Jeep SRT vs Mercedes E-AMG vs Mercedes E-AMG vs Hoonigan Mustang

Jeep SRT vs Mercedes E-AMG vs Mercedes E-AMG vs Hoonigan Mustang

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
4,766
Reaction score
16,191
Ilikuwa asubuhi jamaa wanakwenda kazini, huyu mwenye jeep srt akiwa anarekodi kwa bahati anakutana highway na benz amg ,mustang, ligi inaanzia hapo.

Kiukweli bongo hakuna barabara za kiwango kwa ligi, ndugu zangu tuendelee na 80km/hr😂😂 , kazi iendelee, licha ya barabara vichwa vyetu tunavijua wenyewe, baada ya kula nyagi mkiwa club na mademu zenu unataka kuwaonyeshea vijana wenzako na manzi yako jinsi unavyoweza futa kibati kwenye crown😆😆.

Hizi chuma hakika hazijatengenezwa kwa ajili ya matumizi yetu😁😁, bei za service na vipuri inatosha kuelezea zimetengenezwa kwa ajili ya watu wa ulimwengu wa kwanza wenye vipato.

kama nitakuwa nimekosea mnisamehe, sina maana ya AMG, lakini slogan ya Mercedes miaka mingi sijui kama ni toka ilivyo anzishwa, ni " ENGINEERED LIKE NO OTHER CAR IN THE WORLD" i stand to be corrected.

vouch for MERCEDES
 
Barabara imenyooka DAR mpaka Moro....
Kwa barabara za wenzetu ni kitu cha kawaida kumaliza dashboard angalia hiyo video jinsi Vyuma vinavyoteleza kama nyoka hiyo yote ni kwajili ya miundombinu mizuri.
nashangaa jinsi kipande cha kutoka Morocco - Mwenge kuwe na line mbili Tu alafu katikati kumeachwa nafasi kubwa bila sababu ya msingi yaani Kwa barabara za kibongo ili zifanane na wenzetu itachukua miaka 50
 
Hawa jmaa naona hawaongopi polisi, wenzetu unakuta polisi wana unmarked cars ambazo zinafanana na izo barabarani, unashangaa mnakimbizana ivyo then ving'ora vinawaka ghafla na kuwaamuru msimame mpewe haki yenu.
 
kama nitakuwa nimekosea mnisamehe, sina maana ya AMG, lakini slogan ya Mercedes miaka mingi sijui kama ni toka ilivyo anzishwa, ni " ENGINEERED LIKE NO OTHER CAR IN THE WORLD" i stand to be corrected.

vouch for MERCEDES
Upo sahihi mkuu, Mercedes hata bmw hawagusi...
 
Barabara imenyooka DAR mpaka Moro....
Kwa barabara za wenzetu ni kitu cha kawaida kumaliza dashboard angalia hiyo video jinsi Vyuma vinavyoteleza kama nyoka hiyo yote ni kwajili ya miundombinu mizuri.
nashangaa jinsi kipande cha kutoka Morocco - Mwenge kuwe na line mbili Tu alafu katikati kumeachwa nafasi kubwa bila sababu ya msingi yaani Kwa barabara za kibongo ili zifanane na wenzetu itachukua miaka 50
Ilibidi mtu unatoka Dar unaingia Moro kazini na kurudi jioni, hapo ndipo utajua utamu na umuhimu wa madude yenye +300hp.
Kuna highway moja ina 30000km, inaunganisha marekani kusini na kaskazini inaitwa Pan American Highway, road trip ya kibabe sana🙂🙂
 
Wenzetu wana enjoy sana Dunia ya Magari barabara safi kabisa
Hakuna Zebra hapo, watu waanavuka juu. Raha sana. Barabara ya njia 3 inayoanzia Kimara kwenda Mbezi haina matuta, nimeona kwamba raia wanavuka kwenye Zebra na wenye magari wanaheshimu zebra. Haya mambo wakiamua wanaweza waache, kuupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom