Jehanamu ni uhalisia au ni jambo la kupumbaza akili za watu?

Jehanamu ni uhalisia au ni jambo la kupumbaza akili za watu?

Tatizo watu wengi humu wana dadavua mambo ya rohoni kwa ufahamu wao wa kawaida! Ndugu zangu ukitaka kujua kweli Ingia katika mambo ya rohoni usitumie akili yako ya kawaida na tena mtu anafanya kutoa na vifungu vya biblia ili kuifurahisha nafsi yake!

Mambo ya Mungu ni Mambo ya Rohoni ili uweze kuyaelewa lazima uwe katika roho!

NB; Biblia haidanganyi maana kul e jehanamu zitakazoangamizwa ni Roho! kila binadamu ana roho( Ufahamu wa kiMungu wa mtu).Roho ndo imebeba kila kitu katika maisha yetu na kufanya kitokee katika ulimwengu wa uhalisia.

Mfano; Mshirikina/mganga akitaka kukuroga huwa anaipima kwanza roho yako na ndio anakwenda ku attack roho yako aki attack roho yako mfano kakutumia ugonjwa fulani ndio maana ugonjwa huo huwa unakuja katika hali ya mwili na nyama!
Hujawahi sikia mtu gafla kaumwa na kichwa tu alafu kwa heri!!

Tuwe makini ya rohoni tuyajue katika roho!
Asante sana ila tatizo linakuja mtu unaposema mambo ya roho ila husemi roho ni nini??? Tunaendelea tu kuwalisha watu matango pori. Kama roho iko ndani ya mwili wa mtu na ina uhusiano na uwepo wetu kimwili kwa nini basi haielezewi kwa lugha ya mwilini ikaeleweka? Angalau hata quantum physics inaweza kueleza haya mambo kuliko Hawa wahubiri wetu ambao wakikosa jibu wanakimbilia kusema ni mambo ya rohoni! Kama roho na mwili vina uhusiano basi mwili lazima uweze kuielewa roho kwa namna fulani.
 
Mkuu huo moto upo

Ni kweli Mungu uliyemtaja hapo juu ni Mungu wa upendo, wa amani wa furaha n.k

Anasema Mwenyeezi Mungu katika Qur'an... Angalipenda angetutiisha wote (tutii amri zake) kama alivyowatiisha malaika,

Lakini aliamua kutupa uhuru kila mmoja afuate njia aipendayo bila kushurutishwa

Dunia ni kama shule tu, utapewa mitihani ukiifanya vizuri unakua rewarded umefaulu ukiifanya vibaya unakua rejected mwishoni

Anauliza Mwenyezi Mungu katika Qur'an anadhani mwanadamu ataachwa hivi hivi kwa kusema kwake tu ameamini? Bla shaka atatiwa katika mitihani hakuna janja janja muzee

Kama si hivyo dunian pangekua mahala pa ajabu sana

Dhulma ingetawala, mauwaji yangeshamiri, uzinzi, ubakaji, unyonyaji, fitna, na takataka zote uzijuazo zingeongezeoa mara milioni ya hizi uzionazo sasa
 
Upendo ni nini??
Maana qualities za upendo zimewekwa wazi kwenye Biblia. Kama upendo huvumilia yote, husemehe,HAUHESABU MABAYA , basi swali lako halina mashiko! Soma Tena kitabu chako vizuri.
 
WAOVU WANA MALIPO YAO.
Kama utawala wa duniani unatoa adhabu kwa wakosefu kwanini utawala wa mbinguni usitoe adhabu kwa wakosefu?
Mwenyezi mungu atuepushe na jehannam
 
WAOVU WANA MALIPO YAO.
Kama utawala wa duniani unatoa adhabu kwa wakosefu kwanini utawala wa mbinguni usitoe adhabu kwa wakosefu?
Mwenyezi mungu atuepushe na jehannam
Mbingu huwa ipo wapi? Tuanzie hapo kwanza, tusije tukawa tunajitengenezea vitu vya kufikirika tu
 
Jehhana ni jalala kubwa lililopo huko Jerusalem, hapo hula masikini na palitupwa taka mbalimbali watu mbalimbali waliuliwa na kuchomwa hapo.

Hii ndio asili ya neno Jehanam kulingana na mazingira magumu na mateso ya eneo hilo watu wa dini wakalichukua kama mfano wa hicho wakiitacho mateso kwa wenye dhambi. Hii ni kwa mujibu wa kamusi za Kibibilia.
Hujielewi ww
 
SWALI/MJADALA: Jehanamu ni kweli "moto" usiozimika ambao Mungu atawakaanga humo watu ambao hawakufuata maagizo yake?

Mungu huyu ambaye anajitanabaisha kwamba ni UPENDO na UPENDO huo unasemwa kwamba HAUHESABU MABAYA, HAULIPI KISASI, HUSAMEHE YOTE: Ndiyo huyo Mungu wa kukaanga watu kwenye moto wa milele?

Huyo Mungu anayetaka sisi tusamehe bila kikomo (7x70) ndiyo huyo huyo au mwingine? Na amkaange Jehanamu kiumbe ili iwe nini? Purpose yake ni nini? Kama haki yake inazidi UPENDO wake basi maandiko yenyewe hayajipingi?

Karibuni tujadili na labda tujitoe kwenye mawazo yanayotufunga NIRA ya utumwa.
Ipo laliki mm naamin kuna mungu mwingine atajitokeza kutusaidia haiwez kuwa ya milele never.
 
Mbingu zipo SABA( 7)
Kama sayari zipo kwanini mbingu zisiwepo?
Aliyefanya yote hayo ndo amesema mbingu zipo kwanini usiamini?
Mbingu huwa ipo wapi? Tuanzie hapo kwanza, tusije tukawa tunajitengenezea vitu vya kufikirika tu
 
Mkuu huo moto upo

Ni kweli Mungu uliyemtaja hapo juu ni Mungu wa upendo, wa amani wa furaha n.k

Anasema Mwenyeezi Mungu katika Qur'an... Angalipenda angetutiisha wote (tutii amri zake) kama alivyowatiisha malaika,

Lakini aliamua kutupa uhuru kila mmoja afuate njia aipendayo bila kushurutishwa

Dunia ni kama shule tu, utapewa mitihani ukiifanya vizuri unakua rewarded umefaulu ukiifanya vibaya unakua rejected mwishoni

Anauliza Mwenyezi Mungu katika Qur'an anadhani mwanadamu ataachwa hivi hivi kwa kusema kwake tu ameamini? Bla shaka atatiwa katika mitihani hakuna janja janja muzee

Kama si hivyo dunian pangekua mahala pa ajabu sana

Dhulma ingetawala, mauwaji yangeshamiri, uzinzi, ubakaji, unyonyaji, fitna, na takataka zote uzijuazo zingeongezeoa mara milioni ya hizi uzionazo sasa
Izo takataka zipo tangu kuzaliwa kwa cain sepent blood
 
Mbingu zipo SABA( 7)
Kama sayari zipo kwanini mbingu zisiwepo?
Aliyefanya yote hayo ndo amesema mbingu zipo kwanini usiamini?
Acha kuzunguka zunguka kwa mambo ambayo hujaulizwa. Nimekuuliza mbingu ipo wapi? Haya, kama umesema mbingu ziko 7, ndo nauliza hizo mbingu zipo sehemu gani???

Nahitaji majibu, maana tunakaririshwa uomgo huko makanisani na misikitini
 
hyo unayoona hapo juu ni Nini?
Acha kuzunguka zunguka kwa mambo ambayo hujaulizwa. Nimekuuliza mbingu ipo wapi? Haya, kama umesema mbingu ziko 7, ndo nauliza hizo mbingu zipo sehemu gani???

Nahitaji majibu, maana tunakaririshwa uomgo huko makanisani na misikitini
 
Kama vile upande mwingine huamini mateso huanzia kaburini kwa wenye dhambi eti watakumbana na joka nalo litawanyofoa macho!ikiwa adhabu zipo duniani(sharia ya kidini)na kaburini(nyoka na wadudu)hiyo jehanamu ya nini?
 
Back
Top Bottom