Jee Kuna Ukweli Kuwa in Tanzania, Mafuta ya Vituo vya Total, " They are The Best?. If Yes, How Wakati Tunanunua Bulk?.

Vipi kuhusu hii kitu wanaita excellium?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hvi unawezaje kuchakachua mafuta mkuu mbona unaongea bila ujuzi au hearsay za mitaani. Kuna watu wa 4 pale mafuta ya kiwa pumped . kuna Ewura,Tra, gs etc. Halafu wanachakachua wapate nini haswaa mkuu unahisi kuchakaua mafuta ni kama maziwa kuyatia maji hapana, sio deport lbda maderava zamn wa transit walifanya HVO lkn sio hao wa sasa ambao wanakuwa tracked na pia wanapimwa wakiingia boda.
 
Vipi kuhusu hii kitu wanaita excellium?

Sent using Jamii Forums mobile app
The dilemma is always the same for drivers filling their tanks. Should they buy the cheaper standard fuel or the high-grade, additive-enriched gas or diesel that costs a little more? To make that choice easier, Total has developed a new generation of EXCELLIUM premium fuels. And the new formula has arrived just in time.

Cyrille Yern
Manager of the Steel Motors Home Garage

Manufacturing methods have changed considerably. Production techniques are now more precise, so engines are smaller in size and weight, and parts have much less play. Engines are much more sensitive than they used to be and therefore require maximum high-tech fuels.

TOTAL EXCELLIUM New Generation additive-enriched fuels clearly belong to this category. This means that for every thousand liters of gasoline or diesel, one liter of chemical substances is added to improve performance.

Géraldine Papin
R&D engineer at the Total Research Center in Solaize, France

Additives include detergents, friction modifiers, combustion improvers, antioxidants and other substances that are designed to keep the fuel system clean and extend engine life.

After two years of research and development, 6,000 hours of tests in the lab and over 8,500 on the road, the new EXCELIUM formula is packed with R&D. Total chose to focus on keeping the engine clean in response to customer expectations.

Daniel Le Breton
Head of Product Marketing, Marketing & Services, Total

Before we defined the new products, we visited customers in several countries around the world and asked them what was most important to them, and the answer was always the same: protecting the engine from damage.

And if motorist demands are the same everywhere, it's because a dirty engine increases fuel consumption and greenhouse gas emissions. But what consumers tend to ignore is that engine clogging happens much sooner than they think.

Géraldine Papin
R&D engineer at the Total Research Center in Solaize, France

A 10% restriction in a fuel injector can be enough to cause a loss of power and driving enjoyment.

To avoid this, using a fuel that contains additives has become a necessity. In a fairly competitive market, TOTAL EXCELLIUM New Generation has a clear advantage: it keeps your engine clean, whether it is old or new, and significantly enhances its longevity.
 
Mkuu Bafa, mimi sio dereva, waliosema mafuta ya Total are the best sio mimi ni madereva, ndio maana nimeuliza humu, the best kivipi?.

P.
Mimi nataka kujua una maslahi gani na total maana si uzi wa kwanza kuuleta ukionyesha sifa nzuri kwa total
 
Ndugu mimi naongea kwa experience ya gari langu nilikua na hilo tatizo la check engine tena pasi na shaka mafuta ndio yaliyo kua yanasababisha kuchafuka kwa sensor ya mafuta sasa ukinijibu kwa ukali bika kuangalia logic niliyo andika unanishamgaza ok siku hizi jawachakachui sawa ni kitu gani kinapelekea taa ya check engen kuwaka mara tu nikiweka mafuta kwenye sheli zingine. Naungana na wewe kwamba uchakachuaji umepungua lakini haujaisha nilipata hilo tatizo tanga na same baada ya kucha kabisa kuweka mafuta kwe petro station zingine. Now hilo tatizo silipati kabisaa
 
Ile bulk stock ikifika, kabla haijapakuliwa kwenye meli, Ewura wanapima na ku certifying quality standards, ndipo meli ina offload. Kwenye vituo Ewura huwa wanafanya a surprise random check, compared na bulk stock standards, hivyo nani atathubutu kuchakachua?.

Hivyo swali linabaki, kama tunapokea mafuta in bulk, how come madereva waseme mafuta ya Total are the best?. For this to be true, then, there must be something special about mafuta ya Total.
P
 
Hii ndio essence ya bandiko hili, kama mafuta ni yale yale na yanakuwa procured bulk na supplier mmoja, how come mafuta ya Total ndio yawe the best?. Mind well, aliyesema mafuta ya Total are the best sio mimi, ni madereva, tena nimewapick mimi mwenyewe kwa random selection na hizo interviews zote ni impromptu.

P
 
Tukabaliane kuna kitu hapa tofauti kwa total hasa essence ya customer loyalty nadhan hilo wamefankiwa kutokana na brand yao.
 
Sidhani kama ni ubora ila wengi sisi wa Tz kujieleza inakuwa shida labda wangesema Total wana vituo bora na huduma bora ndio walitaka kumaanisha hivyo. ubora wa mafuta ni mpaka upime ukijuwa flashpoint ndio utajuwa ubora, ni sawa kuangalia mechi ya simba Africa kupitia ZBC na DSTV mechi same ila ubora wa picha tofauti.
 
Total mafuta yao sio mazuri kama ya Oryx Petrol station.Oryx tu ndo hawachakachui
 
Wewe mwakilishi wa Total si ungewauliza kwanini mafuta yao yawe bora wakati wanaletewa na mtu mmoja?
 
Mimi nataka kujua una maslahi gani na total maana si uzi wa kwanza kuuleta ukionyesha sifa nzuri kwa total
Kizuri kula na wenzio. Mimi natumia usafiri wa boda boda, hivyo naendesha chombo cha moto, hivyo maslahi yangu ni kuweza kuwa mteja wait.
P
 
Wewe mwakilishi wa Total si ungewauliza kwanini mafuta yao yawe bora wakati wanaletewa na mtu mmoja?
Objectivity is not to find out from Total, but from customers. Mimi sio mwakilishi wa Total bali ni mwana JF mwenye a keen interest na issues nyingi, ubora wa mafuta ya Total ni one of them.
P
 
Objectivity is not to find out from Total, but from customers. Mimi sio mwakilishi wa Total bali ni mwana JF mwenye a keen interest na issues nyingi, ubora wa mafuta ya Total ni one of them.
P
Customers wengi hawajui fuel additives,zaidi ya kusikia tu. Wengi hata hawajui miles per gallon za magari yao. Mfano Mimi sijaona tofauti ya miles per gallon nikinunua Total au GBP. At least Total wanaweza kutupa elimu kwanini mafuta yao ni bora kuliko Puma au Engen
 
Tatizo la hizi kampuni za mafuta watu wanazozituhumu sio ubora wa mafuta tatizo liko kwenye pump zimechezewa na wamiliki wakihusisha baadhi ya watumishi wa EWURA na kila wakifanya ukaguzi wa kushtukiza kwenye hizo pump taarifa zinakuja mapemaaa mmiliki anarekebisha wakija pump inapima na kusoma lita iliyokamilika kwa ujazo. Huu mchezo una mnyororo mkubwa sana wa rushwa basi tu ndo nchi yetu inavyozidi kubaki ktk kuhubiri bila matendo.
 
Hili swala kwa tanga linanishangaza sana kituo cha total kinaweza kuwa na foleni kubwa sana wakat vituo vya jirani hakuna kbs hata pik wakati huo lita moja ya petrol total inauzwa 2196 na kwingine inauzwa 2160 lkn watu wanajaa sana kwenye kituo cha total kuna siri gan total wakati mafuta yao wananunua pamoja na vituo vingine!!
 
Huku nilipo vituo karibia vingi vinabadilishwa kuwa vya total halafu nimeona wameanzisha na kadi zao kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…