Jeff Bezos na wenzake wafanikiwa kurudi duniani baada ya kusafiri anga za juu

Mleta mada anapigwa na vitu vizito hahahaha
Analeta hoja zake za kukaririshwa kuhusu charity, tangu ameitwa mnyonge anaishi Kwa ndoto za kusaidiwa na kama haya ndo mawazo yake atakuwa maskini mpaka kizazi chake cha nne. Jambo asilolijua ni kwamba Bezos Yuko kwenye marketing strategies ya hiyo project yake ya space. Huyu ndo wale ukimpita njia anatembea Kwa mguu usipompatia rift ataongea siku nzima hizi akili za kimaskini mbaya Sana.
Huyu jamaa namfanananisha na wazigua kipindi nimeanza shughuli za kilimo Huko Handeni baada ya kuniuzia mashamba walisema sitoyalima, nilipolima wakasema analima mahindi yote haya ya nini, Kwa kuwa wao akilima sehemu ya kupata chakula amemaliza.
Huyu jamaa Hana tofauti na wale majirani ambao ukijenga nyumba kubwa utasikia linyumba lote Hilo la nini? Ukisomesha wanao shule nzuri utasikia ana mihela ya kuharibu.
Sasa ndo huyu jamaa ana roho ya kimaskini na ya kichawi ndo maana anatamani Bezos apate ajali. Acha aendelee kupasua mayai njia panda
 
Ana mawazo ya kimaskini kama mwendazake aliye taka matajiri waishi kama mashetani. Kwa kifupi kwa kuwa yeye alikua maskini aliwachukia matajiri na kutaka kila mtu maskini/mnyonge kama yeye.
Naona jpm bado anakusugua mk******i mpaka leo licha ya katangulia mbele za haki ila kakuachia kidude kimekunata...
 
[emoji867]kwa mtoa mada. Af acha kupangia watu matumizi ya hela zao.
 
Bora hao wanatumia zao pesa kupata pesa zaidi kupitia space tourism.
Kwingineko watu wanatumia pesa za walipa kodi kujinufaisha.
 
Kwani wewe kuna anayekupangia bajeti ya pesa yako?
 
Kumbe hizi safari hazina maana dakika 15 tu, sasa hapo unakuwa umeona nini cha maana zaidi, watu watakuwa wanaliwa hela zao,sema kumpangia mtu matumizi ya pesa zake ni uswahili wa kiwango cha grade 1,acha mtu atumie mali yake anavyotaka hata akitaka achome moto mahela yake yote aanze sifuri ni sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…