Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

Naungana na wewe Bingwa wa Kemia amesisitiza watu wajifukize kwa mwaroabaini na tangawizi kuua vidudu vya korona....Famigation waliofanya DSM ni upuuzi maana ile ni chlorine haina uwezo wa kuua virus na inawezekana ile famigation ndio iliyosababisha kuongezeka kwa wagonjwa wa vovid19 bingwa wa kemia amewaomba wanausalama wafanye uchunguzi kuhusu ile famigation.

Daaah kama ni raisi tu tunae.

Magu kila akiibuka hewani lazima achafue hali ya hewa.
 
Hakuna mahala ninapoipinga hutuba ya MAGUFULI, Mheshimiwa raisi yuko sahihi 100%.
Najua mawakala wa ukoloni mamboleo hawataielewa hiyo hutuba

Kuna mambo namuunga mkono JPM na hii hotuba yake alichozungumza yupo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makosa yalishafanyika tangu mwaka 2015! Kwa sasa tupambane tu na hali zetu. Kumlaumu, kumkosoa, nk haitasaidia chochote maana alishajitapa mara nyingi ya kwamba yeye si mtu wa kushauriwa na si mtu wa kuwaamini wasaidizi wake.

Kinachomjia kichwani mwake, ndiyo hicho hicho. Mpaka ifikie 2025, tutashuhudia mengi.
 
Wanabodi,

Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.

Je, bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?
Andamana nami.
1. Background, Professionalism
Tangu kuanza kwa janga hili la Corona, mimi kama Mtanzania Mzalendo nimeshiriki kikamilifu katika vita hii kikamilifu katika maeneo 5
  1. Kama Mtanzania tuu wa kawaida
  2. Kama Mwana jf
  3. Kama mwandishi wa habari mzoefu
  4. Kama mtangazaji wa TV Nguli
  5. Kama mtu mwenye exposure.
Hivyo kwenye hayo maendeleo 5 nimeshiri kwa kutoa maoni mbalimbali, miongoni mwake ni ule ushauri wangu wa mwanzo kuwa zipo wizara zinaweza kuongozwa na Waziri mwanasiasa yoyote, lakini kuna wizara zinazo deal na technical issues, zinapaswa kuongozwa na ma professionals. Moja ya wizara ya Afya, ilipaswa kuongozwa na daktari bingwa na sio a layman kwenye medical field.

Tulipoanza tuu ile siku Waziri wa Afya akiwa daktari Bingwa kwa jina la Janet akizungumzia kuvaa face mask, daktari huyo akiwa mbele ya Waziri wa Afya alisema face mask zitavaliwa na madaktari tuu wanaohudumia wagonjwa. Nikapandisha bandiko humu na kusema it's not right kwasababu kama inachukua siku 14 kuibaini Corona kwa aliyeambukizwa, how will one knows hivyo to be on a safe side ni watu wote wavae facemasks kama China. Waziri angekuwa daktari pale pale angejua.
Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums

2. Mazungumzo na Naibu Waziri wa Afya
Kuna siku nimezungumza na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile, kama ilivyo kawaida yangu, mimi huwa nina maswali magumu. Miongoni mwa maswali niliyomuuliza Dr. Ndugulile ni swali la kwa vile Corona haina dawa, jee anaweza kueleza hao wagonjwa kwenye vituo vya matibabu wanafanywa nini au wana hudumiwa huduma gani ili Watanzania wenye uwezo waweze kuwahudumia wagonjwa wao ambao hawajazidiwa ili kuzuia hospitali zisielemewe. Dr. Alinigomea!.

Kisha nikamuuliza kwa vile Corona ni mafua, kwanini Wizara ya Afya isihamasishe alternative medicine ya watu kujitibu ili wengine wamalizane nayo juu kwa juu bila kuisumbua serikali na kupelekwa vituo vya huduma?.

Pia swali hili alinigomea na kusisitiza kila mwenye dalili aripotiwe.

Kwa kutumia uzoefu wangu wa exposure, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile alikuwa ana majibu yote tena ya kidakitari, lakini kwa vile yeye sio Msemaji rasmi, Msemaji rasmi ni Waziri wake, na Waziri sio daktari, Dr. Ndugulile aliogopa kusema akapishana na Waziri wake, lakini Waziri wa Afya angekuwa ni daktari Bingwa, Dr. Ndugulile angezungumza.
Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV - JamiiForums
Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona - JamiiForums

3. Bingwa wa Kemia Aingilia Kati
Hayo maswali mawili magumu niliyo muuliza Naibu Waziri wa Afya Dr. Faustine Ndugulile ambayo yalitakiwa kujibiwa na madaktari Bingwa wa tiba, leo yamepatiwa majibu badala ya kupatiwa majibu na madaktari Bingwa wa tiba, kitu cha ajabu sana kuhusu mapambano dhidi ya janga la Corona nchini Tanzania, maswali hayo yamepatiwa majibu na Bingwa wa Kemia.

Tanzania tulizoea viongozi wetu wakuu wa kisiasa huwa ni wanasiasa, hivyo ulipo tokea Bingwa wa Kemia alipoutaka urais, kiukweli kuna watu humu tulimshangaa!, tangu lini Bingwa wa Kemia akawa kiongozi wa siasa kuwa mkuu wa nchi?.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Lakini kwa mara ya kwanza katika urais wa Tanzania, leo ndio tumeona umuhimu wa kiongozi wa nchi anapokuwa ni Bingwa wa Kemia kuutumia ubingwa wake wa kemia kulisaidia taifa lake kwa ushauri wa Kikemia wa jinsi ya kutumia Kemia kupambana na janga la Corona.

P
Karibu.

Paskali
Umesema VEMA ILA UNGEYAANDIKA HAYO MAJIBU YALIYOPATIKANA KUTOKA KWA HUYO BINGWA WA KEMIA ILA NAMI NIJIKINGE MAPEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah wewe na Pascal Mayalla Mayalla mtatuponza hizi comment zenu.
Kama hapo kwenye kuvukiza nilimsikiliza mkuu sana nikashituka pale aliposema yule virus atapasuka tu hawezi kuhimili 100 Degrees Centigrade, nikasema hivi nani anaweza kuvumilia kupigwa na mvuke wa nyuzi hizo za joto asiungue usoni?

Mkuu sana alitakiwa asome script tu, kila akijaribu freestyle a.k.a 'acapella' huwa anatoka nje ya note.
Maji yanaanza kugeuka kuwa mvuke kwenye nyuzi joto 100, hivyo ukiona mtu anajifukiza mvuke tambua kuwa joto la huo mvuke ni hilo na kuendelea.
 
Inauma sana madaktari na manes wapo kazini wanapambana katika mzingira ya hatari sana kwao na kwa familia zao laikin badala wapewe kipao mbele kwenye kipindi hiki wanasiasa bado wana leta siasa zao.....

Kwakua wako safe wao na familia zao basi , ni kujizolea umaarufu tu kwenye midia......

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeona UK mpaka sasa wamegawa PPE 1bn kwenye hospitali zao yes billion moja
Hizo ni zana za kujikinga na maambukizi na bado wanalalamika kuwa hazitoshi
Wafanyakazi 15 wamekufa mpaka sasa
Lakini wanapambana
Ni mda wa kupiga kelele hospitali zisaidiwe sana hata mortuary ziongezwe sio utani

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wanabodi,

Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.

Je, bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?
Andamana nami.
1. Background, Professionalism
Tangu kuanza kwa janga hili la Corona, mimi kama Mtanzania Mzalendo nimeshiriki kikamilifu katika vita hii kikamilifu katika maeneo 5
  1. Kama Mtanzania tuu wa kawaida
  2. Kama Mwana jf
  3. Kama mwandishi wa habari mzoefu
  4. Kama mtangazaji wa TV Nguli
  5. Kama mtu mwenye exposure.
Hivyo kwenye hayo maendeleo 5 nimeshiri kwa kutoa maoni mbalimbali, miongoni mwake ni ule ushauri wangu wa mwanzo kuwa zipo wizara zinaweza kuongozwa na Waziri mwanasiasa yoyote, lakini kuna wizara zinazo deal na technical issues, zinapaswa kuongozwa na ma professionals. Moja ya wizara ya Afya, ilipaswa kuongozwa na daktari bingwa na sio a layman kwenye medical field.

Tulipoanza tuu ile siku Waziri wa Afya akiwa daktari Bingwa kwa jina la Janet akizungumzia kuvaa face mask, daktari huyo akiwa mbele ya Waziri wa Afya alisema face mask zitavaliwa na madaktari tuu wanaohudumia wagonjwa. Nikapandisha bandiko humu na kusema it's not right kwasababu kama inachukua siku 14 kuibaini Corona kwa aliyeambukizwa, how will one knows hivyo to be on a safe side ni watu wote wavae facemasks kama China. Waziri angekuwa daktari pale pale angejua.
Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums

2. Mazungumzo na Naibu Waziri wa Afya
Kuna siku nimezungumza na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile, kama ilivyo kawaida yangu, mimi huwa nina maswali magumu. Miongoni mwa maswali niliyomuuliza Dr. Ndugulile ni swali la kwa vile Corona haina dawa, jee anaweza kueleza hao wagonjwa kwenye vituo vya matibabu wanafanywa nini au wana hudumiwa huduma gani ili Watanzania wenye uwezo waweze kuwahudumia wagonjwa wao ambao hawajazidiwa ili kuzuia hospitali zisielemewe. Dr. Alinigomea!.

Kisha nikamuuliza kwa vile Corona ni mafua, kwanini Wizara ya Afya isihamasishe alternative medicine ya watu kujitibu ili wengine wamalizane nayo juu kwa juu bila kuisumbua serikali na kupelekwa vituo vya huduma?.

Pia swali hili alinigomea na kusisitiza kila mwenye dalili aripotiwe.

Kwa kutumia uzoefu wangu wa exposure, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile alikuwa ana majibu yote tena ya kidakitari, lakini kwa vile yeye sio Msemaji rasmi, Msemaji rasmi ni Waziri wake, na Waziri sio daktari, Dr. Ndugulile aliogopa kusema akapishana na Waziri wake, lakini Waziri wa Afya angekuwa ni daktari Bingwa, Dr. Ndugulile angezungumza.
Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV - JamiiForums
Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona - JamiiForums

3. Bingwa wa Kemia Aingilia Kati
Hayo maswali mawili magumu niliyo muuliza Naibu Waziri wa Afya Dr. Faustine Ndugulile ambayo yalitakiwa kujibiwa na madaktari Bingwa wa tiba, leo yamepatiwa majibu badala ya kupatiwa majibu na madaktari Bingwa wa tiba, kitu cha ajabu sana kuhusu mapambano dhidi ya janga la Corona nchini Tanzania, maswali hayo yamepatiwa majibu na Bingwa wa Kemia.

Tanzania tulizoea viongozi wetu wakuu wa kisiasa huwa ni wanasiasa, hivyo ulipo tokea Bingwa wa Kemia alipoutaka urais, kiukweli kuna watu humu tulimshangaa!, tangu lini Bingwa wa Kemia akawa kiongozi wa siasa kuwa mkuu wa nchi?.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Lakini kwa mara ya kwanza katika urais wa Tanzania, leo ndio tumeona umuhimu wa kiongozi wa nchi anapokuwa ni Bingwa wa Kemia kuutumia ubingwa wake wa kemia kulisaidia taifa lake kwa ushauri wa Kikemia wa jinsi ya kutumia Kemia kupambana na janga la Corona.

P
Karibu.

Paskali

Hiki ni kituko, kwa hiyo korona ingekuwa hakuna bingwa wa kemia angekuwa hana faida au?

Hii ni ajabu, hivi umeandika nini hapa ndugu yangu? Kweli tuna matatizo makubwa zaidi ya Korona, heri kuomba tu jaman
 
Kuna siku nimezungumza na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile, kama ilivyo kawaida yangu, mimi huwa nina maswali magumu. Miongoni mwa maswali niliyomuuliza Dr. Ndugulile ni swali la kwa vile Corona haina dawa, jee anaweza kueleza hao wagonjwa kwenye vituo vya matibabu wanafanywa nini au wana hudumiwa huduma gani ili Watanzania wenye uwezo waweze kuwahudumia wagonjwa wao ambao hawajazidiwa ili kuzuia hospitali zisielemewe. Dr. Alinigomea!.

Kisha nikamuuliza kwa vile Corona ni mafua, kwanini Wizara ya Afya isihamasishe alternative medicine ya watu kujitibu ili wengine wamalizane nayo juu kwa juu bila kuisumbua serikali na kupelekwa vituo vya huduma?.

Pia swali hili alinigomea na kusisitiza kila mwenye dalili aripotiwe.

Kwa kutumia uzoefu wangu wa exposure, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile alikuwa ana majibu yote tena ya kidakitari, lakini kwa vile yeye sio Msemaji rasmi, Msemaji rasmi ni Waziri wake, na Waziri sio daktari, Dr. Ndugulile aliogopa kusema akapishana na Waziri wake, lakini Waziri wa Afya angekuwa ni daktari Bingwa, Dr. Ndugulile angezungumza.
Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV - JamiiForums
Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona - JamiiForums
P
unachokitafuta utakipata muda siyo mrefu,
tchao..
 
Bingwa wa Kemia ametoa ushauri wa Kikemia kuwa vurusi vimeumbwa cells za protein in nature na kuzungukwa fatty acid hivyo vinayeyushwa au kwa kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka au sanitizers ambazo kikemia ni alcohol ambazo zinawayeyusha kwa kuyasaga mafuta au mvuke wa nyuzi joto kubwa una destroy protein in nature inakuwa destroyed by heat.

Bingwa wa Kemia amewataka Watanzania kuendelea kufuata maelekezo ya kitaalamu ya kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona ila pia na kutumia tiba mbalimbali za asili na tiba mbadala kupambana na Corona kwa kunywa tangawizi, vitunguu swaumu, au hata kujifukiza, vitu ambavyo Watanzania walipaswa kufundishwa na madaktari Bingwa wa tiba, badala yake sasa ni Bingwa wa Kemia ndio amekuwa mkombozi wa taifa letu katika vita hii dhidi ya Corona.

Ushauri huu wa Bingwa wa Kemia ndio ukombozi wa Taifa letu dhidi ya janga la Corona, kwasababu naamini kuna wengi wameugua Corona na wakajitibia kwa njia za asili na tiba mbadala na wakapona, hivyo kama kila Mtanzania akiona tuu dalili kwa mbali akaanza na huduma ya kwanza ya homeopathy treatment kwa kutumia natural remedies na treatments na alternative medicine tunaweza kuliokoa taifa letu zaidi kuliko kuwategemea hawa madaktari Bingwa wetu wa tiba za kisasa mahospitalini ambao ni mabubu huku mabingwa wa Kemia ndio wakilisaidia taifa!.

Mpaka hapa nilipofikia, bado kuna haja ya mimi kumtaja huyu bingwa wa Kemia?
P
 
Mithali 14:4
Zizi ni safi ambapo hapana ng’ombe; Bali nguvu za ng’ombe zaleta faida nyingi.
 
Bingwa wa Kemia ametoa ushauri wa Kikemia kuwa vurusi vimeubwa kwa fat acid hivyo vinayeyushwa au kwa kunawa na maji tiririka, au sanitizers zenye alcohol ambazo zinawayeyusha au mvuke wa nyuzi joto kubwa.

Bingwa wa Kemia amewataka Watanzania kutumia tiba mbalimbali za asili na tiba mbadala kupambana na Corona kwa kunywa tangawizi, vitunguu swaumu, au hata kujifukiza, vitu ambavyo Watanzania walipaswa kufundishwa na madaktari Bingwa wa tiba, badala yake sasa ni Bingwa wa Kemia ndio amekuwa mkombozi wa taifa letu katika vita hii dhidi ya Corona.

Ushauri huu wa Bingwa wa Kemia ndio ukombozi wa Taifa letu dhidi ya janga la Corona, kwasababu naamini kuna wengi wameugua Corona na wakajitibia kwa njia za asili na tiba mbadala na wakapona, hivyo kama kila Mtanzania akiona tuu dalili kwa mbali akaanza na huduma ya kwanza ya homeopathy treatment kwa kutumia natural treatments na alternative medicine tunaweza kuliokoa taifa letu zaidi kuliko kuwategemea hawa madaktari Bingwa wetu wa tiba ambao ni mabubu huku mabingwa wa Kemia ndio wakilisaidia taifa!.

Mpaka hapa nilipofikia, bado kuna haja ya mimi kumtaja huyu bingwa wa Kemia?
P
Kaka kuna muda unaandika vitu vingine mimi nabaki kuwafikiria wanao kwa maana watakuja kuyasoma maandiko yako baada ya miaka kumi ijayo , sasa sijui baada ya kuyasoma maandishi yako ya aina bado wataendelea kuona ufahari kuitumia sure name yao ama itakuwaje aisee poleni watoto wa P!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo maswali mawili magumu niliyo muuliza Naibu Waziri wa Afya Dr. Faustine Ndugulile ambayo yalitakiwa kujibiwa na madaktari Bingwa wa tiba, leo yamepatiwa majibu badala ya kupatiwa majibu na madaktari Bingwa wa tiba, kitu cha ajabu sana kuhusu mapambano dhidi ya janga la Corona nchini Tanzania, maswali hayo yamepatiwa majibu na Bingwa wa Kemia.

Tanzania tulizoea viongozi wetu wakuu wa kisiasa huwa ni wanasiasa, hivyo ulipo tokea Bingwa wa Kemia alipoutaka urais, kiukweli kuna watu humu tulimshangaa!, tangu lini Bingwa wa Kemia akawa kiongozi wa siasa kuwa mkuu wa nchi?.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Lakini kwa mara ya kwanza katika urais wa Tanzania, leo ndio tumeona umuhimu wa kiongozi wa nchi anapokuwa ni Bingwa wa Kemia kuutumia ubingwa wake wa kemia kulisaidia taifa lake kwa ushauri wa Kikemia wa jinsi ya kutumia Kemia kupambana na janga la Corona.

P
Pascal huyu mkemia anatuchanganya sasa, hata sijui nifuate lipi.

Mwanzo alisema ni kaugonjwa kadogo tu, tena ni shetani tumkabidhi Mungu amshughulikie.
Baadaye tena hivi karibuni alitangaza maombi ya siku tatu kwa nchi nzima, ili tumkumbushe Mungu kuwa kale kashetani kadogo corona kanataka kuota mapembe, akashughulikie haraka.Leo pia PM alikuwa na viongozi wa dini kwa lengo hilo hilo.

Sasa hata kabla hatujapata jibu kutoka kwa Mungu mkemia amekuja na tiba ya covid-19.
Kumbe tulikuwa tunamsumbua Mungu bure ashughulikie hako kashetani kadogo corona wakati mkemia anayo dawa!!!
Ni kujifukiza tu, hako kafuta kanayeyuka fasta.
Huyu mkemia wetu naona ana roho mbaya sana.
Yaani amewaacha wazungu wanateketea wakati dawa anayo? Halafu sasa hao hao anawaomba wamfutie madeni? Hiyo siyo fair kabisa.

Halafu eti hiyo fumigation iliyofanyika Dar ndiyo inawezekana imeongeza maambukizi ya covid-19 kwenye jiji letu? Ina maana hata naibu raisi DAB mwenye mkoa wake hakujua? Taratibu mkemia wetu hapo.unatudanganya, hata sisi tusiojua kemia tumeshtuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.

Je, bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?
Andamana nami.
1. Background, Professionalism
Tangu kuanza kwa janga hili la Corona, mimi kama Mtanzania Mzalendo nimeshiriki kikamilifu katika vita hii kikamilifu katika maeneo 5
  1. Kama Mtanzania tuu wa kawaida
  2. Kama Mwana jf
  3. Kama mwandishi wa habari mzoefu
  4. Kama mtangazaji wa TV Nguli
  5. Kama mtu mwenye exposure.
Hivyo kwenye hayo maendeleo 5 nimeshiri kwa kutoa maoni mbalimbali, miongoni mwake ni ule ushauri wangu wa mwanzo kuwa zipo wizara zinaweza kuongozwa na Waziri mwanasiasa yoyote, lakini kuna wizara zinazo deal na technical issues, zinapaswa kuongozwa na ma professionals. Moja ya wizara ya Afya, ilipaswa kuongozwa na daktari bingwa na sio a layman kwenye medical field.

Tulipoanza tuu ile siku Waziri wa Afya akiwa daktari Bingwa kwa jina la Janet akizungumzia kuvaa face mask, daktari huyo akiwa mbele ya Waziri wa Afya alisema face mask zitavaliwa na madaktari tuu wanaohudumia wagonjwa. Nikapandisha bandiko humu na kusema it's not right kwasababu kama inachukua siku 14 kuibaini Corona kwa aliyeambukizwa, how will one knows hivyo to be on a safe side ni watu wote wavae facemasks kama China. Waziri angekuwa daktari pale pale angejua.
Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums

2. Mazungumzo na Naibu Waziri wa Afya
Kuna siku nimezungumza na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile, kama ilivyo kawaida yangu, mimi huwa nina maswali magumu. Miongoni mwa maswali niliyomuuliza Dr. Ndugulile ni swali la kwa vile Corona haina dawa, jee anaweza kueleza hao wagonjwa kwenye vituo vya matibabu wanafanywa nini au wana hudumiwa huduma gani ili Watanzania wenye uwezo waweze kuwahudumia wagonjwa wao ambao hawajazidiwa ili kuzuia hospitali zisielemewe. Dr. Alinigomea!.

Kisha nikamuuliza kwa vile Corona ni mafua, kwanini Wizara ya Afya isihamasishe alternative medicine ya watu kujitibu ili wengine wamalizane nayo juu kwa juu bila kuisumbua serikali na kupelekwa vituo vya huduma?.

Pia swali hili alinigomea na kusisitiza kila mwenye dalili aripotiwe.

Kwa kutumia uzoefu wangu wa exposure, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile alikuwa ana majibu yote tena ya kidakitari, lakini kwa vile yeye sio Msemaji rasmi, Msemaji rasmi ni Waziri wake, na Waziri sio daktari, Dr. Ndugulile aliogopa kusema akapishana na Waziri wake, lakini Waziri wa Afya angekuwa ni daktari Bingwa, Dr. Ndugulile angezungumza.
Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV - JamiiForums
Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona - JamiiForums

3. Bingwa wa Kemia Aingilia Kati
Hayo maswali mawili magumu niliyo muuliza Naibu Waziri wa Afya Dr. Faustine Ndugulile ambayo yalitakiwa kujibiwa na madaktari Bingwa wa tiba, leo yamepatiwa majibu badala ya kupatiwa majibu na madaktari Bingwa wa tiba, kitu cha ajabu sana kuhusu mapambano dhidi ya janga la Corona nchini Tanzania, maswali hayo yamepatiwa majibu na Bingwa wa Kemia.

Tanzania tulizoea viongozi wetu wakuu wa kisiasa huwa ni wanasiasa, hivyo ulipo tokea Bingwa wa Kemia alipoutaka urais, kiukweli kuna watu humu tulimshangaa!, tangu lini Bingwa wa Kemia akawa kiongozi wa siasa kuwa mkuu wa nchi?.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

4. Bingwa wa Kemia Atoa Ushauri wa Kikemia
Lakini kwa mara ya kwanza katika urais wa Tanzania, leo ndio tumeona umuhimu wa kiongozi wa nchi anapokuwa ni Bingwa wa Kemia kuutumia ubingwa wake wa kemia kulisaidia taifa lake kwa ushauri wa Kikemia wa jinsi ya kutumia Kemia kupambana na janga la Corona.

Bingwa wa Kemia ametoa ushauri wa Kikemia kuwa vurusi vimeubwa kwa fat acid hivyo vinayeyushwa au kwa kunawa na maji tiririka, au sanitizers zenye alcohol ambazo zinawayeyusha au mvuke wa nyuzi joto kubwa.

Bingwa wa Kemia amewataka Watanzania kutumia tiba mbalimbali za asili na tiba mbadala kupambana na Corona kwa kunywa tangawizi, vitunguu swaumu, au hata kujifukiza, vitu ambavyo Watanzania walipaswa kufundishwa na madaktari Bingwa wa tiba, badala yake sasa ni Bingwa wa Kemia ndio amekuwa mkombozi wa taifa letu katika vita hii dhidi ya Corona.

Ushauri huu wa Bingwa wa Kemia ndio ukombozi wa Taifa letu dhidi ya janga la Corona, kwasababu naamini kuna wengi wameugua Corona na wakajitibia kwa njia za asili na tiba mbadala na wakapona, hivyo kama kila Mtanzania akiona tuu dalili kwa mbali akaanza na huduma ya kwanza ya homeopathy treatment kwa kutumia natural treatments na alternative medicine tunaweza kuliokoa taifa letu zaidi kuliko kuwategemea hawa madaktari Bingwa wetu wa tiba ambao ni mabubu huku mabingwa wa Kemia ndio wakilisaidia taifa!.

Mpaka hapa nilipofikia, bado kuna haja ya mimi kumtaja huyu bingwa wa Kemia?

Paskali
Nimesoma mahali kuwa huko Ujerumani kama sijakosea hivyo virusi vilijaribiwa kwenye joto kali kwenye maabara na havikufa kwa hiyo kuondoa dhana kuwa virusi hivi vinakufa kwenye joto kali
 
Back
Top Bottom