OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jana Simba kapigwa goli 5 kweli. Hongera kwa uchambuziAkiongea leo asubuhi katika kipindi cha michezo cha Efm mchambuzi nguli wa mpira Jeff Lea asema kwa safu ile ya ulinzi wa Simba dhidi ya Dodoma Jiji jana, mabeki wao wameonesha udhaifu mkubwa sana hivyo kama watakutana na timu yenye washambuliaji wazuri basi hawatafiki mbali katika ligi ya mabingwa Afrika.
Mimi namuunga mkono kwa 100% kwa mbaaaali naona mtu akienda kuchezea goli 5 kwa kila mechi ya ugenini.
Msijenge chuki, fanyieni kazi mapungufu yenu Simba
Aibu yako na waliokutumaTena uzi huu tutautumia kama reference wakati simba akikutana na vipigo vizito kwenye ligi ya mabingwa
Leo tumecheza vizuri saana pale nyuma, tumecjeza kwa nidhamu ya hali ya juu, hatujaruhusu makosa ya kijinga kabisa, tumekaba kwa nidhamu mnoo,
Sijaona beki ya simba ikicheza hivi kwa muda kidogo.. Ukweli hivi karibuni tumekuwa na makosa ya kizembe mnoo pale nyuma, leo ni kama tulikuwa na ukuta wa el cholo na vijana wake kina diego godin.
Ameliwa na hehe...[emoji16][emoji23][emoji23]Huyu mbwa mwenye huu uzi yuko wapi?
Hongera Mkuu umejua kutiririka na matukio ya mechi.Huyu anatakiwa akunbushwe maneno ya Wanautopolo fulani huko nyuma:
Mechi dhidi ya Mbabane Dar kabla ya mechi
Leo mnapigwa hapa hapa nyumbani
Baada ya mechi
Simba 4
Mbabane 1
Mnaenda kufa kwao
Marudiano kwao
Mbabane 0
Simba 4
Mmekutana na vibonde hapo ndio mwisho wenu
Dhidi ya Nkana Dar
Mlikufa 2-1 kwao leo mnakufa tena safari ishaisha hiyo
Baada ya mechi
Simba 3
Nkana 1
Kimyaaaaaa [emoji1787]
Makundi
Al Ahly
Simba
As Vita
Js Saoura
Waarabu wawili na m-Congo mmoja hapo Simba anashika mkia na yule jamaa ndio akapigilia msumari kabisa kwa kutuita Under Dog wa kundi
Dar Simba dhidi ya Js Saoura
Waarabu wamekuja kuwapiga hapa hapa nymbn
Baada ya mechi
Simba 3
Saoura 0
Hawa sio waarabu ni wapemba ngoja waje Ahly [emoji1787]
Simba dhidi ya Ahly Dar (kabla)
Sasa leo ndio wamekuja waarabu wenyewe Taifa linaingia ktk aibu nyingine Cairo hamsa na leo hamsa tena
Ramadan Subhi wamemchukua kwa mkopo wa paun billion 10 thamani yake kikosi kizima cha Simba hakifikii thamani hiyo
Baada ya mechi
Simba 1
Ahly 0
Mmebahatisha tu lkn hampiti shughuli mtaiona ktk mechi ya mwisho dhidi ya As Vita hamsa zingine hapa hapa
Simba dhidi ya As Vita Dar
Leo sasa ndio mwisho wa safari mnakufa tena nyingi
Baada ya mechi
Simba 2
As Vita 1
Hamna lolote nyie mnawapulizia dawa wapinzani ndio mnashinda [emoji1787]
Yani kutoa hongera kwao imekua ngumu sana wanageuka vinyonga kila leo kwa kauli zao
Dhidi ya Plateau (Nigeria)
Kabla ya mechi leo Taifa linaingia kwenye aibu kubwa mnaenda kufa nyingi jamaa kila game wanashinda tano tano Enyimba kafa 5 na wengine kibao ni hamsa au 4G
Baada ya mechi
Plateau 0
Simba 1
Wanakuja kupindua matokeo Dar
Leo sasa mnakufa hapa hapa (kabla)
Baada ya mechi Dar
Simba 0
Plateau 0
Mmeshindwa kuwafunga kwenu hata hao wabovu ngoja muone Platinum
Dhidi ya Platinum Bulawayo,Zimbabwe.
Mnakufa nyingi leo
Platinum 1
Simba 0
Chikwende,Chikwende..na kelele kibao na huo ndio mwisho wa safari mnakufa tena Dar
Mechi ya marudiano Dar
Kabla ya mechi
Chikwende leo atakuepo tena
Kwa beki zenu hizo wazee Wawa na Onyango hapo Chikwende na wenzake wanakuja kufanya mauaji tena
Baada ya mechi
Simba 4
Platinum 1
Simba hawashindi mpk mapaka [emoji1787]
Hongera ni ngumu sana kutoa na maneno kila siku yanabadilika
Makundi
Al Ahly
Simba
As Vita
El Merreck
Daaah aibu imerudi tena kwa Taifa zile hamsa hamsa zinarudi tena
As Vita dhidi ya Simba (Congo)
Leo ndio zile hamsa zinajirudia aibu kwa Taifa kila baada ya dkk kadhaa goli,As Vita hatari sana kwao,mara watapakiwa mkongo n.k
Baada ya mechi
As Vita 0
Simba 1
Sasa hivi As Vita hamna timu wameuza sana wachezaji wao
Kwa visingizio mko njema. Simba ni chama kubwa, mwenyewe unajua.Kuna kitu umesahau!
Mechi ya leo Simba timu nzima ilikuwa inakaba kwa hyo ilikuwa ahueni kubwa Sana kwa mabeki
Nilisubiri match ya Simba na As vita nikupe jibu sahihi kwasababu wakati mwingine seeing is believing! Bila shaka umeona. Simba amecheza match 5 za champions league sawa na dakika 450 na amefungwa goli moja tu na Plutinum ya Zimbabwe. Simba yeye kafunga goli 6. Nini maana yake? Ni kwamba wana ukuta imara sana hakuna mchezo.Hivi ukisoma hii comment yako na kilichotokea leo uwanjani na ukalinganisha na alichosema huyo sijui jef leha unatoka na hitimisho lipi mkuu?
Leo tumecheza vizuri saana pale nyuma, tumecjeza kwa nidhamu ya hali ya juu, hatujaruhusu makosa ya kijinga kabisa, tumekaba kwa nidhamu mnoo,
Sijaona beki ya simba ikicheza hivi kwa muda kidogo.. Ukweli hivi karibuni tumekuwa na makosa ya kizembe mnoo pale nyuma, leo ni kama tulikuwa na ukuta wa el cholo na vijana wake kina diego godin.
Huyu mchambuzi uchwara, kwani hapo ilipo Simba ni karibu?? Imefikaje hapo?? Hivi huyu mchambuzi wa kutoka "chalinze" kufikia hatua ya makundi ni kuwa karibu??Akiongea leo asubuhi katika kipindi cha michezo cha Efm mchambuzi nguli wa mpira Jeff Lea asema kwa safu ile ya ulinzi wa Simba dhidi ya Dodoma Jiji jana, mabeki wao wameonesha udhaifu mkubwa sana hivyo kama watakutana na timu yenye washambuliaji wazuri basi hawatafiki mbali katika ligi ya mabingwa Afrika.
Mimi namuunga mkono kwa 100% kwa mbaaaali naona mtu akienda kuchezea goli 5 kwa kila mechi ya ugenini.
Msijenge chuki, fanyieni kazi mapungufu yenu Simba
Hata ukimpa pesa harudi hapa! katelekeza uzi wake mwenyewe!! Ngoja nijaribu kumwita! Renzo njoo kwenye uzi wako usome hapa:Reference eeh?
Mbona hujaandika zile 5 mlizokuwa mnapigwaHata ukimpa pesa harudi hapa! katelekeza uzi wake mwenyewe!! Ngoja nijaribu kumwita! Renzo njoo kwenye uzi wako usome hapa:
Dhidi ya Mbabane Dar kabla ya mechi
Leo mnapigwa hapa hapa nyumbani
Baada ya mechi
Simba 4
Mbabane 1
Mnaenda kufa kwao
Marudiano kwao
Mbabane 0
Simba 4
Mmekutana na vibonde hapo ndio mwisho wenu
Dhidi ya Nkana Dar
Mlikufa 2-1 kwao leo mnakufa tena safari ishaisha hiyo
Baada ya mechi
Simba 3
Nkana 1
Kimyaaaaaa [emoji1787]
Makundi
Al Ahly
Simba
As Vita
Js Saoura
Waarabu wawili na m-Congo mmoja hapo Simba anashika mkia na yule jamaa ndio akapigilia msumari kabisa kwa kutuita Under Dog wa kundi
Dar Simba dhidi ya Js Saoura
Waarabu wamekuja kuwapiga hapa hapa nymbn
Baada ya mechi
Simba 3
Saoura 0
Hawa sio waarabu ni wapemba ngoja waje Ahly [emoji1787]
Simba dhidi ya Ahly Dar (kabla)
Sasa leo ndio wamekuja waarabu wenyewe Taifa linaingia ktk aibu nyingine Cairo hamsa na leo hamsa tena
Ramadan Subhi wamemchukua kwa mkopo wa paun billion 10 thamani yake kikosi kizima cha Simba hakifikii thamani hiyo
Baada ya mechi
Simba 1
Ahly 0
Mmebahatisha tu lkn hampiti shughuli mtaiona ktk mechi ya mwisho dhidi ya As Vita hamsa zingine hapa hapa
Simba dhidi ya As Vita Dar
Leo sasa ndio mwisho wa safari mnakufa tena nyingi
Baada ya mechi
Simba 2
As Vita 1
Hamna lolote nyie mnawapulizia dawa wapinzani ndio mnashinda [emoji1787]
Yani kutoa hongera kwao imekua ngumu sana wanageuka vinyonga kila leo kwa kauli zao
Dhidi ya Plateau (Nigeria)
Kabla ya mechi leo Taifa linaingia kwenye aibu kubwa mnaenda kufa nyingi jamaa kila game wanashinda tano tano Enyimba kafa 5 na wengine kibao ni hamsa au 4G
Baada ya mechi
Plateau 0
Simba 1
Wanakuja kupindua matokeo Dar
Leo sasa mnakufa hapa hapa (kabla)
Baada ya mechi Dar
Simba 0
Plateau 0
Mmeshindwa kuwafunga kwenu hata hao wabovu ngoja muone Platinum
Dhidi ya Platinum Bulawayo,Zimbabwe.
Mnakufa nyingi leo
Platinum 1
Simba 0
Chikwende,Chikwende..na kelele kibao na huo ndio mwisho wa safari mnakufa tena Dar
Mechi ya marudiano Dar
Kabla ya mechi
Chikwende leo atakuepo tena
Kwa beki zenu hizo wazee Wawa na Onyango hapo Chikwende na wenzake wanakuja kufanya mauaji tena
Baada ya mechi
Simba 4
Platinum 1
Simba hawashindi mpk mapaka [emoji1787]
Hongera ni ngumu sana kutoa na maneno kila siku yanabadilika
Makundi
Al Ahly
Simba
As Vita
El Merreck
Daaah aibu imerudi tena kwa Taifa zile hamsa hamsa zinarudi tena
As Vita dhidi ya Simba (Congo)
Leo ndio zile hamsa zinajirudia aibu kwa Taifa kila baada ya dkk kadhaa goli,As Vita hatari sana kwao,mara watapakiwa mkongo n.k
Baada ya mechi
As Vita 0
Simba 1
Sasa hivi As Vita hamna timu wameuza sana wachezaji wao [emoji1787]
Hivi ndivyo ambavyo kila siku maneno yanabadilika wanakua vinyonga na wepesi kukana maneno yao ya awali
Simba mnawatesa sana watani mana sio wapinzani,kila wakichagua waume nyie mnaua wanatafuta mwingine mnaua wanapata sana shida hawa wajane
Na nyie wajane fc mjifunze kutoa hongera hata mara moja moja mtabadilisha mabwana mpk lini? mafanikio ya Simba ni mafanikio ya Taifa pia sbb tunawabeba nyie mwende kutembea na kurudi lkn hamna shukrani aibu yenu wenyewe
Tuliwakera sana 2018/19
Msimu huu 2020/21 kero zitaongezeka sbb hatuna nyumbani wala ugenini pagumu kwetu ni Cairo tu na tunauhakika wa kuvuka na kucheza hatua ijayo
Kila siku vitu vizuri tunafanya sisi,wanaume ni sisi,watu wa historia nzuri ni sisi,watu wa ushindi ni sisi,watu wa kulitangaza taifa ni sisi,watu wa kuleta heshima kwa Taifa ni sisi ila watu wa kuharibu ni nyie,watu wa kutia aibu ni nyie,watu wa kushindwa ni nyie,watu wa kuumia (maumivu) kila siku ni nyie,watu wa wivu ni nyinyi yani mnateseka sana..
Kabla ya mechi: Simba kwa difensi hii haifiki mbali!! Baada ya mechi: Simba 1 Vita 0, Renzo & company wanakimbia uzi wao wenyewe!! Poleni, wahenga walisema wivu mbaya!!
Hivi ni kweli Renzo kwa akili yako, kufikia kucheza hatua ya makundi klabu bingwa ya Afrika hapo ni kuishia karibu?? Hivi huko shuleni mlisomea ujinga au? Ukweli ni kwamba Simba imeshafika mbali tayari kwa beki ile ile unayoidharau kiwivu wivu!
Poleni sana
Simba Nguvu Moja
TUNAWAKERA EEE!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania wachambuzi wa mpira ni wachache sana, Wengi ni wachambuzi wa kuchambua Mchele na Maharage ya harusini akiwemo huyu Mchambuzi uchwara Jeff Lea.