Huku nilipo vituo karibia vingi vinabadilishwa kuwa vya total halafu nimeona wameanzisha na kadi zao kabisa
Yah ni kweli unavyosema sababu kuna vituo kama vinne hivi vya gapcol huku vimebadilishwa na kuwa totalMkuu Total aliingia ubia Kupangisha vituo vya GAPCO,PUMA! Alichukua KOBIL,ORYX, Kachukua OIL COM, Vituo vyote vya mikoani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu JFK, hiyo nyuzi 100c ni boiling point ya maji, yaananza kugeuka mvuke yakifikia tuu kiwango cha latent heat of vaporization from 56cMaji yanaanza kugeuka kuwa mvuke kwenye nyuzi joto 100, hivyo ukiona mtu anajifukza mvuke tambua kuwa joto la huo mvuke ni hilo na kuendelea.
PMkuu Bujibuji, kuna vitu humu, watu kazi yenu ni kusema tuu, ethanol inakuwa produced kiwandani kwa process ya fractional distillation, kutokana na different boiling points kwenye latent heat of vaporization, ikiisha boil na kuwa vapour inakuwa condensed kwenye condenses na kupata ethanol hivyo automatically, ku produce little ya ethanol ni costly zaidi kuliko kurefine crude oil, nani achanganye ethanol na petrol, kuhusu thinner sijui cost, but its more expensive kuliko mafuta ya taa.
P.
Anacho kisema Pasco ni ukweli asilimia mia, tusiongee bila kufanya tafiti mzee..Nakupa tu taarifa mafuta yote nchi hii yanaletwa na kampuni moja tu inayoshinda bidding sasa swala la total kuwa bora mafuta sijui nn ni itakadi na kwa sasa hakuna mpuuzi anaechakachua na HVO vituo vyote vinaendeshwa na waswahili hao hao sio total,puma wala Oryx
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali,
Jee Kuna Ukweli Kuwa in Tanzania, Mafuta ya Vituo vya Total, " They are The Best?. If Yes, How?!.
Juzi kati katika kusheherekea Sikukuu ya Wapendanao Valentine, Kampuni ya Total Tanzania ilitoa punguzo la TZS 70 kwa kila lita ya mafuta utakayo nunua katika vituo vya Total, hivyo kama kawaida ya Watanzania, tunavyopenda miteremko, na mimi nikiwa ni mmoja wa Watanzania hawa, hivyo nikachangamkia fursa.
Kwenye vituo nikakumbana na adha ya misururu mirefu ya magari makubwa, ya kati, ma SUV, madogo, taxi, Uba, hadi Bajaj na Boda Boda, zote zimesongamana vituo vya Total kujaza mafuta.
Tena kufuatia punguzo hilo, hata wale wanaojaza mafuta kidogo kidogo, leo nao wamejikakamua kujaza half tank or full tank, sasa just imagine uko nyuma ya SUV tatu za Range Rover, sijui full tank yake ni litters 200, basi utasubiri mpaka!, afadhali mbele yako iwe ni Bajaj na Boda Boda.
Kufuatia fole hizi kwenye vituo vya Total, nikajiuliza, yaani magari yote haya yanajazana vituo vya Total ili tuu kuchangamkia punguzo la Shilingi 70 kwa lita?.
Hivyo nikawahoji baadhi ya madereva, wasikilize wanavyosema kuhusu mafuta ya Total
In short wengi wamejibu kuwa kwa Tanzania, mafuta ya vutuo vya mafuta vya Total, ndio the best.
Swali, jee kuna ukweli kuwa mafuta ya Total, they are the best?.
Kwa vile Tanzania tunaagiza mafuta kwa bulk procurement, mafuta yote yanaletwa na waagizaji wachache walioshinda zabuni, sasa inawezekana vipi mafuta ya Total ndio yakawa the best, huku mafuta yote yameletwa pamoja?.
Paskali

Mkuu Gallius , karibu pande hiziKabla ya kusifia sana naomba unipe faida ya hicho kiambata excellium kwenye mafuta?? Na mafuta yakikikosa yanakosaje ubora?
Mghoshi naona umedandia treni hapo kohogwe!Nauza dawa ya Chango kwa wanawake na ngiri kwa wanaume dawa yet no mchanganyiko wa dawa 12 kutoka milima ya usambara dawa hi inatibu matatizo yafuatayo
Kuumwa miguu na mgongo
Kuvimba miguu na miguu kuwaka Moto
Kuwahi kileleni kwa wanaume na kuchelewa kileleni kwa wanawake
Kuongeza utelezi hivyo kufurahi tendo la ndoa kwa wanawake
Inatibu kuwahi kupata hedhi au kuchelewa kupata hedhi. Inatibu pia matatizo ya uzazi na kuongeza hamu ya kula kwa wale wasiopenda kula
Dawa zetu zinapatikana Soni Lushoto kwa Mzee Chakua Chakua na unaweza kutumia kwa basi la Kiluwa kwa wakazi wa Dar na kwa Arusha na Moshi tutatuma kwa Kibomboi
Dawa zetu zimesaidia wengi na hazina uhusiano wowote na matambiko walamizimu
Mawasiliano
bonifacekcharles@gmail.com
0624109061
0676780419
Dawa zetu zinapatikana Kila siku lakin zinatumwa kwa njia ya mabasi siku ya jumatano jumamosi na jumatatu
GAPCO ilishanunuliwa na Tatal. Before GAPCO ndio ilikua na facility kubwa ya kuhifadhi Mafuta kwa sasa Tatal ndio anaongozaYah ni kweli unavyosema sababu kuna vituo kama vinne hivi vya gapcol huku vimebadilishwa na kuwa total