Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakuu,
Baada ya kauli ya mwanasheria mkuu wa serikali Johari kwamba kuna mtu mmoja nje ya nchi anahamasisha maandamano, wakili Jebra Kambole amemtaka pia ajiulize kwanini watu hao walimsikiliza mtu huyo aliye nje na si viongozi wao wa ndani ikiwemo Rais.
===
Kupitia ukurasa wake wa X, Jebra ameandika kuwa;
"AG wa kuungaunga alitakiwa kujiuliza, Kwanini mtu 1, tena yuko nje na hana mamlaka yoyote, anawaambia watu watoke wakomboe nchi, Mama Samia alisema wasiandamane, AG alisema, polisi walisema, wakuu wa mikoa na wilaya wote walisema lakini hawakusikilizwa! Kwanini hawasikilizwi?"