Jeff Leah: Kwa udhaifu wa Mbao, Yanga atashinda goli nyingi maana Yanga hahitaji kuhonga nje ya uwanja

Alisema haina haja ya kuchambua mechi ya mbao na yanga, yanga atashinda tu na amehaidi kutoa gari lake kwa mdada sportslady(jina nimemsahau) yanga akifungwa.

Sent from my Pro_Max11 using JamiiForums mobile app
 
Uwezo wake mdogo sana,na huwa anajitia kuongea kiingereza feki ili awatambie mavi mavi wenzie,ni lazima athibitishe huo upuuzi wake

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ushahidi UPI unaitaka athibitishe wakati liko wazi na linajulikana Utopolo kutumia pesa chafu kuharibu mpira huku Tff wakizibwa midomo..
Boresheni Timu, Timu Lenu Halijui Kucheza Mpira Wachzj Wanakosa Magoli Ya Wazi Ovyo Na Penati Za Kupewa Wanakosa Pia...Na Bado Wapinzani Wanapewa Red Card Mnashindwa Kujitetea...Mnaongezewa Muda Mrefu Wa Nyongeza Mechi Inafika Mpk Dk Ya 100 Lakini Bado....Msaidiwaje Nyie Viande? [emoji1787]
 
Kwani kwenye nyongeza ya dk kigezo gani hutumika ili kuongeza dk hizo?
Kipa anakaa chini 4 minutes ,wachezaji watatu wanakaa 1-2 minutes afu refa akiongeza dk 4 au 5 unaona anaibeba Simba kwa lipi hapo?

Red card ni sehemu ya mchezo ulitaka mtu akifanya kosa asioneshwe red card kisa tu anacheza dhidi ya Simba kwa kuogopa eti itaonekana anaibeba Simba? Afu Simba sio mbovu ingekuwa mbovu isingekuwa imetwaa taji moja kati ya manne iliyopanga kuyachukua msimu huu na bado inashindania matatu
 
Simba alivyofungwa na Yanga kwenye ngao ya jamii nao walihongwa? Uwezo wakobwa kufikiri na kutafari mambo ni mdogo sana nahisi shule ulikuwa kilaza wewe

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Kwani kama kuhonga unahonga kila mechi? Na si kwamba timu inayohonga haiwezi kushinda mechi bila kuhonga ondoa hilo akilini
 
Hivi viongozi wa Yanga kwanini hamuwachukulii hatua watu Kama Hawa endapo Kama ushahidi upo ili iwe fundisho na kwa wengine wanawachafua sana nyie viongozi
 
Huwa anajitaja kabisa ni fan wa Mikia FC.
 
Uliteseka misimu minne tulia..
 
Mkiwa Mmefungwa Dakika Tano Za Nyongeza Ndo Ziwe Nane Mpk Tisa Huko Si Tunaona Kwenye Mechi Zenu Bhn....Af Na Umesema Timu Yenu Iko Vizuri Sio Mbovu Basi Sawa Tukutane Kwa Tanzania Prisons. [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…