tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Anahusika 200.% yeye ndio kaingia mkataba,mbarawa ni mpewa amri tuYaani toka kelele hizi ziwepo Rais hajaongea Jambo lolote .Naanza kusaini huyu Samia yupo kwenye kuuzwa Kwa BANDARI hizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anahusika 200.% yeye ndio kaingia mkataba,mbarawa ni mpewa amri tuYaani toka kelele hizi ziwepo Rais hajaongea Jambo lolote .Naanza kusaini huyu Samia yupo kwenye kuuzwa Kwa BANDARI hizi.
Tuendelee kupaza sauti, mama ni msikivu. Inawezekana aliingizwa chaka na washauri/ wasidizi, ila na sisi wananchi tuna nafasi yetu ya kusukuma huu ukweli mpaka aueleweNi kweli kwamba Rais hasikii sauti hizi...
Kweli!?
Mbona mi ningezira hata huo Urais wenyewe.
Kwa nini uchutame?Serikali ichutame katika jambo hili na ifanye jambo sahihi baada ya kutupiwa mgogole wenye ushauri mzuri ijivike na kusimama wima kisha kutekeleza haya yote wanayoshauriwa na wananchi wa Tanganyika nini ifanye kuondokana na fedheha hii ya karne
Hukumsikia?Yaani toka kelele hizi ziwepo Rais hajaongea Jambo lolote .Naanza kusaini huyu Samia yupo kwenye kuuzwa Kwa BANDARI hizi.
Huyu mzee kuna maeneo lazima akumbukwe kwa misimamo yake, sijui kwasasa tuna kiongozi wa aina gani?!Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Mh. John Magufuli ashangaa Mradi wa Bandari Wenye Masharti ya ukichaa
- Land-Lease tofauti na ya wananchi kwa miaka 99 kwa mwekezaji
- Kodi TRA hawataiona
- Tumekopa fedha 1 Trilioni kuboresha magati ya bandari ya Dar es Salaam nani atalipa deni hili mwekezaji akichukua
- Bandari ya Tanga hairuhusiwi kuendelezwa bila ruhusa ya mwekezaji wakati tayari Tanzania ina makubaliano na Uganda kuhusu bomba la mafuta la kutoka Hoima Uganda hadi bandarini Tanga
- Bilioni 337 zimetumika kuboresha bandari ya Mtwara ipokee mafuta halafu mwekezaji anasema ni yake haturuhusiwi
- Bandari ya Kilwa pia iwe yao
- Bandari ya Lindi
- N.k n.k
Magufuli ndie aliwatuma muende kumpa mwarabu mkataba usio na ukomo?Magufuli naye alizingua. Kama China, Oman na Tanzania wange Implement ule mradi, haya ya DP WORLD yasingekuwako.
Mshenzi yule aliponda Bagamoyo Port halafu akaenda kuanzisha Project ya UKICHAA ya kufanya kijiji chake cha Chato kiwe Mkoa. Mungu akasema subiri hunijui
Wewe ungetumia akili usingeandika hivyo ulivyoandika. Nasema kama mradi wa Bagamoyo Port unge click, leo hii DP WORLD wasingekuwa hapa wakutafuta biasharaMagufuli ndie aliwatuma muende kumpa mwarabu mkataba usio na ukomo?
Muwe mnafikiria kidogo kabla ya kujiandikia tu.
Magufuli hana kosa kwenye hili, usimlaumu, kama hiyo bandari ilikosa mwekezaji ingesubiri, lakini sio kwenda kumpa mwarabu mkataba wa hovyo namna ile halafu useme kama asingekuwa Magufuli...Wewe ungetumia akili usingeandika hivyo ulivyoandika. Nasema kama mradi wa Bagamoyo Port unge click, leo hii DP WORLD wasingekuwa hapa wakutafuta biashara
Wamepewa rushwa ndefu unaona sky scrapers wanazoplan kujengaNi wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa.
Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba.
Oman ilikuwa na mapande ya nchi kuanzia Somalia, Kenya, Tanganyika, Zanzibar Mozambique na Congo miaka ya 1880 huku nchi kubwa ikiwa Oman. Ujerumani baadaye walikuwa na mapande ya nchi ya Ujerumani iliyoitwa Tanganyika, Urundi-Ruanda. Uingereza nayo baadaye ikawa na mapande yake Zanzibar , Tanganyika , Uganda, Kenya n.k
Cause and effect relationshipsMagufuli hana kosa kwenye hili, usimlaumu, kama hiyo bandari ilikosa mwekezaji ingesubiri, lakini sio kwenda kumpa mwarabu mkataba wa hovyo namna ile halafu useme kama asingekuwa Magufuli...
Magufuli hakumtuma msaliti akakubaline na zile terms za hovyo.
@FaizaFoxy na Lucas mwashambwa watakupinga.Hata mimi naamini hivyo. Ila ni wakati sasa wa kuifutilia MoU haramu. Tukiiacha ikaendelea tutatengeneza mikataba mibovu pia.
Hao wawili ni fanatics, akili zao zimeathirika na ushabiki kwa kiongozi@FaizaFoxy na Lucas mwashambwa watakupinga.
Wamevaa miwani ya mbao@FaizaFoxy na Lucas mwashambwa watakupinga.