Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff
Jeff alienda mbali zaidi akasema "Kwa Yanga hii ambayo ndani ya uwanja wako vizuri na nje ya uwanja wanatumia pesa yao vizuri, sidhani kama kuna timu itakuja kumzuia asichukue ubingwa wowote msimu huu"
Kwakauli hii ya Jeff Leah, imeibua mambo ambayo ni mazito kwenye soka letu, anatakiwa athibitishe kwa ushahidi. Lakini pua ikumbukwe Jeff ni shabiki kindakindaki wa Simba