Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumanne Mei 06.2025 kesi mbili (2) zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu zinaendelea kwa njia ya mtandao Mahakamani hapo
Mmoja wa Mawakili wa utetezi Wakili Jebra Kambole ambapo amesema kesi ya kwanza ni ya uhaini ambayo inakuja kwa ajili ya kutajwa, na kesi ya pili ni ya uchochezi na kuchapisha taarifa za uwongo kwenye mtandao wa kijamii wa YouTube inayokuja kwa ajili ya Mahakama kutoa maamuzi ya mapingamizi yaliyowekwa na upande wa utetezi kuhusiana na mwenendo wa kesi hiyo