TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Kwamba akiulizwa atasema Yeye ni Petro si Palamagamba! Ingawa Hata tembea yake itaonekana ni kama ya Kabudi, siyo?alizungumza kipindi/wakati gani
?
Ova
Kwamba akiulizwa atasema Yeye ni Petro si Palamagamba! Ingawa Hata tembea yake itaonekana ni kama ya Kabudi, siyo?alizungumza kipindi/wakati gani
?
Ova
Akili ndogo hukubali kutumikishwa kwa ujira wa pesa ya mlo wa siku! Hiki ulichoandika kimesukumwa na njaa ya tumbo na akili, pole sana ila kwa taarifa yako Watanzania wameshatoka huko (wameamka na wanataka mabadiliko)"Sikuona Neema ya mabadiliko, Kenya, malawi na Zambia, hili jambo ni useless halina msaada kwa Mataifa ya Africa, jambo hili ni jema sana kwa "well developed country"
Nikimaanisha, katika nchi inayokuwa imeendelea, ni vigumu sana kwa nchi za magharibi kupandikiza watu jamii ya kina lissu ili kuharibu nchi""
Tatizo kubwa lililopo ni kuwa serikali ya CCM imezalisha wapumbavu wengi"Sikuona Neema ya mabadiliko, Kenya, malawi na Zambia, hili jambo ni useless halina msaada kwa Mataifa ya Africa, jambo hili ni jema sana kwa "well developed country"
Nikimaanisha, katika nchi inayokuwa imeendelea, ni vigumu sana kwa nchi za magharibi kupandikiza watu jamii ya kina lissu ili kuharibu nchi""
Na majira ya anguko lao limefika, hawatoki salama maana upinzani ndani na njeHakuna ufalme hapa duniani uliodumu milele, hata hawa waimla wataanguka anguko kuu tu.
Sijui kama watu wamekuelewa mpwa, ukiteme ukose ulaji au kibaki mdomoni uendelee kuungua, chura kiziwi kazi anayoSa hv kiazi cha moto kipo mdomoni..
"Sikuona Neema ya mabadiliko, Kenya, malawi na Zambia, hili jambo ni useless halina msaada kwa Mataifa ya Africa, jambo hili ni jema sana kwa "well developed country"
Nikimaanisha, katika nchi inayokuwa imeendelea, ni vigumu sana kwa nchi za magharibi kupandikiza watu jamii ya kina lissu ili kuharibu nchi

Lissu ni coward tena anayelipwa mapema mengi mno, haya mtakuja yajua baadae sana.Yaani wewe ni Bure kabisa kusema Lissu anaharibu Nchi
Haya ndio maajabu ya Tanzania, eti mtu mwenye IQ ndogo anakuwa ndiye anadhani anajua mambo na wenye akili watajua baadae! Kumbe ndio maana Msukuma kule bungeni huwa anawasemanga wasomi kuwa yeye lasaba anajua kuliko waliosoma! Ndio mentality yenu mbogamboga!Lissu ni coward tena anayelipwa mapema mengi mno, haya mtakuja yajua baadae sana.
Unajua busara nikueleza kile unachojua Kwa mifano Ili ukweli ujulikane lisu ameharibu nchi sawa toa mifano, kwasababu hajawahi kuwa Rais waziri au mkuu wa idara ya serikali, ameharibu vipi komeredi tupe hiyo taarifa na sisi tuijueLissu ni coward tena anayelipwa mapema mengi mno, haya mtakuja yajua baadae sana.
Na jee Kabudi ambaye sasa yuko ndani ya serikali kama waziri mwandamizi anaishauri vizuri serikali kama alivyo wafundisha hawa vijana?Majuzi niliposikia kuna wasanii wanaojulikana kushambuliwa na vitu mbalimbali jukwaani baada ya kutamka "Mitano tena", na nikakumbuka mada hii aiyoitoa Prof Kabudi kwa vijana pale Nkurumah hall UDSM.
Jee CCM imesubiri hadi wengi ndio mabovu ya nchi ndio yajadiliwe na haya yanatokea?
Jee watawala wetu walipata kujifunza kuona tabia za Rais Nicolai Ceausescu zilipomfikisha kwenye mwisho mbaya?
Jee utabiri wa Prof Kabudi unaelekea kutimia?
Na jee Kabudi ambaye sasa yuko ndani ya serikali kama waziri mwandamizi anaishauri vizuri serikali kama alivyo wafundisha hawa vijana?
View attachment 3337814