100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Upo sahihi mkuu, Mercedes hata bmw hawagusi...kama nitakuwa nimekosea mnisamehe, sina maana ya AMG, lakini slogan ya Mercedes miaka mingi sijui kama ni toka ilivyo anzishwa, ni " ENGINEERED LIKE NO OTHER CAR IN THE WORLD" i stand to be corrected.
vouch for MERCEDES
Ilibidi mtu unatoka Dar unaingia Moro kazini na kurudi jioni, hapo ndipo utajua utamu na umuhimu wa madude yenye +300hp.Barabara imenyooka DAR mpaka Moro....
Kwa barabara za wenzetu ni kitu cha kawaida kumaliza dashboard angalia hiyo video jinsi Vyuma vinavyoteleza kama nyoka hiyo yote ni kwajili ya miundombinu mizuri.
nashangaa jinsi kipande cha kutoka Morocco - Mwenge kuwe na line mbili Tu alafu katikati kumeachwa nafasi kubwa bila sababu ya msingi yaani Kwa barabara za kibongo ili zifanane na wenzetu itachukua miaka 50
Hakuna Zebra hapo, watu waanavuka juu. Raha sana. Barabara ya njia 3 inayoanzia Kimara kwenda Mbezi haina matuta, nimeona kwamba raia wanavuka kwenye Zebra na wenye magari wanaheshimu zebra. Haya mambo wakiamua wanaweza waache, kuupiga mwingi.Wenzetu wana enjoy sana Dunia ya Magari barabara safi kabisa