Jeep® nao watoa first EV: Jeep Wagoneer S

Don wore. Tutafika huko soon kama taifa

1718021964453.png
 
Hakuna jinsi.

Kampuni la Kimarekani Jeep nao wamedandia treni, ingawa kwa kuchelewa kidogo, na kutoa first EV, Jeep Wagoneer S.
View attachment 3012975

Hii ni large SUV itakayokua na 600 hp kutoka kwenye electrical motors mbili, na batteryla 100kWh lenye uwezo wa kutembea kilometa 480 ikiwa full charge na utaweza kulicharge kutoka 20% to 80% kwa dakika 23 tu ukitumia DC fast charging (Level 3). Kwa Level 2 charger utatoka 5% to 80% kwa masaa 7 na kwa Level 1 chargwr utatumia masaa 53 kutoka 5% to 80%.
View attachment 3012980

Kwa mbele haijautupa muonekano wa "Jeep" kua na matobo 7 pale mbele kwenye grille.
View attachment 3012976
Kwa ndani, hii gari yenye siti 5 ina screen kubwa ya inch 45 pale mbele na mazaga zaga mengine kama unavyoona.
View attachment 3012977View attachment 3012978

Kwa maelezo ya Jeep, itauzwa kuanzia $72,000.
Bei yake si mbaya ila ushuru TZ ndiyo utatuua
 
Gari za Electric masaa ya kuchaji kwa tuliozoea mafuta ya 10, 10 sijui itakuwaje.

" Mhudumu Niwekee charge ya 10,000/=.
 
Hakuna jinsi.

Kampuni la Kimarekani Jeep nao wamedandia treni, ingawa kwa kuchelewa kidogo, na kutoa first EV, Jeep Wagoneer S.
View attachment 3012975

Hii ni large SUV itakayokua na 600 hp kutoka kwenye electrical motors mbili, na batteryla 100kWh lenye uwezo wa kutembea kilometa 480 ikiwa full charge na utaweza kulicharge kutoka 20% to 80% kwa dakika 23 tu ukitumia DC fast charging (Level 3). Kwa Level 2 charger utatoka 5% to 80% kwa masaa 7 na kwa Level 1 chargwr utatumia masaa 53 kutoka 5% to 80%.
View attachment 3012980

Kwa mbele haijautupa muonekano wa "Jeep" kua na matobo 7 pale mbele kwenye grille.
View attachment 3012976
Kwa ndani, hii gari yenye siti 5 ina screen kubwa ya inch 45 pale mbele na mazaga zaga mengine kama unavyoona.
View attachment 3012977View attachment 3012978

Kwa maelezo ya Jeep, itauzwa kuanzia $72,000.
Ngoja nikaze labda 2050 nitanunua si itakuwa imeshuka bei😁😁😁
 
Hawa wa viwanda vya magari wakiaamua hasa kutengeneza haya magari ya umeme, Elon Musk lazima atafute kazi nyingine
 
Back
Top Bottom