Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Imeandikwa na Ngusa john kutoka Facebook
Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo aliyekuwa akisoma naye shule moja,
Jackyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16. Wakapendana. Wakaanza safari ya mapenzi. Jacklyn akanasa
ujauzito. Wakati Jacklyn anashika mimba, alikuwa mwanafunzi wa high school.
Ted alikuwa mwanafunzi pia na mcheza
sarakasi aliyekuwa na ndoto za kufanikiwa kwenye mchezo huo na akilenga kufika mbali sana. Januari 12, 1964, mtoto akazaliwa. na wakampatia jina la Jeffrey, wakati huo Ted alikuwa ameshatimiza umri wa
miaka 18, na Jacklyn akiwa na umri wa miaka 17. Kutokana na sababu ya kutingwa na malezi ya mtoto, ndoto
zao za masomo zikayeyuka na kufikia kikomo, wakaamua kuacha shule wapambane na maisha ya kumtafutia
future mtoto wao.
Ted na Jacklyn wakaaamua rasimi kufunga ndoa.Maisha ya ndoa yakawa magumu. Sababu kubwa' Ted alikuwa mlevi wa kupindukia. Mara nyingi alirudi
nyumbani alfajiri na mara nyingi zaidi alilala hukohuko, hakurejea nyumbani. Ted alikuwa na kipato kidogo lakini
hakukitumia kulea familia, bali starehe zake binafsi.
Ndoa ilipotimiza miezi 17, kutokanan na Manyanyaso ya mmewe na kushindwa kuhudumia Familia, Jacklyn
aliamua kuomba talaka. Ted akakubali bila hiyana. Wakaachana. Jacklyn akarudi kwa wazazi wake.Miaka miwili baadaye, Jacklyn akapata mwanaume mwingine, Miguel Bezos. Wakafunga ndoa.
Bezos (Mme
itamsaidia kuondoa kelee za malezi kwa mwanae, akaamua kusaini nyaraka zote kwa moyo mweupe
mpya) akaomba kumuasili Jeffrey awe mwanaye kisheria. Ted (baba mzazi), kwa haraka na kwa kujiona kuwa
kuhalalisha mtoto wake atwaliwe na Bezos. Ikawa Asubuhi, ikawa jioni! Miaka ikapiga hatua!
Ilipotimu mwaka 2012, mwandishi mmoja wa kimataifa Mr. Brad Stone alipokuwa anakusanya taarifa ili aandike
kitabu kilichoitwa “The Everything Store” kiichohusu maisha ya bilionea mmiliki wa kampuni ya Amazon, Jeff
Bezos, alimfikia Ted (Baba halisi wa Jeff). Akamuuliza ikiwa ana taarifa zozote kumhusu mwanaye aliyezaa na
Jackyn mwaka 1964.Bila wasiwasi, Ted akavuta kumbukumbu, kisha akajibu kwa mbwembwe na kujiamini huku akijiona bingwa:
“Nimekumbuka. Hivi yule mtoto bado yupo hai kweli?” Brad akamjibu: “Yupo hai. Ndio huyu bilionea mmiliki wa
Amazon.”
Ted akasikitika, lakini akakiri hakuwa baba bora kwa Jeffrey wala mume mzuri kwa Jacklyn.
Tangu wakati huo, Ted alianza kutafuta nafasi ya kuonana na mwanaye Jeffrey, angalau wazungumze, japo
amtambue, ajitambulishe kwa billionea wa Dunia kuwa yeye ndiye baba yake mzazi! Masikini hakupata hiyo
nafasi!!
Ilipotimu mwaka 2014, miaka miwili tangu Ted aanze kutafuta nafasi ya kuonana na mwanae, Ted aianza
mbaya ya kiafya, akitaka asaidiwe na mwanae huyo hata angalau Fedha kidogo ya kugharimia matibabu yake
kuugua sana. Aliandika barua nyingi sana kwa mwanae Jeffrey, akitaka kumjulia hali na kumjulisha hali yake
ambayo hakuweza kuyagharimia kutokana na kipato chake kidogo kilichotokana na biashara ndogo ya kuuza
baisikeli hakikuweza kumsaidia.
Baada ya kuona barua zake zote hazikuwahi kujibiwa! Aiamua kuandika barua
zingine akimtaka mwanaye angalau tu amuone kabla hajaaga Dunia hakuna barua iliyojibiwa.
Bila shaka Jeffrey aliziona hizo barua na alielewa aliyetuma barua hizo ndiye baba yake wa kumzaa, kwani akiwa
na miaka 10 tu alielezwa ukweli kuwa baba anayeishi naye siyo baba yake wa kumzaa, bali baba yake wa
kumzaa aliamua kumrithisha kisheria kwa baba yake mlezi! Pia hata cheti chake cha kuzaliwa na kumbukumbu
zote za hospitali zinamtaja Ted ndiye baba yake.
Hivyo twaweza kusema, alimkaushia mshua.Mwaka mmoja baadaye, 2015, Ted aifariki dunia bila kuonana na mwanaye wa damu, Jeffrey. Aliishia kumsoma
na kumuona kwenye vyombo vya habari kama watu wengine.
Miaka miwili baada ya kifo cha Ted, taasisi ya utafiti wa mali na utajiri duniani ya Forbes, ilimtangaza Jeffrey
kuwa tajiri namba moja duniani. Akimpita tajiri namba moja wa muda mrefu duniani, Bill Gates.
Maskini Ted hakujua. Alikufa akijuta. Hakufanikiwa kuzaa mtoto mwingine kwa mke aliyemuoa baada ya
kuachana na Jackline na mwanae wa pekee! Angefunuliwa kuwa Jeff angekuwa tajiri namba moja duniani, sidhani kama angemtelekeza na kuamua kusaini mwenyewe nyaraka za kumuuza mwanae kwa kutumia sheria
halali ya kumuasili mtoto awe na baba mwingine! Bila shaka, unaweza kubeba la kujifunza kupitia historia hii fupi ya maisha ya tajiri namba moja Duniani!
Ndimi,
Kwa msaada wa kitabu cha'The Everything Store', duru za kimataifa, mitandao ya kijamii ya kimataifa na usanifu
Ngusa John,
wa Luqman Maloto.