Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei yake si mbaya ila ushuru TZ ndiyo utatuuaHakuna jinsi.
Kampuni la Kimarekani Jeep nao wamedandia treni, ingawa kwa kuchelewa kidogo, na kutoa first EV, Jeep Wagoneer S.
View attachment 3012975
Hii ni large SUV itakayokua na 600 hp kutoka kwenye electrical motors mbili, na batteryla 100kWh lenye uwezo wa kutembea kilometa 480 ikiwa full charge na utaweza kulicharge kutoka 20% to 80% kwa dakika 23 tu ukitumia DC fast charging (Level 3). Kwa Level 2 charger utatoka 5% to 80% kwa masaa 7 na kwa Level 1 chargwr utatumia masaa 53 kutoka 5% to 80%.
View attachment 3012980
Kwa mbele haijautupa muonekano wa "Jeep" kua na matobo 7 pale mbele kwenye grille.
View attachment 3012976
Kwa ndani, hii gari yenye siti 5 ina screen kubwa ya inch 45 pale mbele na mazaga zaga mengine kama unavyoona.
View attachment 3012977View attachment 3012978
Kwa maelezo ya Jeep, itauzwa kuanzia $72,000.
Kila bei ni rafiki kwa walionazo, na kila bei ni adui kwa MAKAPUKU..!!!Bei rafiki tu kwa waliokuwa nazo.
We! Usiombe used kwa haya agari maana batteries ndipo zinaanza kuchokaMkuu used 2040 litKuwa bei gani mkuu
Si sawa maana manunuzi ni $72,000 x 3,000 = 216,000,000. Ushuru utakuwa ni karibu sawa na hizo tena. Sema Million 400. TZ tunauana wenyewe kwa wenyeweMy dream car hapo nimepiga hadi ushuru na usajili inaweza nigharim kama ml 300/=
AIse ngoja tulinde afya mkuu tatafika tuHapo tutegemee kushuka zaidi ya 75%. Itakua kwenye 15-20,000 $
We! Usiombe used kwa haya agari maana batteries ndipo zinaanza kuchoktua
Tutabadilisha batteries mkuuWe! Usiombe used kwa haya agari maana batteries ndipo zinaanza kuchoka
Sijui
Sweden niliona za second hand ni bei ndogo ila ukifikiria hali yetu TZ kuhusu mafundi, spare za hilo gari na uchakavu wa batteries roho inasita. Ukigoogle utayaona mengiAIse ngoja tulinde afya mkuu tatafika tu
Kama huyo;Maisha Bwana, kuna watu wakiiona tu hiyo chuma wanaingia sokoni na kulipia hela haraka.
🤣
🤣🤣Gari za Electric masaa ya kuchaji kwa tuliozoea mafuta ya 10, 10 sijui itakuwaje.
" Mhudumu Niwekee charge ya 10,000/=.
Ngoja nikaze labda 2050 nitanunua si itakuwa imeshuka bei😁😁😁Hakuna jinsi.
Kampuni la Kimarekani Jeep nao wamedandia treni, ingawa kwa kuchelewa kidogo, na kutoa first EV, Jeep Wagoneer S.
View attachment 3012975
Hii ni large SUV itakayokua na 600 hp kutoka kwenye electrical motors mbili, na batteryla 100kWh lenye uwezo wa kutembea kilometa 480 ikiwa full charge na utaweza kulicharge kutoka 20% to 80% kwa dakika 23 tu ukitumia DC fast charging (Level 3). Kwa Level 2 charger utatoka 5% to 80% kwa masaa 7 na kwa Level 1 chargwr utatumia masaa 53 kutoka 5% to 80%.
View attachment 3012980
Kwa mbele haijautupa muonekano wa "Jeep" kua na matobo 7 pale mbele kwenye grille.
View attachment 3012976
Kwa ndani, hii gari yenye siti 5 ina screen kubwa ya inch 45 pale mbele na mazaga zaga mengine kama unavyoona.
View attachment 3012977View attachment 3012978
Kwa maelezo ya Jeep, itauzwa kuanzia $72,000.
Chuma imetulia kuliko lile gobore la MuskHawa wa viwanda vya magari wakiaamua hasa kutengeneza haya magari ya umeme, Elon Musk lazima atafute kazi nyingine