100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Ilikuwa asubuhi jamaa wanakwenda kazini, huyu mwenye jeep srt akiwa anarekodi kwa bahati anakutana highway na benz amg ,mustang, ligi inaanzia hapo.
Kiukweli bongo hakuna barabara za kiwango kwa ligi, ndugu zangu tuendelee na 80km/hr😂😂 , kazi iendelee, licha ya barabara vichwa vyetu tunavijua wenyewe, baada ya kula nyagi mkiwa club na mademu zenu unataka kuwaonyeshea vijana wenzako na manzi yako jinsi unavyoweza futa kibati kwenye crown😆😆.
Hizi chuma hakika hazijatengenezwa kwa ajili ya matumizi yetu😁😁, bei za service na vipuri inatosha kuelezea zimetengenezwa kwa ajili ya watu wa ulimwengu wa kwanza wenye vipato.