Jedwali la Mengi: Nani hayumo?

Jedwali la Mengi: Nani hayumo?

I have this Feeling,

Wakati mwingine wakati unahisi mtu akimtetea ROstam au kina Lowassa au Mkuu wa nchi basi huyo yupo kwenye Payroll ya mafisadi.

Kwa ushaihidi ule ule mie nahisi watu hawa watakuwa kwenye payroll ya mengi,haiwezekani watu kumtetea tu mzee huyu wakati huo huo wanpigia chepuo utawala wa kisheria(Mzee kaingilia mahakama)!

Ni utawala gani wa kisheria unaruhusu watu kuzungumia kesi zilizoko mahakamani na kutoa hukumu?

Mie mpaka sasa huwa nasikia Rostam ni Fisadi,ila sijawahi kuona ushahidi wa ufisadi wake!

Aliye nao naomba kwa nia nzuri tu aulete,aje na uthibitisho kama,Rostam alikuja na vithibitisho kwa yale aliyoyafanya mengi.

Ila mpaka sasa mie naona ni tetesi kuwa Rostam ni fisadi ila hakuna vithibi,mpaka nitakapothibitishiwa hayo!

uje na ushihidi wa makaratasi yeye ndiyo mmiliki wa KAGODA,yeye ndiyo miliki wa DOWANS na malipo yaliyowahi kufanywa naye!

watu hawa nimewasoma sana na leo nafikia kusema wako katika payroll,Nahisi ila kuna ukweli,maelezo yao kumtetea mengi ni unbiased

Naomba tuchole Jedwali lingine,mie i have a feeling na siku zote huwa sibahatishi nikihisi,huyu ni mmoja watakaokuwa wanafadhiliwa na Mengi!


1.Mzee Mwanakijiji

2.Kubenea

3.Invisible

Namheshimu sana Mwanakijiji ila naomba aje akanushe tu kwa maneno yake kuwa yeye siyo miongoni mwao!

sitaweza kumhukumu mtu bila ya kuwa na ushahidi ila kama tunavyohisi kina rostam ni mafisadi bais mie nahisi kina Mwanakijiji wanalipwa na Mengi,Period


Kumbe unahisi, nilifikiri ni kweli. Hao uliowataja, na mimi maane na watanzani wazalendo hasa maskini tutakubali kuwa katika payroll ya Mengi ambayo kwa jinsi tulivyo wengi kila mtu angeambulia kasumni tu (50 cents), na tuko tayari kupokea kasumni hako kwa kuwa kanapatikana kwa haki kuliko fadhila ya pesa za mafisadi ambazo hawana uchungu nazo ndiyo maana huzigawa strategically kama njugu!!!! Kama vile Yesu alimwaga damu msalabani kwa ajili ya kuukomboa ulimwengu bila malipo basi nasi tulio nyuma ya Mengi ni mfano halisi, hatuhitaji mshahara wala malipo.

Kwanza kwa invisible ni kumdhalilisha, kazi anayoifanya hapa na private ni kubwa sana na hakuna mtu anaweza kumfidia (i.e compensation) hivyo hawezi kudhalilika na pesa ya Mengi. Hata Kubenea na Mwanakijiji si watu wa bakuli la ombaomba wamejitosheleza kwa kuwa wao wanafahamu kiasi katika maisha!!! Wote hao wana uchungu na nchi hii na rasilimali zake kama ilivyo mimi maana long run impact ya ufisadi ni mbaya sana kwa nchi ya Tz. Nashangaa kwa nini tunatetea mafisadi bila ku think twice!!!!

Well done and congrats Mkuu Invisible, Kubenea, Mzee Mwanakijiji na wale wote ambao ni wazalendo halisi wa Tz.
 
Naona kijana kuna kitu kiwasha unatafuta kukunwa ..endelea tu ila huko mbeleni usije kwenda kulia kwa wajomba zako akina Invisible ..endelea

Uliwahi kunisikia hata siku moja nakimbilia kwa Invisible, sijawahi na haitotokea hata siku moja. Ukishindwa hoja unaanza matusi kama kawaida yako. Umesema umeishiwa sababu ya DECI?.

Gembe muongeze Mtindio wa Ubongo katika list.
 
Haki gani za kuleta mijadala isiyo na kichwa wala miguu? Asubuhi yote hii mnaanza politiki, wajukuu wenu watakula nini? Ndo maana taifa halisongi mbele, mtu asubuhi yote hii anaanzisha thread kama hii ..unategemea nini ? upupu mtupu..

With all due respect to you, naomba tu ignore kama ni upupu.
 
Sasa KINARA ukianza kutaja watu kwa majina huoni unavunja sheria tulizojiwekea. Sijui nikuripoti kwa nani uonywe?.
When it comes to Jokes we normally accept em buddy.

BTW: Nilisema "Nahisi" na wala sikuthibitisha.

I can ban myself, simply report to me!
 
Gembe na wewe kanusha kuwa kulipiwa masters na fisadi?

shalom,

Ndiyo nililipiwa kwa kuwa sikuwa ma uwezo..ila kupewa pesa siyo kosa ziwe za kifisadi ama la...unajuaje pesa ulizosomeshewa na baba yako hazijatokana na Rushwa?

ila nililipiwa na nani?hapo ndipo haujui kabisa....ona unavyopotea,leta ushahidi

siyo hoja..Shaloom na wewe umo kwenye Payroll..Mie nadhani zinachangiwa sana na umasikini wa watanzania...yaani unakuta mzee mzima kama slava anaanza kulia lia apewe fadhila..yaani it totally ashame..

Ukiangalia kabisa ,maneno ya Rostam na Mengi na maelezo yao yote yametoka humu humu JF..

kuna mtu alikuja kuwasaidia ku-compile mambo...Bila JF hakuna kitu
 
Acheni matani wakuu,

Mimi kuwekwa sishtuki na wala sikanushi... Nahisi Mengi mwenyewe ni Gembe so huenda ana nyaraka za kuthibitisha ndiye ananilipa!

Kama Mengi ni mmojawapo katika waliotoa hela hapa:

Michango JF 2009: Updates

Basi ananifadhili kweli!

Mbona Ijumaa bado?

Invisible,

Hivi mtu akikwakupua pesa za kifisadi na kuchangia JF kuna kosa?Na wewe ukiwa haujui ni za kifisadi

Jibu lako linaweza kujibu swali la shalom!

Mie naondoa jina lako pale kwa kuwa umekanusha..wewe haumo....
 
Ndevu amenyimwa Ng'ombe lakini Mbuzi kapewaaaaaa<> Usijione mjanjaaa -Chorus Lakini mbuzi kapewaaa; Kudadadeki mapapaa na nyangumi sikilizeni hekima za huyu kijana ktk kale kawimbo baadala ya kusoma magazeti yetu ya sasa.
 
When it comes to Jokes we normally accept em buddy.

BTW: Nilisema "Nahisi" na wala sikuthibitisha.

I can ban myself, simply report to me!

I LIKE IT......


shalom,

kulia lia apewe fadhila..yaani it totally ashame..

Ukiangalia kabisa ,maneno ya Rostam na Mengi na maelezo yao yote yametoka humu humu JF..

kuna mtu alikuja kuwasaidia ku-compile mambo...Bila JF hakuna kitu

Sawa KAKA/DADA jifagilie wawaaaa waaaaa
 
Jibu kutokana na message iliyoletwa na muanzishaji sio kupanda DECI (KUANZISHA THREAD NDANI YA THREAD)

Kama mambo ndiyo haya Mafisadi wana mtandao wa kutisha sana, kama kawaida ya wanasiasa wakitaka kupoteza ushahidi wa hoja zinazo wabana wanaanzisha hoja tofauti. Huu ni mwaka wa kupambana na ufisadi kivitendo na kuwaumbua. Wembe uleule wana jamii.
 
Huko nyuma ilishawahi kusemwa kuwa Gembe anasomeshwa na mafisadi, sasa naamini.

huko nyuma wapi sasa...

wewe haumjui Gembe,Invisible do you still remember my first name kabla sijabadili??

ni-PM..

mashauri achana na ushauri usio na maana!
sema kama umo au haumo
 
Kama mambo ndiyo haya Mafisadi wana mtandao wa kutisha sana, kama kawaida ya wanasiasa wakitaka kupoteza ushahidi wa hoja zinazo wabana wanaanzisha hoja tofauti. Huu ni mwaka wa kupambana na ufisadi kivitendo na kuwaumbua. Wembe uleule wana jamii.


Huu ni mwaka wa kupambana na mafisadi..

2007 je?

2008 je?

Safari ni ndefu na ndiyo maana ninasema hivi kwanini tusitafute mganga tu wa kuwamaliza mafisadi wote,yaani ukipokea tu rushwa unakuwa bwabwa au unapotea tu na kuelekea kusikojulikana !

tatizo siyo dogo unavyofiira,ufisaid uko kila maalai na ni kwa muda mrefu,zamani ilikuw ainaitwa RUSHWA.Enzi za mwalimu kuikuwa na maneno kama WALA RUSHWA...

ikaja kula ganji,kukamata mlungula..yaani tunabadili maneno ila hatubadili tabia za watu
 
Kwa hiyo hapa kuna vita ya upande wa Mengi na upande wa RA duh wote hawa wapambe...wengi wa wapambe wa Mengi naona wanakataa kuwa Mengi si mwizi,muhujumu kazi kweli kweli....
 
Back
Top Bottom