Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Amerudia haya maneno na leo tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kwa mechi ya janaWachambuzi wa kibongo utopolo mtupu.
Watanzania wajinga sana! Sijui muliumbwa na udongo gani?
Ukuta wa Simba ni kama mkate tuu hamba kitu
Uko sahihi kabisa. Nadhani huyu kocha ni kocha mzuri sana, ametambua kwa upesi sana madhaifu ya Simba aliyoyakuta kwenye safu ya ulinzi. Zile game dhidi ya Dodoma jiji na Azam nadhani ilikua wazi aliona hayo mapungufu. Muunganiko wa leo wa safu ya ulinzi umeonyesha kuwa kocha ameanza kuyafanyia kazi hayo mapungufu kwa kasi sana. Akiendelea hivi tutazidi kuwa bora zaidi kwenye safu ya ulinzi.Leo tumecheza vizuri saana pale nyuma, tumecjeza kwa nidhamu ya hali ya juu, hatujaruhusu makosa ya kijinga kabisa, tumekaba kwa nidhamu mnoo,
Sijaona beki ya simba ikicheza hivi kwa muda kidogo.. Ukweli hivi karibuni tumekuwa na makosa ya kizembe mnoo pale nyuma, leo ni kama tulikuwa na ukuta wa el cholo na vijana wake kina diego godin.
Ni ushabiki wa kupitiliza ndio huo unatufanya kufumbia macho uhalisia..Uko sahihi kabisa. Nadhani huyu kocha ni kocha mzuri sana, ametambua kwa upesi sana madhaifu ya Simba aliyoyakuta kwenye safu ya ulinzi. Zile game dhidi ya Dodoma jiji na Azam nadhani ilikua wazi aliona hayo mapungufu. Muunganiko wa leo wa safu ya ulinzi umeonyesha kuwa kocha ameanza kuyafanyia kazi hayo mapungufu kwa kasi sana. Akiendelea hivi tutazidi kuwa bora zaidi kwenye safu ya ulinzi.
Naona kabisa kuna kitu kipya amekuja nacho huyu kocha.
Mungu ibariki Simba, Mungu ibariki Tanzania.
makaveli10
Kwanza hizo mechi mbili safu ya ulinzi haikuwa na hawa wachezaji walicheza leo.Uko sahihi kabisa. Nadhani huyu kocha ni kocha mzuri sana, ametambua kwa upesi sana madhaifu ya Simba aliyoyakuta kwenye safu ya ulinzi. Zile game dhidi ya Dodoma jiji na Azam nadhani ilikua wazi aliona hayo mapungufu. Muunganiko wa leo wa safu ya ulinzi umeonyesha kuwa kocha ameanza kuyafanyia kazi hayo mapungufu kwa kasi sana. Akiendelea hivi tutazidi kuwa bora zaidi kwenye safu ya ulinzi.
Naona kabisa kuna kitu kipya amekuja nacho huyu kocha.
Mungu ibariki Simba, Mungu ibariki Tanzania.
makaveli10
Hao huwezi kuwakuta mitandaoni saizi wako safarini kuelekea Congo msibani.wako wapi hawa mbwa
Sio kweli kulia Kapombe kati Wawa, Kennedy kushoto Shabalala duchu alikua timu ya taifa under 20, Onyango hakuwepo kabisa ka review highlights utaonaKwanza hizo mechi mbili safu ya ulinzi haikuwa na hawa wachezaji walicheza leo.
Mechi na Dodoma nafikiri kulia alicheza Duchu kati akacheza Onyango na Kennedy Juma.
Mechi na Azam kati alicheza Wawa na Ame.
This game safu yetu ambayo tunaitegemea wameanza na kutupa clean sheet ugenuni.
Shida ya simba kuruhusu magoli dhidi ya Azam haikua udhaifu wa beki, Ilikua ni makosa ya kimbinu, Yale magoli haikua kwa sababu ya kuwa na beki mbovu,Kwanza hizo mechi mbili safu ya ulinzi haikuwa na hawa wachezaji walicheza leo.
Mechi na Dodoma nafikiri kulia alicheza Duchu kati akacheza Onyango na Kennedy Juma.
Mechi na Azam kati alicheza Wawa na Ame.
This game safu yetu ambayo tunaitegemea wameanza na kutupa clean sheet ugenuni.
Sasa naelewaWachambuzi wa kibongo utopolo mtupu.
Reference eeh?Tena uzi huu tutautumia kama reference wakati simba akikutana na vipigo vizito kwenye ligi ya mabingwa
Akiongea leo asubuhi katika kipindi cha michezo cha Efm mchambuzi nguli wa mpira Jeff Lea asema kwa safu ile ya ulinzi wa Simba dhidi ya Dodoma Jiji jana, mabeki wao wameonesha udhaifu mkubwa sana hivyo kama watakutana na timu yenye washambuliaji wazuri basi hawatafiki mbali katika ligi ya mabingwa Afrika.
Mimi namuunga mkono kwa 100% kwa mbaaaali naona mtu akienda kuchezea goli 5 kwa kila mechi ya ugenini.
Msijenge chuki, fanyieni kazi mapungufu yenu
HahahaTanzania kila mwandishi wa habari ni mchambuzi na anajifanya anajua mpira kuliko hata waliosomea football,wewe ujuzi wako ni mambo ya habari,utaalamu wa soka unautoa wapi?
Jana walikaza sanaUko sahihi kabisa. Nadhani huyu kocha ni kocha mzuri sana, ametambua kwa upesi sana madhaifu ya Simba aliyoyakuta kwenye safu ya ulinzi. Zile game dhidi ya Dodoma jiji na Azam nadhani ilikua wazi aliona hayo mapungufu. Muunganiko wa leo wa safu ya ulinzi umeonyesha kuwa kocha ameanza kuyafanyia kazi hayo mapungufu kwa kasi sana. Akiendelea hivi tutazidi kuwa bora zaidi kwenye safu ya ulinzi.
Naona kabisa kuna kitu kipya amekuja nacho huyu kocha.
Mungu ibariki Simba, Mungu ibariki Tanzania.
makaveli10
Huyu anatakiwa akunbushwe maneno ya Wanautopolo fulani huko nyuma:Akiongea leo asubuhi katika kipindi cha michezo cha Efm mchambuzi nguli wa mpira Jeff Lea asema kwa safu ile ya ulinzi wa Simba dhidi ya Dodoma Jiji jana, mabeki wao wameonesha udhaifu mkubwa sana hivyo kama watakutana na timu yenye washambuliaji wazuri basi hawatafiki mbali katika ligi ya mabingwa Afrika.
Mimi namuunga mkono kwa 100% kwa mbaaaali naona mtu akienda kuchezea goli 5 kwa kila mechi ya ugenini.
Msijenge chuki, fanyieni kazi mapungufu yenu Simba