Jee Utabiri huu wa Prof. Kabudi Unaelekea Kutimia? Inaelekea Wanaccm Wengi Hawayajui ya Romania, Wafundishwe

Akili ndogo hukubali kutumikishwa kwa ujira wa pesa ya mlo wa siku! Hiki ulichoandika kimesukumwa na njaa ya tumbo na akili, pole sana ila kwa taarifa yako Watanzania wameshatoka huko (wameamka na wanataka mabadiliko)
 
Tatizo kubwa lililopo ni kuwa serikali ya CCM imezalisha wapumbavu wengi
 
Hakuna ufalme hapa duniani uliodumu milele, hata hawa waimla wataanguka anguko kuu tu.
Na majira ya anguko lao limefika, hawatoki salama maana upinzani ndani na nje
 
Reactions: al1
Yaani wewe ni Bure kabisa kusema Lissu anaharibu Nchi
 
Yaani wewe ni Bure kabisa kusema Lissu anaharibu Nchi
 
Lissu ni coward tena anayelipwa mapema mengi mno, haya mtakuja yajua baadae sana.
Haya ndio maajabu ya Tanzania, eti mtu mwenye IQ ndogo anakuwa ndiye anadhani anajua mambo na wenye akili watajua baadae! Kumbe ndio maana Msukuma kule bungeni huwa anawasemanga wasomi kuwa yeye lasaba anajua kuliko waliosoma! Ndio mentality yenu mbogamboga!
 
Lissu ni coward tena anayelipwa mapema mengi mno, haya mtakuja yajua baadae sana.
Unajua busara nikueleza kile unachojua Kwa mifano Ili ukweli ujulikane lisu ameharibu nchi sawa toa mifano, kwasababu hajawahi kuwa Rais waziri au mkuu wa idara ya serikali, ameharibu vipi komeredi tupe hiyo taarifa na sisi tuijue
 
Na jee Kabudi ambaye sasa yuko ndani ya serikali kama waziri mwandamizi anaishauri vizuri serikali kama alivyo wafundisha hawa vijana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…