Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Sawa lakini unguli wa jeff leah ni upi,ni kocha kwa kusomea? Je, ana utaalamu upi ambao una manlaka hayo ya kusema hivyo?
Hii Ndio shida ya wachambuzi wa bongo, ni watu wa matukio. Ukuta wa simba umecheza mechi nne za mtoano imeruhusu goli moja tu za mashindano ya CAF championship.Akiongea leo asubuhi katika kipindi cha michezo cha Efm mchambuzi nguli wa mpira jeff lea asema kwa safu ile ya ulinzi wa simba dhidi ya Dodoma Jiji jana, mabeki wao wameonesha udhaifu mkubwa sana hivyo kama watakutana na timu yenye washambuliaji wazuri basi hawatafiki mbali katika ligi ya mabingwa afrika...
Jibu swali umeulizwa siyo unaanza taarabuWewe tulia dawa ifanye kazi
Mlipeni Tambwe kwanza na wengine wanakuja, mtakomaje nyani wa Utopolo?Akiongea leo asubuhi katika kipindi cha michezo cha Efm mchambuzi nguli wa mpira jeff lea asema kwa safu ile ya ulinzi wa simba dhidi ya Dodoma Jiji jana, mabeki wao wameonesha udhaifu mkubwa sana hivyo kama watakutana na timu yenye washambuliaji wazuri basi hawatafiki mbali katika ligi ya mabingwa afrika...
Ndugu yangu, huu mpira wenu wa takwimu una changamoto sehemu, we unaongelea karuhusu goli chache, vipi zile kosa kosa, tunakoswa koswa saana kwa uzembe, takwimu zisikuongopee, game ya jana chupuchupu iishe droo km sio manula kudaka kile kichwa cha mchezaji was dodoma jiji, game ingekuwa 2-2 ile, vipi game na platnum yule jamaa aliyebaki yeye na goli angefunga? Mchezo ungebadilika siku zileSimba imecheza mechi 16 za ligi kuu imeruhusu magoli 6 imeruhusu magoli machache kuliko timu yoyote, imecheza mechi nne za champions league na kuruhusu goli moja tu, ikacheza mechi mbili za simba super cup ikaruhusu goli moja...
Wawa is not a back but batakisiAkiongea leo asubuhi katika kipindi cha michezo cha Efm mchambuzi nguli wa mpira Jeff Lea asema kwa safu ile ya ulinzi wa Simba dhidi ya Dodoma Jiji jana, mabeki wao wameonesha udhaifu mkubwa sana hivyo kama watakutana na timu yenye washambuliaji wazuri basi hawatafiki mbali katika ligi ya mabingwa Afrika.
Mimi namuunga mkono kwa 100% kwa mbaaaali naona mtu akienda kuchezea goli 5 kwa kila mechi ya ugenini.
Msijenge chuki, fanyieni kazi mapungufu yenu Simba
Shida yako unataka simba icheze zisiwepo hata kosakosa langoni kwa simba, wale wote uwanjani ni binadamu kuna kuswitch ki akili huwezi ukawa perfect 100% kwenye dk 90. Na hakuna timu duniani itacheza pasiwe na kosa kosa langoni kwakeNdugu yangu, huu mpira wenu was takwimu una changamoto sehemu, we unaongelea karuhusu goli chache, vipi zile kosa kosa, tunakoswa koswa saana kwa uzembe, takwimu zisikuongopee, game ya jana chupuchupu iishe droo km sio manula kudaka kile kichwa cha mchezaji was dodoma jiji, game ingekuwa 2-2 ile, vipi game na platnum yule jamaa aliyebaki yeye na goli angefunga? Mchezo ungebadilika siku zile
Sisi hatutaki haya makosa ya kizembe tusubiri adui nae akosee ndio tuwe salama, hata msimu wa kuvuka makundi mpaka tunaingia makundi tulikuwa na rekodi nzuri kitakwimu km ulivyotoa ww, kipi kilitusibu wapinzanj walipoweza kubadili makosa yetu kuwa magoli?? Mwendo wa 5, 5.
Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Watanzania wajinga sana! Sijui muliumbwa na udongo gani? Jeff Leah ni nani hata kama reference? He is just a nut! So far Simba ndio timu iliyo fungwa magoli machache sana kwenye VPL, Timu bora kama TP Mazembe hajafunga goli na walipata wakati mgumu sana kuipenya ile defense ya Simba. Halafu mjinga mmoja anafanya hitimisho kwa kutumia mchezo mmoja! Shame! A hilal pamoja na ubora wao walipata goli moja tu kwa Simba hii.Akiongea leo asubuhi katika kipindi cha michezo cha Efm mchambuzi nguli wa mpira Jeff Lea asema kwa safu ile ya ulinzi wa Simba dhidi ya Dodoma Jiji jana, mabeki wao wameonesha udhaifu mkubwa sana hivyo kama watakutana na timu yenye washambuliaji wazuri basi hawatafiki mbali katika ligi ya mabingwa Afrika.
Mimi namuunga mkono kwa 100% kwa mbaaaali naona mtu akienda kuchezea goli 5 kwa kila mechi ya ugenini.
Msijenge chuki, fanyieni kazi mapungufu yenu Simba