GE2025 Jebra Kambole: Mwanasheria Mkuu ajiulize kwanini wananchi walimsikiliza mtu mmoja kutoka nje na si viongozi wa ndani?

GE2025 Jebra Kambole: Mwanasheria Mkuu ajiulize kwanini wananchi walimsikiliza mtu mmoja kutoka nje na si viongozi wa ndani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
AG unga unga mwana.....!! Hakuna kitu hapo JD imejaa visasi badala kuja mpango wa reviewsheria zote kandamini dhidi ya nchi.....
 
Wakuu,

Baada ya kauli ya mwanasheria mkuu wa serikali Johari kwamba kuna mtu mmoja nje ya nchi anahamasisha maandamano, wakili Jebra Kambole amemtaka pia ajiulize kwanini watu hao walimsikiliza mtu huyo aliye nje na si viongozi wao wa ndani ikiwemo Rais.

===

Kupitia ukurasa wake wa X, Jebra ameandika kuwa;

"AG wa kuungaunga alitakiwa kujiuliza, Kwanini mtu 1, tena yuko nje na hana mamlaka yoyote, anawaambia watu watoke wakomboe nchi, Mama Samia alisema wasiandamane, AG alisema, polisi walisema, wakuu wa mikoa na wilaya wote walisema lakini hawakusikilizwa! Kwanini hawasikilizwi?"

View attachment 3497988
Kila kizazi kinakabiliwa na vita vya ndani kati ya nuru na giza. Wale wanaochagua kumsikiliza Mungu, hata katika dunia yenye kelele, ndio watakaokuwa mashahidi wa ukweli katika zama za udanganyifu. Amani ya kweli haiji kwa kufuata wengi, bali kwa kusikia sauti ya Mungu ndani ya nafsi yako.

“Sauti ya Shetani ni kelele inayopendeza, lakini sauti ya Mungu ni kimya kinachojenga.”
 
Mwanasheria ana elimu ya kuunga unga kama Hangaya. Kasoma, bachelor's and master's in Ukraine, should tell you everything you need to know.
For first priority ni Mange! Now you gotta guess!
 
Unaweza kumuita mtoto wako wa kiume jina la Johari mkuu?

"Jawhar" is an Arabic and Persian name that means "jewel," "gem," or "precious stone," and can also refer to "essence," "substance," or "heart". As a name, it can be unisex and symbolizes value, preciousness, and inner worth.
 
Back
Top Bottom