamaa akiiongelea wazi alisema tu Mobutu alimwambia mengi ikiwapo hiyo siri ambapo Mobutu alitapeliwa/kuingizwa mkenge na mabeberu
Siku nikimpata jamaa nitamuuliza kama atasema nita share humu mazungumzo yao hayo ambayo Mobutu hakutaka watu wengine wayasikie akawafukuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhh mzee baba itabidi nikutafute unipe kitengo .. yaweza kukuta naongea na mkuu wa Usalama wa congo hapa ...

Tafadhali usiseme hapana aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo si ndo mtoto wa Bobi Ladawa,tena kamuoa dada yake JP Bemba, kwa nini kakimbilia Marekani?Tatizo Mobutu alijisahau mno, angeshtuka mapema akang'atuka kama alivyofanya Nyerere. Yote yaliyomkuta yasingemkuta.
Ndio mkuu
Ni mtoto wa bobi ladawa. Alikimbia nadhani sababu alichukia kufukuzwa kazi na kabila, waligombana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhh mzee baba itabidi nikutafute unipe kitengo .. yaweza kukuta naongea na mkuu wa Usalama wa congo hapa ...

Tafadhali usiseme hapana aise

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] mkuu am just a nobody
Mimi ni kijana tu ninayetumia muda mwingi kusoma na kufanya utafiti kuhusu Zaire na Mobutu
Ndani yake ndio nakutana na details nyingi za hivo

Mobutu pia alisema angechapisha documments za siri kuhusu marekani na mabaya yake Africa ila Afya naona ilimzuia maana alitumia muda mwingi hospital

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa asinge thubutu .. CIA wasinge muacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda hata walimuua
Maana kuna kipindi Afya yake iliimarika ila ghafla akalazwa hosp then akafa.
Wanasema wengine kuwa aliishiwa kabisa damu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ... kwa mtu kama yule nadhani kuna 85% ya kukutwa na hicho ulicho kisema .. tatizo la ubaya wa system unaweza kupandikiziwa jasusi ambaye anaweza kuwa hata mkeo na usijue kitu

Yeah mkuu
Ila binadamu wabaya sana.mzee alijikuta yuko peke ake kila mtu alimsaliti kimbilio lake likawa familia yake tu

Usiombe uishi maisha ya kuwindwa uuliwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawe una vielement vya uchawi kumbe umepata kwa bibi?
 
Yeah mkuu
Ila binadamu wabaya sana.mzee alijikuta yuko peke ake kila mtu alimsaliti kimbilio lake likawa familia yake tu

Usiombe uishi maisha ya kuwindwa uuliwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee dunia mbaya sana haswaa uki bank krupt huto muona no body " lakini tatizo ile ni karma mkuu ... hawaku mtendea wema Lumumba

Pia wakati wa utawala wake mobutu aliumiza watu wengi Sana ..so ile ni radhi tu ya ulimwengu ili mrejea "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu
Maybe kweli ni karma.siasa ni mchezo mchafu sana
Umejaa visasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi ile airport aliyoijenga chatto ya zaile?
 
Ila Mobutu alikuwa millionea jamani,watoto wake wote wamesoma Ulaya na Marekani kuanzia primary mpaka vyuo.Birthday zilikuwa zinafanyika kwenye makasri ya Mobutu Ufaransa.Ila jamaa alijisahau mpaka mwisho wake ukawa mbaya.
 
Alikua na akili sana licha ya kasoro zake
Ndio maana hata jiwe namkubali somehow alivopga 1.5

Mobutu zaidi ya 30% ya national budget ilikua yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…