Mkuu,SWALI/MJADALA: Jehanamu ni kweli "moto" usiozimika ambao Mungu atawakaanga humo watu ambao hawakufuata maagizo yake?
Mungu huyu ambaye anajitanabaisha kwamba ni UPENDO na UPENDO huo unasemwa kwamba HAUHESABU MABAYA, HAULIPI KISASI, HUSAMEHE YOTE: Ndiyo huyo Mungu wa kukaanga watu kwenye moto wa milele?
Huyo Mungu anayetaka sisi tusamehe bila kikomo (7x70) ndiyo huyo huyo au mwingine? Na amkaange Jehanamu kiumbe ili iwe nini? Purpose yake ni nini? Kama haki yake inazidi UPENDO wake basi maandiko yenyewe hayajipingi?
Karibuni tujadili na labda tujitoe kwenye mawazo yanayotufunga NIRA ya utumwa.
Ilichukuliwa mfano ule Ili iwe rahisi kuwafundisha watu wa eneo lile waweze elewaJehhana ni jalala kubwa lililopo huko Jerusalem, hapo hula masikini na palitupwa taka mbalimbali watu mbalimbali waliuliwa na kuchomwa hapo.
Hii ndio asili ya neno Jehanam kulingana na mazingira magumu na mateso ya eneo hilo watu wa dini wakalichukua kama mfano wa hicho wakiitacho mateso kwa wenye dhambi. Hii ni kwa mujibu wa kamusi za Kibibilia.
Kusiwepo kuwepo na jehanamu basi biblia itakuwa ni kitabu cha uongo.SWALI/MJADALA: Jehanamu ni kweli "moto" usiozimika ambao Mungu atawakaanga humo watu ambao hawakufuata maagizo yake?
Mungu huyu ambaye anajitanabaisha kwamba ni UPENDO na UPENDO huo unasemwa kwamba HAUHESABU MABAYA, HAULIPI KISASI, HUSAMEHE YOTE: Ndiyo huyo Mungu wa kukaanga watu kwenye moto wa milele?
Huyo Mungu anayetaka sisi tusamehe bila kikomo (7x70) ndiyo huyo huyo au mwingine? Na amkaange Jehanamu kiumbe ili iwe nini? Purpose yake ni nini? Kama haki yake inazidi UPENDO wake basi maandiko yenyewe hayajipingi?
Karibuni tujadili na labda tujitoe kwenye mawazo yanayotufunga NIRA ya utumwa.
Ndivyo ilivyonenwa kuwapa watu mfano hai maana kwa kipindi hicho hapakuwepo na eneo baya na lililoogofya kama hilo.Ilichukuliwa mfano ule Ili iwe rahisi kuwafundisha watu wa eneo lile waweze elewa
Kissendi Nyanda NTALIMA MPANDAGOYA upo?SWALI/MJADALA: Jehanamu ni kweli "moto" usiozimika ambao Mungu atawakaanga humo watu ambao hawakufuata maagizo yake?
Mungu huyu ambaye anajitanabaisha kwamba ni UPENDO na UPENDO huo unasemwa kwamba HAUHESABU MABAYA, HAULIPI KISASI, HUSAMEHE YOTE: Ndiyo huyo Mungu wa kukaanga watu kwenye moto wa milele?
Huyo Mungu anayetaka sisi tusamehe bila kikomo (7x70) ndiyo huyo huyo au mwingine? Na amkaange Jehanamu kiumbe ili iwe nini? Purpose yake ni nini? Kama haki yake inazidi UPENDO wake basi maandiko yenyewe hayajipingi?
Karibuni tujadili na labda tujitoe kwenye mawazo yanayotufunga NIRA ya utumwa.
Ni sawa. Jalala hilo la kuchoma taka liliitwa Gehena lakini taka hizo na miili ya wahalifu waliosulibiwa ilichomwa na kuteketea. Idea ya eternal torment haina mashiko.Jehhana ni jalala kubwa lililopo huko Jerusalem, hapo hula masikini na palitupwa taka mbalimbali watu mbalimbali waliuliwa na kuchomwa hapo.
Hii ndio asili ya neno Jehanam kulingana na mazingira magumu na mateso ya eneo hilo watu wa dini wakalichukua kama mfano wa hicho wakiitacho mateso kwa wenye dhambi. Hii ni kwa mujibu wa kamusi za Kibibilia.
Mungu huyo aliyesema tumpende kwa AKILI zetu zote ndo huyo Tena tumuamini kwa hadithi za kusadikika??!! Maana yake tuweke AKILI pembeni??!Madhani ni jambo la kudikirika. Tukifa ndio tutafahamu ukweli
Asante ila ingekuwa vema ungesema elimu hiyo inapatikana wapi au kwa namna gani.Mambo ya ulimwengu wa roho kuyajua ni hadi uwe na elimu ya mambo ya ulimwengu usioonekana.
Asante kwa kuchangia. Kwa hiyo hii hadithi ya Mungu wa kutengeneza mishikaki ya binadamu huko Jehanamu waiona kuwa ni hadithi ya kuaminiwa?Zamani kabla akili haijakomaa vizuri tukihadithiwa kuhusu moto wa jahanamu na ukali wa moto huo tuliambiwa ni mara 1000 zaidi ya moto wa dunia, yaani huu moto wa duniani tuliambiwa ni sawa na majivu tu ya huo moto wa jahanamu.
Hili lilinipa mashaka sana kuamini kama kweli kuna uwezekano wa kuwepo kwa moto mkali kwa kiwango hicho, nilipofika secondary na kusoma kuhusu nyuzi joto ya volcano ndio nikaanza kupata picha kumbe upo uwezekeno wa kuwepo moto mkali mara 1000 zaidi ya huu moto tunaoutumia hapa duniani.
Kitu kingine kilichokua kinanitia mashaka ni kuwepo kwa rekodi ya matendo yetu yote tunayoyafanya hapa duniani, nikawa nawaza hizo mishe zangu ninazozifanya kwa siku tu sijui madaftari mangapi yatajaa yakiwa yanarekodiwa, haya matendo yangu ya mwezi, mwaka mpaka kufikia miaka yote ya uhai wangu, akili ikaniambia haiwezekani kumbukumbu za matendo yangu yote yakaweza kurekodiwa maana yanaweza kujaza madaftari yote ya hapa ulimwenguni.
Ila baada kugunduliwa hard disk ya 1TB akili yangu ikaanza kurudi kwenye mstari kuwa yawezekana matendo yote ya binaabamu yakarekodiwa katika kifaa kimoja, tena kifaa hicho kikawa kidogo kama memory card au kikawa kidogo zaidi hata ya hio memory card yenyewe.