Ungekuwa una akili timamu. Kila ukisema lisu anaharibu nchi ungeenda mbali na kusema anaharibu vipi?? Wanaoharibu nchi wanajulikana. Ni wale waliouza nyumba 8000 za serikali. Waliouza migodi ya madini buzwagi kwa wzungu, waliouza bandari zetu kwa warabu, mbuga za wanyama na mapori. Sijakwambia viwanda."Sikuona Neema ya mabadiliko, Kenya, malawi na Zambia, hili jambo ni useless halina msaada kwa Mataifa ya Africa, jambo hili ni jema sana kwa "well developed country"
Nikimaanisha, katika nchi inayokuwa imeendelea, ni vigumu sana kwa nchi za magharibi kupandikiza watu jamii ya kina lissu ili kuharibu nchi""
Mimi ni shabiki wa CCM. Lakini nakuunga mkono 100%.Ungekuwa una akili timamu. Kila ukisema lisu anaharibu nchi ungeenda mbali na kusema anaharibu vipi?? Wanaoharibu nchi wanajulikana. Ni wale waliouza nyumba 8000 za serikali. Waliouza migodi ya madini buzwagi kwa wzungu, waliouza bandari zetu kwa warabu, mbuga za wanyama na mapori. Sijakwambia viwanda.
Wewe kwa sababu unakula na kuvimbiwa wanaotetea maslahi ya nchi unaita wanataka kuharibu nchi?
Hivi pakiwa na uchaguzi huru na wa HAKI SI WANANCHI WATAAMUA ?,
KUSEMA TUNATAKA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI NDO KUHARIBU NCHI?
Shule gani umesoma wewe
Hawakuchelewa Bali Project ya kununua wapinzani imejulikana, na mambo mengine Ndani ya sisiemu nayo hayaendi kufuatana na wapanga mikakatiCCM waliishana na gari la neema na rehema mwaka 2014. Kitendo cha kusubiri mpk Leo tayari wamechekewa sana. Watapata taabu sana, maana sasa wananchi wengi wanataka mabadiliko
"Sikuona Neema ya mabadiliko, Kenya, malawi na Zambia, hili jambo ni useless halina msaada kwa Mataifa ya Africa, jambo hili ni jema sana kwa "well developed country"
Nikimaanisha, katika nchi inayokuwa imeendelea, ni vigumu sana kwa nchi za magharibi kupandikiza watu jamii ya kina lissu ili kuharibu nchTanzania
Mshahara wa dhambi ni mauti. Huwezi ukaua watu kiasi hicho na kutesa ukabaki salama. Yaani nchi yetu hii inafikia hatua polisi wanakamata watu katika Viwanja vya mahakama wanawapiga na kwenda kuwatupa porini kweli? Wanatelekezwa ili wafe huko. 😭Majuzi niliposikia kuna wasanii wanaojulikana kushambuliwa na vitu mbalimbali jukwaani baada ya kutamka "Mitano tena", na nikakumbuka mada hii aiyoitoa Prof Kabudi kwa vijana pale Nkurumah hall UDSM.
Jee CCM imesubiri hadi wengi ndio mabovu ya nchi ndio yajadiliwe na haya yanatokea?
Jee watawala wetu walipata kujifunza kuona tabia za Rais Nicolai Ceausescu zilipomfikisha kwenye mwisho mbaya?
Jee utabiri wa Prof Kabudi unaelekea kutimia?
Na jee Kabudi ambaye sasa yuko ndani ya serikali kama waziri mwandamizi anaishauri vizuri serikali kama alivyo wafundisha hawa vijana?
View attachment 3337814
Unaongea kinyume"Sikuona Neema ya mabadiliko, Kenya, malawi na Zambia, hili jambo ni useless halina msaada kwa Mataifa ya Africa, jambo hili ni jema sana kwa "well developed country"
Nikimaanisha, katika nchi inayokuwa imeendelea, ni vigumu sana kwa nchi za magharibi kupandikiza watu jamii ya kina lissu ili kuharibu nchi""
Huwezi kukimbia sheria ya asili na Mungu ana njia zaidi ya Mia kuleta mabadiliko"Sikuona Neema ya mabadiliko, Kenya, malawi na Zambia, hili jambo ni useless halina msaada kwa Mataifa ya Africa, jambo hili ni jema sana kwa "well developed country"
Nikimaanisha, katika nchi inayokuwa imeendelea, ni vigumu sana kwa nchi za magharibi kupandikiza watu jamii ya kina lissu ili kuharibu nchi""