Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff
What?huyu mpuuzi anasemaMchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation...
Mashabiki maandazi hao. Muda mwingine wawe wanathibitisha sasa ubora wa timu yao simba. Unalialia Yanga wanahonga,il-hali timu yao inagongwa gongwa tuMchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa...
katika kitu cha kuavoid now ni kuwasikiliza au kuwafuatisha mashabiki wa makolo fc, wanateseka sana so ni kuwaonea huruma tu hawa jamaa maana wanaongea hata mambo ambayo hayapooo!!!Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa...
Mkuu unakumbuka uliteseka misimu minne? Na nakuhakikishia na msimu huu nitakutesa vilivyo na hutoamini...katika kitu cha kuavoid now ni kuwasikiliza au kuwafuatisha mashabiki wa makolo fc, wanateseka sana so ni kuwaonea huruma tu hawa jamaa maana wanaongea hata mambo ambayo hayapooo!!!
Kama ushahidi upo kwanini msifungue kesi? Au kama mnona Takukuru haiwezi kutoa haki basi nendeni hata mahakama ya kimichezo (CAS) mfungue kesi. Kumbe kuna watu wapuuzi kiaai hiki mnatengeneza propaganda badala ya kuwaza mnawezaje kuinua timu yenu iliyochoka wachezajiUshahidi UPI unaitaka athibitishe wakati liko wazi na linajulikana Utopolo kutumia pesa chafu kuharibu mpira huku Tff wakizibwa midomo..
Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff
Jeff alienda mbali zaidi akasema "Kwa Yanga hii ambayo ndani ya uwanja wako vizuri na nje ya uwanja wanatumia pesa yao vizuri, sidhani kama kuna timu itakuja kumzuia asichukue ubingwa wowote msimu huu"
Kwakauli hii ya Jeff Leah, imeibua mambo ambayo ni mazito kwenye soka letu, anatakiwa athibitishe kwa ushahidi. Lakini pua ikumbukwe Jeff ni shabiki kindakindaki wa Simba
Simba alivyofungwa na Yanga kwenye ngao ya jamii nao walihongwa? Uwezo wakobwa kufikiri na kutafari mambo ni mdogo sana nahisi shule ulikuwa kilaza weweJeff Lea atutajie ni timu ipi ambayo sio dhaifu imehongwa na Yanga. Na kama anajua na kuthibitisha kuwa kuna timu zimehongwa na Yanga je yeye kama mwandishi wa habari amecpeleka malalamiko Takukuru?
Mkuu umeni quote bila kusoma kwa umakini bali umesema ukiwa na jazba za Jeff Lea kiasi kwamba huelewi nimeegemea upande upiSimba alivyofungwa na Yanga kwenye ngao ya jamii nao walihongwa? Uwezo wakobwa kufikiri na kutafari mambo ni mdogo sana nahisi shule ulikuwa kilaza wewe
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Umechelewa sanaJeff naanza kumradhau rasmi sasa